Mazayuni wanajiondoa GAZA kimyakimya kama walivyofanya Wamarekani Afghanistan

Mazayuni wanajiondoa GAZA kimyakimya kama walivyofanya Wamarekani Afghanistan

Bibi vita bado mbichi ndo kwanza inaanza kama unahisi wayahudi wanajiondoa kama walivojiondoa amercan huko afghanistan utakua umekosea sana sababu kwanza amerca afghanistan sio nyumban kwake yupo kule kimaslah so anaweza ondoka anytime, ila kwa myahudi ni kwamba anaamini hapo ni kwake so aondoke aende wapi? yeye atafia hapo hapo ila sio kuondoka

tayari kichwa kikubwa cha hamas kishaliwa huko lebanon, pia pamoja na kwamba wanapunguza majeshi kichapo bado kinaendelea hakuna kilichopungua.

pia houthi tayari magaidi kumi washazamishwa majini walioponea chupu chupu wakakimboa, ngoja tuendelee kuona ujanja wao watafika wapi?
Walisema hawaondoki mpaka wawamalize Hamas, au umesahau?

Unaandika mambo mengi wakati mazayuni hao mkristo mwafrika kama wewe wanakuona najisi hivi:

Unajuwa maana ya najisi? Ni mavi.
 
Nilivokuta hii post ni ya kibibi nikacheka
 
Faiza: Tumwamini nani? Wewe au Aljazeera?

News|Israel War on Gaza

Israel maintains onslaught as Gaza death toll tops 22,000​

Gaza’s health ministry says 22,185 Palestinians have now been killed in Gaza since October 7.

A woman reacts standing in front of a house destroyed in Israeli bombardment in Rafah refugee camp

A woman reacts while standing in front of a house destroyed in Israeli bombardment in Rafah, in the southern Gaza Strip [AFP]
Published On 2 Jan 20242 Jan 2024

Israeli attacks have continued across the Gaza Strip with little let-up, as the death toll in the enclave rose above the latest milestone of 22,000.
The total number of Palestinians killed in Gaza since October 7 now stands at 22,185, while at least 57,000 have been injured, the Hamas-run Ministry of Health announced on Tuesday. Meanwhile, air and ground attacks continued across the Strip, including in the south, where hundreds of thousands of displaced people have been directed to seek safety.

Hayo ni amrudio ya 50, na ndicho hicho Wapalestina wameamuwa kukipiga vita.

Wewe unayaona leo? mambo ambayo yapo toka 1948? Au huelewi kuwa hiyo Ghaza zaidi tya mara tatu Wapalestina wameshaondolewa hapo, wanazichapa wanarudi.

Siyo mapya hayo kijana, labda mapya kwako wewe usiyeijuwa dunia.
 
we unamjua Mungu wangu? , Mungu wangu yupo kijijini kwetu bado anaishi, apo amna anayeshobokewa wayahudi na waarabu wote hawatuhusu na maisha yetu, ila apo umepewa real facts
Acha kuvunga ww mfuasi wa zumaridi.
 
Walisema hawaondoki mpaka wawamalize Hamas, au umesahau?

Unaandika mambo mengi wakati mazayuni hao mkristo mwafrika kama wewe wanakuona najisi hivi:

View attachment 2860432

Unajuwa maana ya najisi? Ni mavi.
kwani wameondoka? au unaelewaje maana wa kuondoka Bibi?, hujasikia. kwamba wapalestina wanahamishiwa congo? hiyo hiyo Gaza ndo hawaipati tena
 
Kilichokuchekesha ni nini? Sijakiona kibibi humu. Unavijuwa vibibi wewe au unakurupuka tu?

Au ulimaanisha miss JF 2023?
bibi sababu umetajwa na nani sijui eti wewe ndo miss JF 2023 basi unajiona bado upo? 🤣🤣 bibi acha kuota ndoto za mchana? unasema hujaona kibibi humu ina maana we huwa hujioni??
 
Hamas gani hao ambao wamekamatwa kama kuku na kuvuliwa nguo ? Gaza imeshaondoka kama milima ya Golan ilivyondoka, poleni sana watu wa kazi.
Kaing'oe milima milima ya Golan.

Tazama mabwana zenu wanavyokimbia:

bibi sababu umetajwa na nani sijui eti wewe ndo miss JF 2023 basi unajiona bado upo? 🤣🤣 bibi acha kuota ndoto za mchana? unasema hujaona kibibi humu ina maana we huwa hujioni??
JF wenye akili zao wanatazama madini hawabaguani kwa umri.

Sikushangai, nafahamu kuwa ubaguzi wa umri huwa nao wajinga kama wewe.
 
hiyo video ni kwamba Hamas wanapigana vita ya kuvizia.. wanavizia wayahudi walipo ndo wanawafanyia ambush alaf wanakimbia wanaenda kujificha kwenye makambi ya wakina mama na watoto, kichapo kikiwafuata kilio kinaanza israel anaua wakina mama na watoto, bila kujua kwamba hao wakinamama na watoto katikati yao wapo hamas
Sheria za vita hata mtu akikimbilia kwenye hospital, refugees camp , Huna ruhusa ya kwenda kubomb hospital kwa kisingizio hicho

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Bibi vita bado mbichi ndo kwanza inaanza kama unahisi wayahudi wanajiondoa kama walivojiondoa amercan huko afghanistan utakua umekosea sana sababu kwanza amerca afghanistan sio nyumban kwake yupo kule kimaslah so anaweza ondoka anytime, ila kwa myahudi ni kwamba anaamini hapo ni kwake so aondoke aende wapi? yeye atafia hapo hapo ila sio kuondoka

tayari kichwa kikubwa cha hamas kishaliwa huko lebanon, pia pamoja na kwamba wanapunguza majeshi kichapo bado kinaendelea hakuna kilichopungua.

pia houthi tayari magaidi kumi washazamishwa majini walioponea chupu chupu wakakimboa, ngoja tuendelee kuona ujanja wao watafika wapi?
Ukishaandoa hao wengi ukaacha wachache tafsiri yake nini kiulinzi , hao unaowaacha maana yake wako katika high risk ya kumalizwa , nachoon mim watawandoa wote wabaki na air strikes kwa kutumi drone hicho ndo wanachokiweza

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Sheria za vita hata mtu akikimbilia kwenye hospital, refugees camp , Huna ruhusa ya kwenda kubomb hospital kwa kisingizio hicho

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
hamas wanalijua hilo na ndio maana miundombinu yao baadhi inasemekana wameijenga chini ya hospitali na mashule na makambi ya wakimbizi, sababu walijua huko hawawezi fuatwa.. sasa israel anakua hana jinsi bali kuvunja hizo sheria
 
Ukiona unajikomba kwa mazayuni katika kugombea haki jua kwamba una mushkel kwenye ubongo wako.Hii sio vita ya kidini.Hii ni kati ya wanaonyimwa haki yao na madhalimu waliohodhi hiyo haki.ANC walipokuwa wakipigania haki yao waliitwa magaidi na Western World. Hayati Nelson Mandela aliitwa kiongozi wa magaidi.Hawakukata tamaa waliendeleza mapambano wakapata haki yako.The truth will always prevail licha ya vibaraka kujifanya wana masikitiko.
Wengi wa waumini wa kikristo, wanashabikia Israel wakijua yakuwa waisraeli ni wakristo pia. Waisraeli sio wakristo na hata huyo Yesu Kristo hawamtambui. Kwa muisraeli ukristo ni upotevu na ibada ya sanamu. Mungu ni mwema sana siku moja haki itatendeka na wote wataishi pamoja
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hakuna vita mbaya duniani kama mapigano ya mtaa kwa mtaa ( sreet fighting), hasa kama adui yako anafanana na raia.
Israeli ndiyo nchi ya kwanza duniani yenye mbinu bora zaidi ya mapigano ya aina hiyo.
Hata hivyo, Hamas ni jeshi kubwa lililokuwa na uwezo wa mbinu nyingi, silaha lukuki, nk. Ila kwa sasa ni kwishney. Ni wiki ya tatu sasa bila kuona rocket au guided missiles zozote zikirushwa kutoka Gaza kwenda Israel.
Sio kweli kabisa.
 
Back
Top Bottom