Mayele kuondoka Yanga, pengo lake linazibika kiurahisi sana

Bukoba Finest

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2023
Posts
250
Reaction score
315
Baadhi ya waandishi na mashabiki (Timu pinzani) wamefurahia swala la Fiston Kalala Mayele "Predator" kukubali offer ya Pyramids na kusisitiza kuwa Yanga haitakuwa na makali msimu unajao.

Yanga msimu uliopita amefunga magoli 67 Mayele kafunga goli 17 tu kati ya 67. Magoli 50 yote yamefungwa na wachezaji wengine hiyo inaonesha wazi Yanga sio team ya kumtegemea mchezaji mmoja Mayele kachangia asilimia 25.37% ya magoli yote yaliyofungwa kwa maana ya kwamba asilimia 74.6% ya magoli bado ipo Yanga.

Endapo yanga wataitumia 2B vizuri anaweza kuja Mayele Pro na league itakuwa ya moto zaidi kama atatua Sankara raia wa Ivory coast.
 
Aliyefika Final Shirikisho sio Mayele ni Yanga Sc acha kujichomoa fuse.
Kumbe hata mpira haujui. Mimi naongelea mchango wake Yanga kufika hatua ya fainali CAF. Pia kuchukua ligi angalia mchango wa kupata points 3 kupitia magoli yake. Acha uzwazwa
 



"linazibika vizuri sana ni neno la shabiki maandazi"

- Mafanikio ya Yanga ya Msimu uliyopita kwa asilimia kubwa yamebebwa na Mayele.

- Thamani ya Mayele inaelezea umuhimu wake, uniquiness, na value, monetary value speak it all.

Mimi no Mshabiki wa Yanga Kindaki ndaki, tutafanya vizuri, ila tusimchukulie poa Mayele.
 
Hakuna anayemchukulia poa Mayele, ila Yanga inaweza kufanya vizuri bila yeye.
 
Good observation
 
Kumbe hata mpira haujui. Mimi naongelea mchango wake Yanga kufika hatua ya fainali CAF. Pia kuchukua ligi angalia mchango wa kupata points 3 kupitia magoli yake. Acha uzwazwa
Basi ukirejea article yangu utaelewa nilichomaanisha, Mayele hakuwa uwanjani peke yake ndio maana kabeba asilimia 25 kweye alama 78 tulizovuna
 
...ukweli dhahiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…