Mara nying maskini wengi hupenda ufahari na ndivyo ilivyo kwako.Mwenye uthubutu kuliko mpumbavu mmoja
AspiratedAchana na hayo ma turbo/superchager,naongelea natural aspired.
BMW 7 series kwa $1500? Acha kutufunga kamba basi
Hizo gari ni ngumu zaid ya mitoyota lakin kwel spare zake ni ghali lakin nying ni genuine tofaut na mitoyota spare zake fake kila mwaka unafunga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia be forward sasa hivi,Bmw 7 series ya 2009(full leather;sunroof) CIF yake ni $2300 wkt huo huo hapo hapo Be forward Toyota Carina ya 1997 inauzwa hio hio $2,300.
Unadhani ni kwanini Gari iliyokua ni flagship ya bmw tena model ya 2009 ilingane bei na gari 1 baya baya hivi la huko Toyota tena la mwaka 1997?
Cheki na hio.
Mkuu umeikosea heshima Carina TI Kwa kuita "gari Baya Baya"Ingia be forward sasa hivi,Bmw 7 series ya 2009(full leather;sunroof) CIF yake ni $2300 wkt huo hapo hapo Be forward Toyota Carina ya 1997 inauzwa hio hio $2,300 ikiwa na Km 145,000?
Unadhani ni kwanini Gari iliyokua ni flagship ya bmw tena model ya 2009 ilingane bei na gari 1 baya baya hivi la huko Toyota tena la mwaka 1997?
Hata ulaya resale value ya gari za japani ni kubwa ukilinganisha na za ulayaHAta huko nchi zilizoendelea kama Marekani, Canada Au hata Europe ukiuliza gari ambayo ni reliable watakwambia go for Toyota or Honda.
Mara nyingi sedans hazina bei sana kama SUVs.Ingia be forward sasa hivi,Bmw 7 series ya 2009(full leather;sunroof) CIF yake ni $2300 wkt huo hapo hapo Be forward Toyota Carina ya 1997 inauzwa hio hio $2,300 ikiwa na Km 145,000?
Unadhani ni kwanini Gari iliyokua ni flagship ya bmw tena model ya 2009 ilingane bei na gari 1 baya baya hivi la huko Toyota tena la mwaka 1997?
Mkuu.
'Ya daraja la chini kabisa na ndio maana yanauzwa bei ya chini kabisa',hio sentensi unamaanisha nini boss?
Be forward nilikuta mazda rx-7 swapped with 1jz-gte CIF yake ni $13,000 na gari hio hio nikaikuta Kule Trade car view CIF ni $17,400 na nikaikuta tena kwny Co. Nyingine ya japan inauzwa $18,100,hapo maana yake nini?
Na gari ni hio hio 1 maana VIN ni hio hio.
Exactly! Brand ya Toyota inajulikana kwa reliability everywhere sio Tanzania tu.Hata ulaya resale value ya gari za japani ni kubwa ukilinganisha na za ulaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Malizia Germany Sedans mkuu ndio zina resale value ndogo.Mara nyingi sedans hazina bei sana kama SUVs.
Labda ziwe zile brands zenye majina kama Bentley au Maserati.
Sent using Jamii Forums mobile app
VIN ikiwa ni hio hio maana yake gari ni 1 boss.Gari ni hiyo hiyo au ni model ni hiyo hiyo?
When it comes to reliability wazungu wanazitambua Toyota ikifuatiwa na Honda ndio zinafuata Japanese cars nyingine.Exactly! Brand ya Toyota inajulikana kwa reliability everywhere sio Tanzania tu.
Hahah yako ile TI sio ile ninayoimaanisha hapa mkuu.Hio hapo chini ni ile model ya zamani 1997 mkuu.Mkuu umeikosea heshima Carina TI Kwa kuita "gari Baya Baya"
Mimi mwenyewe napewa heshima na hiyo ndinga aisee
NAshangaa wabongo wanavoziponda.When it comes to reliability wazungu wanazitambua Toyota ikifuatiwa na Honda ndio zinafuata Japanese cars nyingine.
Ni kwa sababu ya reliability. Europeans cars ni nzuri sana hasa kwenye comfort, power and speed. Shida inakuja kwenye uimara na hapo ndio mjapan anapompiga gape.Malizia Germany Sedans mkuu ndio zina resale value ndogo.
Jiulize kwanini Germany Sedans resale value yake hua ni ndogo kuliko Japan Sedans.
Hebu cheki Lexus Ls460 ya miaka 11 iliyopita ambayo iko kwny category 1 na hio series 7 uone kama utaikuta hata 1 ambayo bei yake ina-range kwny hizo $2500-3000,huwezi kupata kamwe.Mkuu.
Hiyo ni gari ya miaka 11 iliopita.
Ulitaka iuzwe bei gani.?
Sent using Jamii Forums mobile app