Mayele Kuuzwa Bilioni 3.6 AS Vita Kuchota Milioni 800

Mashabiki wa Simba kwa WIVU, yaani kila jema linalozungumzia Yanga au mchezaji wa Yangu utaona comment za Makolo zenye VIJIBA ROHONI.
 
Tatizo letu ni ushabiki na kutoelewa vitu.
 
Vigogo wote wa afrika kaskazini wakina raja , wydad , Esperance na zamalek wali muhitaji Mzee wa kutetema
Hakika ana dhamani Kubwa Tshs 3.6 bn !!
Tunamwombea mafanikio
Itoshe kusema jamaa ni mpambanaji sana
 
We jamaa nani anakudanganya kipumbavu namna hii?

 
Hakuna mchezaji wa bei hiyo, hiyo ni bei ya jikoni yani imepikwa.
Ukiyaambia ukweli yanatukana, hiyo bei ni kwaajili ya kuwapoza tu machungu lakini hamna kitu hapo
 
We jamaa nani anakudanganya kipumbavu namna hii?

View attachment 2691248
Mi jicho langu limeenda kuangalia vingine.

Angalia jezi inayodaiwa kuwa bora, hiyo logo ya HAIER hapo kifuani kwa Mayele.

Mchezaji akipiga magoti na logo nayo inapiga magoti si umeona logo ya huyo jamaa nyuma ya Mayele bado imesimama.
 
We jamaa nani anakudanganya kipumbavu namna hii?

View attachment 2691248
Habari zenu za kuokoteza hizi kama ingekuwa hivyo Yanga wasinge mwachia,aondoke kwani angebaki alikuwa na uwezo wa kuingiza zaidi ya hiyo hela.

Hiyo Afrika Transfer page ipo chini ya nani au ina milikiwa na nani.


Najua mmefurahi Mayele kuondoka,kwani alikuwa nawaumiza sana mkikutana nae,ila mmekasirika kusikia Yanga imepiga mpunga mrefu.
 
Watakuwa walikuwa wanamlipa kidogo asee sasa kakataa shilingi ngapi akachukue hiyo 32m
Nawaambiaga siku zote hawa puyanga, kusema uongo zama hizi ni kazi bure, kwa huu utandawazi, muda haupiti unaumbuka.

Kimsingi Yanga wameshindwa kumlipa Mayele mshahara wa milioni 32 kwa mwezi au klabu yake Vita imeona ni wakati sasa wa mavuno halafu yanga ikashindwa bei waliyotaka.
 
Reactions: BRN
Sioni kama katika siku za hivi karibuni kutatokea na mchezaji nchini Tanzania atauzwa kwa kiasi cha zaidi ya Bilioni 3.6 kumzidi Fiston Kalala Mayele.
Rekodi za manunuzi ya wachezaji, credit huwa zinaenda kwa mnunuzi, wala si mnunuaji au mnunuliwaji. Cha msingi hatakuwapo kwenye kikosi cha Yanga, mengine ni makelele ya vyura 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…