Sasa kama unajua chama Hana uwezo wa kucheza kiungo mkabaji unawezaje kumfananisha na Mudathiri ambae kwenye kikosi mwalimu anaweza kumtumia kama kiungo mshambuliaji na akakupa matokeo na pia kiungo mkabaji pia akukupa matokeo.
Mudathiri ni kitu kingine mwalimu mwenye akili hawezi kuanza na chama ambae timu inapokua haina mipira yeye hawezi kusaidia acha umbumbumbu wewe.
Mpira sio rede/midako usijifanye unajua vitu wakati mweupe tu.
Na inshu ya Tuisila nimekupa kama mfano kuwaonyesha kwamba watu humu wanajifanya wajuaji wakati mpira hawaujui wewe ukamfananishe Tuisila na Chama si itakuja siku utamfananishe kapombe na Diara.