Mazayuni wanajiondoa GAZA kimyakimya kama walivyofanya Wamarekani Afghanistan

Walisema hawaondoki mpaka wawamalize Hamas, au umesahau?

Unaandika mambo mengi wakati mazayuni hao mkristo mwafrika kama wewe wanakuona najisi hivi:

Your browser is not able to display this video.

Unajuwa maana ya najisi? Ni mavi.
 
Nilivokuta hii post ni ya kibibi nikacheka
 
Hayo ni amrudio ya 50, na ndicho hicho Wapalestina wameamuwa kukipiga vita.

Wewe unayaona leo? mambo ambayo yapo toka 1948? Au huelewi kuwa hiyo Ghaza zaidi tya mara tatu Wapalestina wameshaondolewa hapo, wanazichapa wanarudi.

Siyo mapya hayo kijana, labda mapya kwako wewe usiyeijuwa dunia.
 
we unamjua Mungu wangu? , Mungu wangu yupo kijijini kwetu bado anaishi, apo amna anayeshobokewa wayahudi na waarabu wote hawatuhusu na maisha yetu, ila apo umepewa real facts
Acha kuvunga ww mfuasi wa zumaridi.
 
Walisema hawaondoki mpaka wawamalize Hamas, au umesahau?

Unaandika mambo mengi wakati mazayuni hao mkristo mwafrika kama wewe wanakuona najisi hivi:

View attachment 2860432

Unajuwa maana ya najisi? Ni mavi.
kwani wameondoka? au unaelewaje maana wa kuondoka Bibi?, hujasikia. kwamba wapalestina wanahamishiwa congo? hiyo hiyo Gaza ndo hawaipati tena
 
Kilichokuchekesha ni nini? Sijakiona kibibi humu. Unavijuwa vibibi wewe au unakurupuka tu?

Au ulimaanisha miss JF 2023?
bibi sababu umetajwa na nani sijui eti wewe ndo miss JF 2023 basi unajiona bado upo? 🤣🤣 bibi acha kuota ndoto za mchana? unasema hujaona kibibi humu ina maana we huwa hujioni??
 
Hamas gani hao ambao wamekamatwa kama kuku na kuvuliwa nguo ? Gaza imeshaondoka kama milima ya Golan ilivyondoka, poleni sana watu wa kazi.
Kaing'oe milima milima ya Golan.

Tazama mabwana zenu wanavyokimbia:

Your browser is not able to display this video.
 
bibi sababu umetajwa na nani sijui eti wewe ndo miss JF 2023 basi unajiona bado upo? 🤣🤣 bibi acha kuota ndoto za mchana? unasema hujaona kibibi humu ina maana we huwa hujioni??
JF wenye akili zao wanatazama madini hawabaguani kwa umri.

Sikushangai, nafahamu kuwa ubaguzi wa umri huwa nao wajinga kama wewe.
 
Sheria za vita hata mtu akikimbilia kwenye hospital, refugees camp , Huna ruhusa ya kwenda kubomb hospital kwa kisingizio hicho

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Ukishaandoa hao wengi ukaacha wachache tafsiri yake nini kiulinzi , hao unaowaacha maana yake wako katika high risk ya kumalizwa , nachoon mim watawandoa wote wabaki na air strikes kwa kutumi drone hicho ndo wanachokiweza

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Sheria za vita hata mtu akikimbilia kwenye hospital, refugees camp , Huna ruhusa ya kwenda kubomb hospital kwa kisingizio hicho

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
hamas wanalijua hilo na ndio maana miundombinu yao baadhi inasemekana wameijenga chini ya hospitali na mashule na makambi ya wakimbizi, sababu walijua huko hawawezi fuatwa.. sasa israel anakua hana jinsi bali kuvunja hizo sheria
 
Wengi wa waumini wa kikristo, wanashabikia Israel wakijua yakuwa waisraeli ni wakristo pia. Waisraeli sio wakristo na hata huyo Yesu Kristo hawamtambui. Kwa muisraeli ukristo ni upotevu na ibada ya sanamu. Mungu ni mwema sana siku moja haki itatendeka na wote wataishi pamoja
 
Reactions: Tui
Sio kweli kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…