FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
- #61
Walisema hawaondoki mpaka wawamalize Hamas, au umesahau?Bibi vita bado mbichi ndo kwanza inaanza kama unahisi wayahudi wanajiondoa kama walivojiondoa amercan huko afghanistan utakua umekosea sana sababu kwanza amerca afghanistan sio nyumban kwake yupo kule kimaslah so anaweza ondoka anytime, ila kwa myahudi ni kwamba anaamini hapo ni kwake so aondoke aende wapi? yeye atafia hapo hapo ila sio kuondoka
tayari kichwa kikubwa cha hamas kishaliwa huko lebanon, pia pamoja na kwamba wanapunguza majeshi kichapo bado kinaendelea hakuna kilichopungua.
pia houthi tayari magaidi kumi washazamishwa majini walioponea chupu chupu wakakimboa, ngoja tuendelee kuona ujanja wao watafika wapi?
Unaandika mambo mengi wakati mazayuni hao mkristo mwafrika kama wewe wanakuona najisi hivi:
Unajuwa maana ya najisi? Ni mavi.