Mazda kwanini hazipendwi Tanzania ilhali bei yake ipo chini?

Mazda kwanini hazipendwi Tanzania ilhali bei yake ipo chini?

BMW 7 series kwa $1500? Acha kutufunga kamba basi

Hizo gari ni ngumu zaid ya mitoyota lakin kwel spare zake ni ghali lakin nying ni genuine tofaut na mitoyota spare zake fake kila mwaka unafunga.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ingia be forward sasa hivi,Bmw 7 series ya 2009 yenye km 59,000 (full leather;sunroof) CIF yake ni $2300 wkt huo hapo hapo Be forward Toyota Carina ya 1997 inauzwa hio hio $2,300 ikiwa na Km 145,000?

Unadhani ni kwanini Gari iliyokua ni flagship ya bmw tena model ya 2009 ilingane bei na gari 1 baya baya hivi la huko Toyota tena la mwaka 1997?
 
Ingia be forward sasa hivi,Bmw 7 series ya 2009(full leather;sunroof) CIF yake ni $2300 wkt huo huo hapo hapo Be forward Toyota Carina ya 1997 inauzwa hio hio $2,300.

Unadhani ni kwanini Gari iliyokua ni flagship ya bmw tena model ya 2009 ilingane bei na gari 1 baya baya hivi la huko Toyota tena la mwaka 1997?
Screenshot_20200425-100441_Chrome.jpg
 
Ingia be forward sasa hivi,Bmw 7 series ya 2009(full leather;sunroof) CIF yake ni $2300 wkt huo hapo hapo Be forward Toyota Carina ya 1997 inauzwa hio hio $2,300 ikiwa na Km 145,000?

Unadhani ni kwanini Gari iliyokua ni flagship ya bmw tena model ya 2009 ilingane bei na gari 1 baya baya hivi la huko Toyota tena la mwaka 1997?
Mkuu umeikosea heshima Carina TI Kwa kuita "gari Baya Baya"
Mimi mwenyewe napewa heshima na hiyo ndinga aisee
 
Zipo lakini siyo nyingi...

Nadhani ni urahisi wa upatikanaji wa spare parts...

Cc: mahondaw
 
Ingia be forward sasa hivi,Bmw 7 series ya 2009(full leather;sunroof) CIF yake ni $2300 wkt huo hapo hapo Be forward Toyota Carina ya 1997 inauzwa hio hio $2,300 ikiwa na Km 145,000?

Unadhani ni kwanini Gari iliyokua ni flagship ya bmw tena model ya 2009 ilingane bei na gari 1 baya baya hivi la huko Toyota tena la mwaka 1997?
Mara nyingi sedans hazina bei sana kama SUVs.

Labda ziwe zile brands zenye majina kama Bentley au Maserati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee unaionaje Mazda Tribute ukiilinganisha na Rav 4?

Sent using Jamii Forums mobile app

Aisee sijawahi ku drive RAV 4, ila nikicheki kwenye uchanganyaji speed iko faster, stability kwenye speed,Engine ya 1980 cc wese naona ni kawaida, body ngumu kidogo....
Though experience yangu ni Xtrail 2011, Toyota Sienna 2009 na KIA 2003.

So mimi binafsi so far naiona ni gari nzuri tuu.

Alexander The Great
 
'Ya daraja la chini kabisa na ndio maana yanauzwa bei ya chini kabisa',hio sentensi unamaanisha nini boss?
Be forward nilikuta mazda rx-7 swapped with 1jz-gte CIF yake ni $13,000 na gari hio hio nikaikuta Kule Trade car view CIF ni $17,400 na nikaikuta tena kwny Co. Nyingine ya japan inauzwa $18,100,hapo maana yake nini?

Na gari ni hio hio 1 maana VIN ni hio hio.

Gari ni hiyo hiyo au ni model ni hiyo hiyo?
 
Mkuu umeikosea heshima Carina TI Kwa kuita "gari Baya Baya"
Mimi mwenyewe napewa heshima na hiyo ndinga aisee
Hahah yako ile TI sio ile ninayoimaanisha hapa mkuu.Hio hapo chini ni ile model ya zamani 1997 mkuu.

Yako nadhani ni ile ina ina sura nzuri(1988-2001) mkuu.
Screenshot_2020-04-25-17-39-26-1.jpg
 
Malizia Germany Sedans mkuu ndio zina resale value ndogo.

Jiulize kwanini Germany Sedans resale value yake hua ni ndogo kuliko Japan Sedans.
Ni kwa sababu ya reliability. Europeans cars ni nzuri sana hasa kwenye comfort, power and speed. Shida inakuja kwenye uimara na hapo ndio mjapan anapompiga gape.
 
Back
Top Bottom