Mayowe ya watu wa Gaza ambayo watu wameziba masikio kuyasikiliza. Waomba msaada kwa mmoja tu

Mayowe ya watu wa Gaza ambayo watu wameziba masikio kuyasikiliza. Waomba msaada kwa mmoja tu

Tunazungumzia shambulio la kigaidi la Oct 7 ndio chanzo. Kabla ya hapo kulikua na vurugu za hapa na pale ambazo hazikusababisha maaafa makubwa kiasi hiki
Shambulio la kigaidi lilifanyika maaka 1948 lili la October 7 lilikua ni shambulizi la ukombozi na linatakiwa kupongezwa na kuungwa mkono
 
Back
Top Bottom