Mkuu, Itakua vizuri sana kama utatoa hizo tricks. Mimi ni mmojawapo kati ya wanaohitaji kujua hii makitu
Ni Tricks tu hamna cha uchawi wala nini
Mwili wa binadamu unaweza fanya kitu chochote ukaonekana una super power but ni power of believe
Hata wewe unaweza tembea kwenye moto uki believe
Sasa ile powe ya ku believe ndio mshike mshike
Ila kuna shule zinafundisha mazingaombwe kwa maana they teach you magic TRICKS...
Pamoja na power of believe
mkuu haa mym nakubaliana na wewe kabisa kuwa hapa hakuna uchawi kwenye hizi mambo instead they are mind tricks tu
tatizo la watu wengi ni ile hofu ndani yao kwamba kuna baadhi ya mambo hayafai ku-judge bali ni kuitimisha
wakiona jambo jema(muujiza) limetukia basi utasikia MUNGU katenda
wakiona changa la macho basi utasikia uchawi huo
jamani sie pia tuna hofu ya MUNGU lakini hatupendi kupokea kila kitu bila ku-judge kwanza
what is this ?
why it is like this ?
why it's not like that ? etc
ukisha judge vya kutosha jarbu kufanyia research kidogo utaona ujanjika toto unavyo fanyika hapa
mbona hata mkuu GOD fearer mwenzangu Eiyer anaijua hii kitu
mimi nazani katika hii mada ndipo wakuu kama Kiranga, Mkuu wa chuo, Eiyer, cybertech, Mjuni Lwambo Ishmael e.t.c ndipo wanapokaa na kukubaliana na jibu moja
hebu tafuta muvi alizoziweka hapo juu mkuu RedGIANT uone ujanjika toto uNavyo fanyika wakuu
sijamuona tena Rakims akirudi na nondo, mkuu Rakims uko wapi mkuu tunakusubiri pamoja na mkuu Pasco
nazani mkuu Monstgala hajapita huku, akipita lazima atatuachia elimu kubwa
mkuu MziziMkavu tunakuitaji huku
.made in mby city.
Mkuu, mazingaombwe, mauzauza au viini macho ni ujanjaujanja tu(tricks)ambazo hata wewe ukielekezwa unaweza kuvifanya, ni sawasawa tu na tricks wanazofanya wahubiri wanaodai kuponya magonjwa na kutenda miujiza, huwa hakuna shetani wala roho mtakatifu anaekuwa involved. Nikipata muda naweza kuja kufafanua zaidi na kutoa mifano.
kweli jamaa ni magwiji wa tricks, mwanzoni nilijua ni uchawi aiseecheki hii hapa (si ya sukari! Lakini itakupa some hints):
[video]https://m.youtube.com/watch?v=vKE6rdOs8Pc[/video]
Leo hii nimeshuhudia mazingaombwe kupitia Channel 10 na nikakumbuka yale ya shule za msingi enzi hizo.
Sasa najiuliza,hivi hii ni sayansi au uchawi?