Mazao Siyo Mali ya serikali, wakulima waruhusiwe kuuza nje chakula

bongo dili

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2015
Posts
12,350
Reaction score
25,180
Mazao Sio Mali ya serikali Bashe yupo sahihi.

Kuzuia kuuza nje chakula ni kuzidi kuongeza tatizo la ajira nchini. Kilimo kikilipa bodaboda na machinga watapungua mijini. Bodaboda na machinga ni wengi kuliko idadi ya wateja wao.

Mtaa upasao kuwa na bodaboda 5 kwa mgawanyo wa abiria una bodaboda 30 wanapokonyana abiria, kilimo kikilipa watapungua mijini kwenda shamba kulima.

Acheni gari za Kenya zimwage pesa shambani watu wawe na maendeleo,gunia la mahindi ilifikia laki 20 Leo elf 40 nani ataingia shamba kulima Tena msimu ujao.

Ishu ya chakulaa ni kupromote uzalishaji mapori yamejaa na Sio kuwanyima wakulima haki ya kuuza popote watakapo.
 
Iwepo balance ya tatizo la ajira na uhitaji wa chakula nchini,watu wakiwa na pesa wafanyabiashara wataagiza chakula nchini kitanunuliwa.
 
Mazao Sio Mali ya serikali Bashe yupo sahihi.
Kuzuia kuuza nje chakula ni kuzidi kuongeza tatizo la ajira nchini.
Kilimo kikilipa bodaboda na machinga watapungua mijini.
Bodaboda na machinga ni wengi kuliko idadi ya wateja wao.
Mtaa upasao kuwa na bodaboda 5 kwa mgawanyo wa abiria una bodaboda 30 wanapokonyana abiria, kilimo kikilipa watapungua mijini kwenda shamba kulima.
Acheni gari za Kenya zimwage pesa shambani watu wawe na maendeleo,gunia la mahindi ilifikia laki 20 Leo elf 40 nani ataingia shamba kulima Tena msimu ujao.
Ishu ya chakulaa ni kupromote uzalishaji mapori yamejaa na Sio kuwanyima wakulima haki ya kuuza popote watakapo.
Lazima wapangiwe au umesahau kuwa wakulima walipewa mbolea ya ruzuku

Yani serikali itumie Kodi za wananchi kutoa mbolea za ruzuku alafu mazao yakiwa tayari yakawafaidishe wafanya biashara wa Kenya na wananchi wao hilo haliwezekani
 
Hio ndio akili ya Viongozi wa Tz,

Hatuongezi uzalishaji, ila tunazuia waliozalisha wasipate Faida, ili mwakani washindwe kurudi Shamba kwa kukosa pesa.

Ushindani wa kibiashara ni kuongeza uzalishaji ili sekta ya kilimo iwe na faida, ardhi itumike vizuri iweze kuajiri vijana.

Ila kwa taifa linalouza Bandari, usitegemee lolote la Maana.

Pathetic!
 
Bei ya mbolea ni kubwa kuliko gunia la mahindi
 
Nawahurumia walikopa wakazika pesa shamba lazima walie mwaka huu,wengi ni watumishi hasa walimu
 
Serikali imefanya hivyo ili iweze kununua mahindi kwa wakulima tani laki tano ni mahindi mengi sana serikali haiwezi kuyapata huku ikiwa imeruhusu mengine kwenda nje.
 
Hio ndio akili ya Viongozi wa Tz,

Hatuongezi uzalishaji, ila tunazuia waliozalisha wasipate Faida, ili mwakani washindwe kurudi Shamba kwa kukosa pesa.

Ushindani wa kibiashara ni kuongeza uzalishaji ili sekta ya kilimo iwe na faida, ardhi itumike vizuri iweze kuajiri vijana.

Ila kwa taifa linalouza Bandari, usitegemee lolote la Maana.

Pathetic!
Kijana acha hasiri haki ya chakula ikikaa sawa mtauza huko nje!! Sawa?
 
Mazao Sio Mali ya serikali Bashe yupo sahihi.

Kuzuia kuuza nje chakula ni kuzidi kuongeza tatizo la ajira nchini. Kilimo kikilipa bodaboda na machinga watapungua mijini. Bodaboda na machinga ni wengi kuliko idadi ya wateja wao.

Mtaa upasao kuwa na bodaboda 5 kwa mgawanyo wa abiria una bodaboda 30 wanapokonyana abiria, kilimo kikilipa watapungua mijini kwenda shamba kulima.

Acheni gari za Kenya zimwage pesa shambani watu wawe na maendeleo,gunia la mahindi ilifikia laki 20 Leo elf 40 nani ataingia shamba kulima Tena msimu ujao.

Ishu ya chakulaa ni kupromote uzalishaji mapori yamejaa na Sio kuwanyima wakulima haki ya kuuza popote watakapo.
Hawa wananchi wakiishiwa chakula waanze tena kuililia serikali kiwaletea chakula sio!!!!!!????????
 
Wananchi ni mali ya serikali, na niwajibu wa serikali kuwalinda watu wake kwa kila namna.
Panapo tokea njaa na maafa wanachi huililia serikani, tena pasipo kukumbuka kwamba walio lima ni wao na walio uza chakula nje ni wao, then leo wanao lia njaa ni wao.
 
Nawahurumia walikopa wakazika pesa shamba lazima walie mwaka huu,wengi ni watumishi hasa walimu
Kulia sio kweli mahindi geita yana 90000 unalima shamba kwa kutumia 180000 mpaka kuivisha unapata junia 6*90000=540000 mara eka 10=5400000
 
Wakulima au wafanyabiashara ndiyo wanauza nje?
 
Lazima wapangiwe au umesahau kuwa wakulima walipewa mbolea ya ruzuku

Yani serikali itumie Kodi za wananchi kutoa mbolea za ruzuku alafu mazao yakiwa tayari yakawafaidishe wafanya biashara wa Kenya na wananchi wao hilo haliwezekani
Kama huna la kusema bora kukaa kimya tu.
 
Mazao yenyew haya apa
JPEG_20230618_133602_4148917641637849110.jpg
JPEG_20230618_133651_2071483984991946899.jpg
 
Back
Top Bottom