Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Hilo sisi hatujali..kwa sbb bado ana mkataba na Simba...mbona anauzika tuu? Hata nyie tungemwacha mmgemkimbilia si mnaona mkude hakua anacheza mara kwa mara ila nyie mmemchukua.. 😆 😆 🐸Amepata offer ya club ngapi zinazohitaji huduma yake?