Mazingira na hali ya siasa ya Tanzania imeimarika na kuboreshwa mno katika awamu ya sita ukilinganisha na kipindi kilichopita

Kikubwa ni ukweli usemwe na ndio ukweli wako nimekupa hivyo, mengine yote majaliwa tu.
 
mambo yote kuhusu ngorongoro yalishaamuliwa na kwisha kwa amani kwa mujibu wa sharia,

wakaidi wachache wanaorubuniwa na wanaharakati na wanasiasa waliokosa uelekeo nao wamedhibitiwa katika kuharibu eneo hilo muhimu sana la kiasili na kihistiria kwa utalii....

watiifu kwa sheria na katiba ya nchi wapo wanaenjoy maisha huko homera mkoani Tanga
 
wakaidi wachache wanaorubuniwa na wanaharakati na wanasiasa waliokosa uelekeo nao wamedhibitiwa katika kuharibu eneo hilo muhimu sana la kiasili na kihistiria kwa utalii....
Waarabu wanaohamisha wanyama unawazungumziaje?
 

CCM since 1975 haijawai kufanya makosa ya kukamatwa na kuwekwa lockup?

Moyo wako unajua kabisa unachoongea ni wrong sio sahihi

Unajua ndio maana hata Rais anachagua wazee kwenye teuzi zake au anawarudisha wale wale wa zaman

Because vijana wengi mko kama hamjielewi

Mnahisi kusifia kila Jambo ndio siasa Bora

Sio kila Jambo la kusifia, sometimes ongea fact Tu

Sometimes ni watendaji wa chini ya Rais wanavurunda Kwa utashi wao

Ww unaacha kukemea unakuja na Sera za kutaka kumsifia Rais while possibly hata yeye mwenyewe hakupendezwa na Hilo Jambo
 
Na utekaji umeongezeka pia ukilinganisha na kipindi kilichopita
utekaji, uharamia na ugaidi ni changanoto mtambuka ya kihalifu kwa usalama wa watu, makazi na mali zao kwa dunia nzima,

hata hivyo nchini kwetu Tanzania,
matukio ya utekaji ni nadra sana na machache mno ukilinganisha na maeneo mengine africa mashariki, Africa, Ulaya, Asia, Marekani na dunia nzima kwa ujumla,

tanzania tuna nafuu zaidi kwenye hilo, na tupo madhubuti mno kukabiliana na matukio ya aina hiyo, licha ya malalamiko na manung"unuko ya wananchi kwamba vyombo vya ulibzi na usalama havichukui hatua za kutosha kukabiliana na changamoto hiyo,

niwahakikishie,
vyombo imara na vya kisasa vya ulinzi na usalama Tanzania, vimejipanga vyema sana kudhibuti uhalifu huo kisasa zaidi, na hakuna atakaesalimika endapo atajihusisha na aina hizo za kihalifu.

ni muhimu zaidi wananchi kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama ikiwa wana taarifa zozote kuhusu utekaji.
 
Waarabu wanaohamisha wanyama unawazungumziaje?
hembu andikia uzi mahususi tuone itakuaje,

lakini kwasasa na dhani ni bayana kuimarika kwa demokrasia nchini kumechochea pakubwa uhuru, usawa na haki ya kuhoji mambo mbalimbali kama hivyo yaan dah? unaenjoy ee muungwana, si ndiyo?
 
ukweli una tabia ya kukera,

kwahiyo ni vizuri kua mstahimilivu na mwenye subra kidogo...
binafsi siwezi kupepesa macho wala kubabaika kubainisha ukweli uliyo bayana kabisa, utake, usitake, upende usipende but record lazima ziwekwe sawa.....

hapa jambo la maana hapa sio kusifia ni ukweli tu gentleman,

hiyo ya sijui kurudisha mawaziri serikalini au viongozi wanavurunda ni katika ubinadamu wao tu, lakini kwa kweli Ris Dr.Samia Suluhu Hassan, pamoja na wasidizi wake, katika eneo la kuimarisha mazingira bora na ya usawa ya kidemokrasia nchini, amefanikiwa sana
 
Magulification must go on.

Najua Zitto kabwe alikiri makosa waliyofanya upinzani Tanzania baada ya kifo cha Rais mpendwa, Hayati Rais John Pombe Magufuli.

Kwamba walichangia kwa kiasi kikubwa mazingira mabovu ya wanja la siasa
==============
hivi sasa kuna mageuzi makubwa ya kisheria na kisiasa, mazingira ya kidemokrasia ni mazuri mno
 

Amefanikiwa Sana ukimlinganisha na nani? Wa Chama gani?
 
Amefanikiwa Sana ukimlinganisha na nani? Wa Chama gani?
kwenye siasa tunalinganisha zaidi vipindi na nyakati , watu si muhimu hata kidogo,

mathalani,
ukweli ni kwamba mazingira ya demokrasia nchini Tanzania yamekua bora zaidi hivi sasa, ukilinganisha vipindi vilivyopita
 
kwenye siasa tunalinganisha zaidi vipindi na nyakati , watu si muhimu hata kidogo,

mathalani,
ukweli ni kwamba mazingira ya demokrasia nchini Tanzania yamekua bora zaidi hivi sasa, ukilinganisha vipindi vilivyopita

Kama kipindi cha Rais Gani?
 
Kama kipindi cha Rais Gani?
Hayati Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Magufuli na hata kipindi cha Rais mstaafu mh.kikwete,

mazingira ya sasa ya demokrasia ni bora zaidi na ni tofauti zaidi ๐Ÿ’
 
Wajinga kazi Yao ni kusifu tu hata kama serikali imejaa anasa na corrupt. Serikali hii imejaa anasa na corrupt mno
 
Wajinga kazi Yao ni kusifu tu hata kama serikali imejaa anasa na corrupt. Serikali hii imejaa anasa na corrupt mno
waerevu wa siku hizi ni mihemko na ghadhabu tu kwendra mbele hakuna fikra mbadala wala mawazo mapya ๐Ÿคฃ

dah kukasirikia ukweli tu dah aise!!๐Ÿคฃ
 
Hayati Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Magufuli na hata kipindi cha Rais mstaafu mh.kikwete,

mazingira ya sasa ya demokrasia ni bora zaidi na ni tofauti zaidi ๐Ÿ’

Kwamba wakati wa kikwete wanasiasa walikuwa wanatekwa na kuwekwa kusikojulikana kama this time?

I think huu ni uongo pro max
 
Mi nashangaa wakati chama ni kilekile kimoja Cha CCM na Ilani yake inatekelezwa na Kila kiongozi anayekuja madarakani..yote iwe ya mama yetu Dr SSH au ya JPM ni utekelezaji wa Ilani Moja tu..sasa Hawa wanaokuja na lugha za kumgombanisha huwa Wana Nia gani sijui..Dr SSH alishasema huwezi mtenga yeye na JPM mtangulizi wake hata kidogo..na ameshasema mwenyewe hataki MACHAWA..sasa haya wanayoendeleza nadhan wanataka kumchafulia mama yetu....Si afya...
 
Haya uliyoongea hayana afya Kwa Taifa Wala Kwa Serikali ya mama yetu Dr SSH..Rais wetu ameshasema anaendeleza pale JPM alipoishia na kuendelea kutekeleza Ilani ya Chama...na yeye ni Mwenyekiti wake...usituambie kama Ilani aliyokuwa akitekeleza JPM na SSH ni tofauti..mwacheni mama aendelee kupaa msimtafutie maadui..janja yenu tumeshaishtukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ