Mayele ni Straika haswa

Mayele ni Straika haswa

Ukiangalia harahati zake uwanjani na namna alivyokuwa akiwaweka roho juu walinzi wa kati wa Simba, ni wazi kuwa Mayele ni mshambuliaji hatari na pengine kwa sasa hakuna kama yeye kwa timu zote....Simba na Yanga.
Ongezea/punguza/sema ukijuacho.....usitukane
Yuko vzr kwa timu ya hovyo. Jana aliwekwa mfukoni na Onyango.
 
Mayele ni chizi mpira kweli kweli,yaani yeye anafurahi kila mpira unapomfikia ili awafate mabeki!
 
Ni straika bora ila kwa Inonga ni mchache sana

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Huyo inonga kaokolewa na Onyango mara kadhaa. Na hata hivyo pamoja na kukabwa na watu wawili bado alipata nafsi ya kufunga lakini alishindwa kufungwa kutokana na kukosa balance ( match fitness wachezaji wa yanga hawakuwa nayo wamekaa siku 11 bila kucheza mechi)
 
Jirekodi afu jisikilize

acheni visingizio visivyo na msingi ,unaposema match fitness kwani walikuwa hawajui kuna mechi na hawafanyi mazoezi?
 
Sina ushabiki maandazi wa hizi timu zenu ila siwezi kumdharau Mayele. Kwa mfumo aliochagua kocha wake Jana, mtu aliyemwangusha ni Fei ambaye alichagua kutoambatana naye. Otherwise yeye alitimiza jukumu lake vema na makosa machache ya kibinadamu. Tuliocheza mpira tunaelewana, wasioelewa usiwalazimishe. Kuna kipindi mashabiki wa Yanga walimponda Kagere nikasema binafsi nisiye na upande nawachuja kwa kutojielewa. Kila striker ana namna inayomtambulisha uawanjani. Kagere halisi hakuwa na mambo mengi ila alijua kukaa mahali sahihi kwa muda sahihi. Yaani alijua kwa mwenendo huu mpira utakuwa mahali fulani baada ya muda Fulani na kweli ikatokea na akascore kilaini. Sasa mpe a dribble kama Mayele utamkosoa kwa sababu siyo kipaji chake. Nafasi 3 alizopata Mayele Kagere angeweza kutumia ugumu uleule kuscore lakini kazi aliyoifanya dhidi ya beki ya Simba kwa Jana ilikuwa nzito. Wanaowsifu Inonga na Onyango hawawasifu kwa sababu ya kumzuia Fei na wengine. Yaani ukisikia mtu anaisifia beki ya Simba kwa Jana anaisifia kwa matukio ya kumdhibiti mtu mmoja tu na mtu huyo ni Fiston Mayele.
 
Back
Top Bottom