Pics
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 240
- 181
Unamzunguzia Maxi Nzengeli?za kuambiwa changanya na zako.Mayele amejiunga Yanga toka AS vita.manufaa Kama yapo watapata toka AS vuta.Twambie Maniema AS wanapata ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamzunguzia Maxi Nzengeli?za kuambiwa changanya na zako.Mayele amejiunga Yanga toka AS vita.manufaa Kama yapo watapata toka AS vuta.Twambie Maniema AS wanapata ngapi?
Kwa taarifa yako Mayele anamilikiwa na Maniema AS vita na Yanga walipewa kwa mkopo. Yanga atakula m 97 tu kwenye hilo dili. Vita naye atakula kiasi kisichozidi m 180. Mkwanja uliobaki unaenda kwa Maniema AS ambao nao ni kivuli tu, mmiliki halali ni mbeba mtutu mmoja mkubwa huko DRCambaye kimsingi ndo atakula mchuzi huo. Vivyo hivyo kwa Djuma Shaban na sasa Maxi NzengeliUnamzunguzia Maxi Nzengeli?za kuambiwa changanya na zako.Mayele amejiunga Yanga toka AS vita.manufaa Kama yapo watapata toka AS vuta.
Kwa taarifa yako Mayele anamilikiwa na Maniema AS vita na Yanga walipewa kwa mkopo. Yanga atakula m 97 tu kwenye hilo dili. Vita naye atakula kiasi kisichozidi m 180. Mkwanja uliobaki unaenda kwa Maniema AS ambao nao ni kivuli tu, mmiliki halali ni mbeba mtutu mmoja mkubwa huko DRCambaye kimsingi ndo atakula mchuzi huo. Vivyo hivyo kwa Djuma Shaban na sasa Maxi Nzengeli
Cha kushangaza, mnaokoteza wachezaji wa bure bure! MMEUZA GHALI, NUNUA GHALI! Kla mnayemtangaza, ni aliyeachwa na timu yake!Huo Mpunga unaweza ukainunua Kolo FC aka Ndunduka FC.
Huu ni ukweli kabisa na hujakoseaKwa taarifa yako Mayele anamilikiwa na Maniema AS vita na Yanga walipewa kwa mkopo. Yanga atakula m 97 tu kwenye hilo dili. Vita naye atakula kiasi kisichozidi m 180. Mkwanja uliobaki unaenda kwa Maniema AS ambao nao ni kivuli tu, mmiliki halali ni mbeba mtutu mmoja mkubwa huko DRCambaye kimsingi ndo atakula mchuzi huo. Vivyo hivyo kwa Djuma Shaban na sasa Maxi Nzengeli
Sio sawa na wa mikiaIla mashabiki wa Yanga
Wajinga ndo waliwaoAibu kweli..kelele zote zilee
Uongo.Kwa taarifa yako Mayele anamilikiwa na Maniema AS vita na Yanga walipewa kwa mkopo. Yanga atakula m 97 tu kwenye hilo dili. Vita naye atakula kiasi kisichozidi m 180. Mkwanja uliobaki unaenda kwa Maniema AS ambao nao ni kivuli tu, mmiliki halali ni mbeba mtutu mmoja mkubwa huko DRCambaye kimsingi ndo atakula mchuzi huo. Vivyo hivyo kwa Djuma Shaban na sasa Maxi Nzengeli
Nimeshangaa Yanga tunafurahia kwa udalali.... Tajiri amenyamaza tu.Dalali anaposhangilia tajiri kuuza Mali yake kwa bei kubwa..sema siyo mbaya kwani na yeye kamgao lake ka udalali kananakuwa angalau kidogo
Ukiitafsiri hii habari kwa hesabu za uhakika, Yanga watakuwa wameambulia hela ndogo sana, na pengine ndio maana walikuwa wanaona heri asiuzwe mwaka huu hata kama mwakani ataondoka bure. Yaani ndani ya $1.5M kuna hela ya usajili na mishahara ya miaka mitatu. Katika hiyo hela ya usajili tu (sio $1.5M yote), ondoa na uweke pembeni $0.8M za AS Vita, maana yake zinabaki $0.7M ambazo hata nazo ndani yake kuna components za hela ya usajili na mshahara wa Mayele (sio wa Yanga). Hiki ni kitu kizito kimetua kichwani. Mleta mada kaa chini uombe radhi kwa kupotoshaView attachment 2691018
Sell-on clause ni kipengele ambacho kinawanufaisha AS Vita katika mauzo hayo. SaSa watavuna Milioni 800 katika mauzo hayo. Wakati huo huo Yanga SC wataingiza Bilioni 2 na Milioni 800.
GSM ndiyo watapata hizo faida siyo Yanga,wao ndiyo waliowekeza Hela za kumnunua na Kuna mikataba wameandikishana na Yanga ambayo wewe shabiki huwezi kuonyeshwa,kama huamini ninachokiandika chukua mfano wa mauzo ya jezi,jezi inauzwa sh 35,000 lakini Yanga wanaambulia sh 1300/= kwa Kila jezi yaani haiingii akilini .Sioni kama katika siku za hivi karibuni kutatokea na mchezaji nchini Tanzania atauzwa kwa kiasi cha zaidi ya Bilioni 3.6 kumzidi Fiston Kalala Mayele.
Yanga SC wameingiza mpunga mrefu zaidi kwa mauzo ya Mayele kuliko thamani ya Mkataba wa msimu mmoja wa Simba na Sandaland.
3,645,000,000 Tanzanian Shilling: Thamani ya Mayele.Link:
View attachment 2691018
Sell-on clause ni kipengele ambacho kinawanufaisha AS Vita katika mauzo hayo. SaSa watavuna Milioni 800 katika mauzo hayo. Wakati huo huo Yanga SC wataingiza Bilioni 2 na Milioni 800.
View attachment 2691020
Ukiitafsiri hii habari kwa hesabu za uhakika, Yanga watakuwa wameambulia hela ndogo sana, na pengine ndio maana walikuwa wanaona heri asiuzwe mwaka huu hata kama mwakani ataondoka bure. Yaani ndani ya $1.5M kuna hela ya usajili na mishahara ya miaka mitatu. Katika hiyo hela ya usajili tu (sio $1.5M yote), ondoa na uweke pembeni $0.8M za AS Vita, maana yake zinabaki $0.7M ambazo hata nazo ndani yake kuna components za hela ya usajili na mshahara wa Mayele (sio wa Yanga). Hiki ni kitu kizito kimetua kichwani. Mleta mada kaa chini uombe radhi kwa kupotosha
Huna akili. Meema wako wapi hapoSioni kama katika siku za hivi karibuni kutatokea na mchezaji nchini Tanzania atauzwa kwa kiasi cha zaidi ya Bilioni 3.6 kumzidi Fiston Kalala Mayele.
Yanga SC wameingiza mpunga mrefu zaidi kwa mauzo ya Mayele kuliko thamani ya Mkataba wa msimu mmoja wa Simba na Sandaland.
3,645,000,000 Tanzanian Shilling: Thamani ya Mayele.Link:
View attachment 2691018
Sell-on clause ni kipengele ambacho kinawanufaisha AS Vita katika mauzo hayo. SaSa watavuna Milioni 800 katika mauzo hayo. Wakati huo huo Yanga SC wataingiza Bilioni 2 na Milioni 800.
View attachment 2691020
Sasa kama mwandishi haaminiki, ni kwa nini mleta mada amesema dau la usajili ni sh. 3.6B?Nyie wengine sio watu mpira kabisa, hivi unafuatiliaga tetesi za usajili kupiti gwiji huyu wa Fabrizio Romano.
Wapuuzi hawa, eti 3.6BMkikaaga kwenye vijiwe vyenu mnadanganyana sana
Hoja yangu ilijikita katika huu uongo ulio uandika ww.Sasa kama mwandishi haaminiki, ni kwa nini mleta mada amesema dau la usajili ni sh. 3.6B?