Tetesi: Mayele kwenda Simba, Chama kwenda Yanga

Tetesi: Mayele kwenda Simba, Chama kwenda Yanga

Mim na wew Nani ambaye hajui mpira Mudathir anacheza attack middefield pale Yanga Chama pia anauwezo wa kucheza attack middlefield wakati anafika Simba iyo postion kacheza sana saizi Ndio anacheza wide attack middlefield kenge mkubwa we
Nshakuambia tungekua karibu ningekunasa kibao shenzi
 
Unahangaika na watu wasiojua mpira mkuu..hajui hata majukumu ya Mudathiri pale Yanga na anacheza nafasi gani pale Yanga..
Utashangaa mtu aliwahi kumlinganisha chama na tuisila kisinda hii inaonyesha jinsi watu ambavyo hawajui mpira bali ni mihemko tu.
wew unajua kweli mpira au Ndio unalopoka tu Tusila ni natural winga huwezi kumlinganisha Na chama ata siku moja ila mudathir anauwezo wa kucheza kwenye difensive na attack middlefield chama ana uwezo wa kucheza kwenye attack middlefield na widely middlefield asa ikitokea una postion moja ya attackmiddlefield inabidi umpange kati ya Chama na Mudathir wew ungempanga Nani kwa akili yako Ndogo iyo
 
Chama hana uwezo wa kufanya majukumu ya Mudathir.

Chama anacheza nafasi ipi na Mudathir anacheza nafasi ipi? Halafu ukipata jibu nambie kati ya mimi na wewe nani Mbumbumbu.
Mudatthir yaya kwa sasa Yanga anacheza kiungo mshambuliaji kutokea katika ya uwanja Chama pamoja na kwamba anauwezo wa kucheza kwenye kiungo wa Chini ya uwanja Chama wakati anafika Simba kacheza mara nyingi sana kiungo mshambuliaji kutokea katika ya uwanja ila kwa Sasa Chama anacheza kiungo mshambuliaji kutokea pembeni ya kiwanja kwa maana hiyo Chama ana uwezo wa kucheza kwenye kiungo mshambuliaji kutokea katika kama alivyo mudathir tu nafikiri umeelewa
 
wew unajua kweli mpira au Ndio unalopoka tu Tusila ni natural winga huwezi kumlinganisha Na chama ata siku moja ila mudathir anauwezo wa kucheza kwenye difensive na attack middlefield chama ana uwezo wa kucheza kwenye attack middlefield na widely middlefield asa ikitokea una postion moja ya attackmiddlefield inabidi umpange kati ya Chama na Mudathir wew ungempanga Nani kwa akili yako Ndogo iyo
Sasa kama unajua chama Hana uwezo wa kucheza kiungo mkabaji unawezaje kumfananisha na Mudathiri ambae kwenye kikosi mwalimu anaweza kumtumia kama kiungo mshambuliaji na akakupa matokeo na pia kiungo mkabaji pia akukupa matokeo.
Mudathiri ni kitu kingine mwalimu mwenye akili hawezi kuanza na chama ambae timu inapokua haina mpira yeye hawezi kusaidia acha umbumbumbu wewe.
Mpira sio rede/midako usijifanye unajua vitu wakati mweupe tu.
Na inshu ya Tuisila nimekupa kama mfano kuwaonyesha kwamba watu humu wanajifanya wajuaji wakati mpira hawaujui wewe ukamfananishe Tuisila na Chama si itakuja siku utamfananishe kapombe na Diara.
 
Kwa mara ya kwanza timu nakubali mchezaji wa timu pinzani mpaka kumhitaji. Sijawahi sikia hili viongozi wa Simba wakisema kuhusu mchezaji wa Yanga wanayemkubali

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
wew unajua kweli mpira au Ndio unalopoka tu Tusila ni natural winga huwezi kumlinganisha Na chama ata siku moja ila mudathir anauwezo wa kucheza kwenye difensive na attack middlefield chama ana uwezo wa kucheza kwenye attack middlefield na widely middlefield asa ikitokea una postion moja ya attackmiddlefield inabidi umpange kati ya Chama na Mudathir wew ungempanga Nani kwa akili yako Ndogo iyo
Mudathir anakupa option ya kukaba na kushambulia Chama ana shambulia pekee wewe kama ni coach utampanga nani?
 
Sasa kama unajua chama Hana uwezo wa kucheza kiungo mkabaji unawezaje kumfananisha na Mudathiri ambae kwenye kikosi mwalimu anaweza kumtumia kama kiungo mshambuliaji na akakupa matokeo na pia kiungo mkabaji pia akukupa matokeo.
Mudathiri ni kitu kingine mwalimu mwenye akili hawezi kuanza na chama ambae timu inapokua haina mipira yeye hawezi kusaidia acha umbumbumbu wewe.
Mpira sio rede/midako usijifanye unajua vitu wakati mweupe tu.
Na inshu ya Tuisila nimekupa kama mfano kuwaonyesha kwamba watu humu wanajifanya wajuaji wakati mpira hawaujui wewe ukamfananishe Tuisila na Chama si itakuja siku utamfananishe kapombe na Diara.
Ndio maana Chama ana shine kwenye mechi za timu dhaifu sababu mda wote anashambulia ikiwa tough game hawezi kurukuta
 
Chama hana uwezo wa kufanya majukumu ya Mudathir.

Chama anacheza nafasi ipi na Mudathir anacheza nafasi ipi? Halafu ukipata jibu nambie kati ya mimi na wewe nani Mbumbumbu.
hoja sio nani mbumbumbu,hoja sio chama anafaa au hafai,hoja sio chama atacheza nambi ipi,au nani akae benchi,bali hoja ukimchukua wetu nasi tunamchukua wako
 
Hivi mnajua mpira kweli? Kwa io chama na mudathir wanacheza namba Moja, we tungekua karibu ningekunasa kibao

Kiufupi chama akija yanga hawezi kupata namba, yaani tumeweke nje Aziz ki mtu mbaad kisa chama??

Shenzi
shusha munkari,hapa sio chama atamuweka nani rizevu,bali ni chukua ni chukue
 
mayele mali ya azam hiyo makolo mtaishia kutamani kama mlivyomtamani fei hadi mkamchangia pesa
 
Kwani Aziz nae amekubali kuendelea kusalia viunga vya chura fc a.k.a utopoloni?
 
chama huu ndio msimu wake wa mwisho, na kakataa kuongeza muda. mayele naye anaomba kuvunja mkataba kule pryamid, maana yake mayele anaenda simba na chama anaenda yanga.

Vitu huwa nasoma nikiwa na hamu ya kutikisa mbavu...
 
Back
Top Bottom