Bukoba Finest
JF-Expert Member
- Jul 13, 2023
- 250
- 315
- Thread starter
- #61
Kwahyo mwandiko unaonekana wazi umeumia? [emoji23]Siyo lazima useme au ujieleze.Ni mwandiko wako kwenye ule uzi unakushitaki.Laumu mwandiko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahyo mwandiko unaonekana wazi umeumia? [emoji23]Siyo lazima useme au ujieleze.Ni mwandiko wako kwenye ule uzi unakushitaki.Laumu mwandiko.
Sahihi.Umeumia mnoo!Kunywa hata rubisi uyeyushe kisirani chako.Kwahyo mwandiko unaonekana wazi umeumia? [emoji23]
Situmii Rubisi natumia " Embandure" lakini unaniruhusu kukuita hapa mara paap msimu ujao ukiisha?Sahihi.Umeumia mnoo!Kunywa hata rubisi uyeyushe kisirani chako.
Mimi nipo.Nikijaaliwa ntakuwa natafuna ensenene tu.Situmii Rubisi natumia " Embandure" lakini unaniruhusu kukuita hapa mara paap msimu ujao ukiisha?
Amna shida man tuombe uzima tu.Mimi nipo.Nikijaaliwa ntakuwa natafuna ensenene tu.
Sahihi.Amna shida man tuombe uzima tu.
Baki na ya shambaMayele ndo nani huko dasilamu?
kama hata klab anayokwenda hamjui.hyo bilion 2 anawapa nani?amkaBaada mpange kubeba makombe mnapanga kutuingizia 2B??
Baadhi ya waandishi na mashabiki (Timu pinzani) wamefurahia swala la Fiston Kalala Mayele "Predator" kukubali offer ya Pyramids na kusisitiza kuwa Yanga haitakuwa na makali msimu unajao.
Yanga msimu uliopita amefunga magoli 67 Mayele kafunga goli 17 tu kati ya 67. Magoli 50 yote yamefungwa na wachezaji wengine hiyo inaonesha wazi Yanga sio team ya kumtegemea mchezaji mmoja Mayele kachangia asilimia 25.37% ya magoli yote yaliyofungwa kwa maana ya kwamba asilimia 74.6% ya magoli bado ipo Yanga.
Endapo yanga wataitumia 2B vizuri anaweza kuja Mayele Pro na league itakuwa ya moto zaidi kama atatua Sankara raia wa Ivory coast.
Analysis huwezi kufanya per game maana zipo game ambazo hakufunga piaNdugu hiyo analysis yako ifanye vizuri, kumbuka kuna mechi mayele ndio alikuwa anaziamulia matokeo
wewe ndo hauijuikama hata klab anayokwenda hamjui.hyo bilion 2 anawapa nani?amka
kwa taarifa yako.pyramid kachomoa kutoa hyo.wewe ndo hauijui
Na hiyo imekuumakwa taarifa yako.pyramid kachomoa kutoa hyo.
Na kichwa cha Mbuzi huelewa kinapokuwa kwenye sufuria kinatokota!Kusikia Kwa Kenge Mpaka Atoke Damu Puani Na Masikioni
Hakuna mshabiki wa Yanga wa namna kama yako. Hiyo profile picha yako inadhihirisha kuwa wewe ni kolokwinyo fc"linazibika vizuri sana ni neno la shabiki maandazi"
- Mafanikio ya Yanga ya Msimu uliyopita kwa asilimia kubwa yamebebwa na Mayele.
- Thamani ya Mayele inaelezea umuhimu wake, uniquiness, na value, monetary value speak it all.
Mimi no Mshabiki wa Yanga Kindaki ndaki, tutafanya vizuri, ila tusimchukulie poa Mayele.
Kinachojalisha siyo asilimia kaka,kama ilivoelezewa na mchangiaji mmoja hapa kwenye huu uzi ni kwamba Mayele alifunga magoli yaliyoamua matokeo yawe ya kuchukua point 3 au yale ya mechi za mtoano yaliiwezesha timu yake ya Yanga kusonga,unaweza kumpata striker mwingine akafunga magoli mengi kuliko Mayele lakini yasiibebe timu,mfano ni pale mchezaji anapofunga magoli mengi katika mechi moja halafu anacheza mechi kadhaa bila kufunga.Basi ukirejea article yangu utaelewa nilichomaanisha, Mayele hakuwa uwanjani peke yake ndio maana kabeba asilimia 25 kweye alama 78 tulizovuna
Mchezaji anayechangia 25% ni nguzo muhimu kwa timu. Kama huamini toa % ya mchango wake kutoka 78 pts,utabaki na 50 ptsBasi ukirejea article yangu utaelewa nilichomaanisha, Mayele hakuwa uwanjani peke yake ndio maana kabeba asilimia 25 kweye alama 78 tulizovuna
Wewe aliyekuambia mimi ni Shabiki wa Yanga ni nani? [emoji16][emoji16][emoji16]Hakuna mshabiki wa Yanga wa namna kama yako. Hiyo profile picha yako inadhihirisha kuwa wewe ni kolokwinyo fc
MzibajiLinazibwa na sudi abdallah?????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]