bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Mazao Sio Mali ya serikali Bashe yupo sahihi.
Kuzuia kuuza nje chakula ni kuzidi kuongeza tatizo la ajira nchini. Kilimo kikilipa bodaboda na machinga watapungua mijini. Bodaboda na machinga ni wengi kuliko idadi ya wateja wao.
Mtaa upasao kuwa na bodaboda 5 kwa mgawanyo wa abiria una bodaboda 30 wanapokonyana abiria, kilimo kikilipa watapungua mijini kwenda shamba kulima.
Acheni gari za Kenya zimwage pesa shambani watu wawe na maendeleo,gunia la mahindi ilifikia laki 20 Leo elf 40 nani ataingia shamba kulima Tena msimu ujao.
Ishu ya chakulaa ni kupromote uzalishaji mapori yamejaa na Sio kuwanyima wakulima haki ya kuuza popote watakapo.