bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Ngojaa wa bandari wamalize Yao kwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Serikali imesema NO. Muandamane kesho
Lazima wapangiwe au umesahau kuwa wakulima walipewa mbolea ya ruzukuMazao Sio Mali ya serikali Bashe yupo sahihi.
Kuzuia kuuza nje chakula ni kuzidi kuongeza tatizo la ajira nchini.
Kilimo kikilipa bodaboda na machinga watapungua mijini.
Bodaboda na machinga ni wengi kuliko idadi ya wateja wao.
Mtaa upasao kuwa na bodaboda 5 kwa mgawanyo wa abiria una bodaboda 30 wanapokonyana abiria, kilimo kikilipa watapungua mijini kwenda shamba kulima.
Acheni gari za Kenya zimwage pesa shambani watu wawe na maendeleo,gunia la mahindi ilifikia laki 20 Leo elf 40 nani ataingia shamba kulima Tena msimu ujao.
Ishu ya chakulaa ni kupromote uzalishaji mapori yamejaa na Sio kuwanyima wakulima haki ya kuuza popote watakapo.
Bei ya mbolea ni kubwa kuliko gunia la mahindiLazima wapangiwe au umesahau kuwa wakulima walipewa mbolea ya ruzuku
Yani serikali itumie Kodi za wananchi kutoa mbolea za ruzuku alafu mazao yakiwa tayari yakawafaidishe wafanya biashara wa Kenya na wananchi wao hilo haliwezekani
Kijana acha hasiri haki ya chakula ikikaa sawa mtauza huko nje!! Sawa?Hio ndio akili ya Viongozi wa Tz,
Hatuongezi uzalishaji, ila tunazuia waliozalisha wasipate Faida, ili mwakani washindwe kurudi Shamba kwa kukosa pesa.
Ushindani wa kibiashara ni kuongeza uzalishaji ili sekta ya kilimo iwe na faida, ardhi itumike vizuri iweze kuajiri vijana.
Ila kwa taifa linalouza Bandari, usitegemee lolote la Maana.
Pathetic!
Hawa wananchi wakiishiwa chakula waanze tena kuililia serikali kiwaletea chakula sio!!!!!!????????Mazao Sio Mali ya serikali Bashe yupo sahihi.
Kuzuia kuuza nje chakula ni kuzidi kuongeza tatizo la ajira nchini. Kilimo kikilipa bodaboda na machinga watapungua mijini. Bodaboda na machinga ni wengi kuliko idadi ya wateja wao.
Mtaa upasao kuwa na bodaboda 5 kwa mgawanyo wa abiria una bodaboda 30 wanapokonyana abiria, kilimo kikilipa watapungua mijini kwenda shamba kulima.
Acheni gari za Kenya zimwage pesa shambani watu wawe na maendeleo,gunia la mahindi ilifikia laki 20 Leo elf 40 nani ataingia shamba kulima Tena msimu ujao.
Ishu ya chakulaa ni kupromote uzalishaji mapori yamejaa na Sio kuwanyima wakulima haki ya kuuza popote watakapo.
Agizia kinywaji nakuja kulipiaWananchi ni mali ya serikali, na niwajibu wa serikali kuwalinda watu wake kwa kila namna
Asante mkuu, nina faru joni moja hapa napambana nalo...😋Agizia kinywaji nakuja kulipia
Kulia sio kweli mahindi geita yana 90000 unalima shamba kwa kutumia 180000 mpaka kuivisha unapata junia 6*90000=540000 mara eka 10=5400000Nawahurumia walikopa wakazika pesa shamba lazima walie mwaka huu,wengi ni watumishi hasa walimu
🤣🤣🤣 THUBUTUU..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Serikali imesema NO. Muandamane kesho
Kama huna la kusema bora kukaa kimya tu.Lazima wapangiwe au umesahau kuwa wakulima walipewa mbolea ya ruzuku
Yani serikali itumie Kodi za wananchi kutoa mbolea za ruzuku alafu mazao yakiwa tayari yakawafaidishe wafanya biashara wa Kenya na wananchi wao hilo haliwezekani