Nakumbuka bar maid flan mkaliii alikunywa bia zangu kibao lakini akawa anazingua kutoa mzigo, kama mwezi kila nkienda ile bar naitwa shem na wenzake japo mzigo sijala. Nkawa na hasira sana nae kinomq, nkakata mguu kama wiki2 siend ile bar, day1 napigiwa simu namba ngen kumbe yeye akadai kama vp niende pale job kwake ntaondoka nae baada ya saa za kazi
Nilitimba akaninunulia Kvant kubwa nikapiga had akaja geto moto alioupata ananikumbukaga hadi leo japo alishama dar karudi kwao Arusha.
Hata mm sifahamu nguvu nlizitoa wapi
Sent using
Jamii Forums mobile app