Mayowe ya watu wa Gaza ambayo watu wameziba masikio kuyasikiliza. Waomba msaada kwa mmoja tu

Yaan mda woteee ule walikua busy na ujinga mwingine leo sasa baada ya kichapo ndo wanashtuka kuna MUNGU !!sema kwa sababu Mungu ni mwingi wa rehema atafanya jambo.
Kama ulifuatilia huu mzozo tokea awali hakuna muda hamas hawakujua uwepo wa Mungu
Na ndio maana awali waliwataka waislam wenzao ulimwenguni kote wawaombea tu dua kwa Allah kama hawawezi kutoa msaada wa moja kwa moja
Yote ila nikujua kwamba uwezo wa Allah ni mkubwa zaidi kuliko misaada ya wanaotaka kuwapa
 
wakiachilia mateka wote na either kujisalimisha au kukimbia gaza, vita inaisha leo leo, ila kwa ujeuri wa HAMAS, wanaoumia ni wananchi waliichagua HAMAS...
ISRAEL inapigana kwa sababu 2 kuu,
1. kukomboa raia wake waliotekwa na hamas, iwe ni kwa kuwapata huko mapangoni au kwa kuwapiga hamas mpaka hamas waachilie mateka wenyewe. sasa hakuna nchi iaiyipigania watu wake labda tz, kwahyo vita haitaisha kama hamas ataendelea kushikilia mateka. solution? achia mateka vita iishe. kwahyo mpaka hapo wa kulaumiwa ni HAMAS

2. kuhakikisha mashambulizi ya octoba 7 hayajirudii tena, wenyewe wanasema #neverAGAIN , maana viongozi wa hamas wametangaza kuwa hichi ni kimbuka cha al qaisa na watarudia tena na tena na tena kuwashambulia israel mpaka iwafute kwenye uso wa dunia, sasa kama adui ameshakutangazia kifo utakaa kimya na kumsubiri au ni kumfata huko huko ummlize kabla hajakumaliza... ndicho wanachofanya IDF. lengo ni kuwamaliza hamas wote kama sio kuwaua basi ni kuwakamata na kuhakikisha hakuna kirusi cha hamas kitachopanga shambulizi dhidi ya Israel in near future... sasa katika hili pia wa kulaumiwa ni HAMAS, maana wametangaza vita ila uwanja wao wa vita ni kwenye mitaa yenye watu wengi.

hitimisho ni hamas waondoke gaza, mateka waachiwe vita iishe, lakin kuwalaumu israel wakati mabalaa yote kayataka hamas basi sio fair. wanachi wa gaza wawageukie na kuwalilia hamas, wala Mungu hajawaacha, ila HAMAS ndio wanaowaletea mateso.

mkiwa na viongozi wapuuzi, mabalaa yakija huwapata wote, hata zama za farao na kina musa, ujieuri wa farao ulileta mateso wa kwa misri wote, maana yale mapigo 10 kila mmisri alipigwa.
ISRAEL wanapigania maisha yao na kesho yao, adui wa amani ni HAMAS
 
Yaan mda woteee ule walikua busy na ujinga mwingine leo sasa baada ya kichapo ndo wanashtuka kuna MUNGU !!sema kwa sababu Mungu ni mwingi wa rehema atafanya jambo.
Bebe lekanaga na masaji ugunoga bule,jaga gungese ngalu
 
Tatizo unazungumza kwa kutumia kichwa cha kuku.
Habari za wapalestina hazikuanza kwao na wao hawajaanzisha chochote.Ule ni muendelezo wa kila ilichofanya Israel iliyoundwa na Uiengereza kwa njama mwaka 1948.
Walianza wazee wa siku hizo kujitetea wakaingia kwenye mtego wakaenda ukimbizini mainchi mengi halafu wakafungiwa lango la kurejea.Akashika akina Arafat lakini kwa kutumia siasa ya maneno hakupata cha maana mpaka akafa au akauawa.
Hamas tangu washike Gaza pekee washapigwa na kuteswa na Israel zaidi ya mara 3 katika vita vikali.Chaguo la kutumia nguvu na kusubiri mateso ni chagua la kiume na kibinadamu.
Unaposema wajisalimishe itawasaidia nini.
Na kwa sasa Israel haipiganii tena mateka .Na mateka hawatajwi tena kila upande kwa kiwango cha awali.Wengi wameshakufa na Hamas haina hamu ya kutoa takwimu zao.
Kinachowapeleka Rafah IDF ni kutekeleza malengo ya siri ambayo baadhi yao akina Netanyahu huwa yanawaponyoka .Lengo kuu ni kuwalazimisha kwa nguvu wapalestina wavuke mpaka waingie Misri na wadhibiti eneo la Rafah na baada ya hapo waitawale Gaza kama wanavyotawala maeneo ya Ukingo wa magharibi na mashariki.
Masetla kutoka Ulaya na Poland na kwengineko wajenge nyumba na mageti ya kuwazuia wapalestina hata kutembeleana.
 

Waache wauane mpaka waseme basi wenyewe.
Baada ya hapo kutakuwa na amani, heshima na utulivu wa hali ya juu.
 
Qhamas waendelee kuyachapa mayahudi.
 
Achana na hizi ndoto za Alinacha.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo ile kukata watu vichwa kwa kutumia makoleo ndio kumwabudu allah?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Usichanganye habari, Allah hajawahi kumsaidia Musa na wala Musa hajawahi kumtambua Allah.

Musa alikuwa na asili ya kiyahudi na Mungu wake ndio huyo Mungu wa wayahudi anayewapiga watu wa Mungu Allah.
Hapo ni Mungu wa wayahudi na Mungu wa waarabu wapo vitani.
 
Huna elimu hata chembe.Na umeshangazwa na ukweli uliokuwa hujawahi kuusikia.
Musa alikuwa mtume wa Allah na muislamu kama alivyokuwa Yesu a.s.
Mitume wa Allah ni wengi sana lakini 25 tu ndio iliotajwa kwetu kupitia Qur'an na miongoni mwao ni hao Musa ,Issa(Yesu) a.s na Muhammad s.a.w
 
Hamas wamesababisha maafa makubwa sana Kwa wapalestina wasiokua na hatia.

Kumbuka sio wapalestina wote wanaunga mkono ugaidi wa Hamas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…