Mazingira na hali ya siasa ya Tanzania imeimarika na kuboreshwa mno katika awamu ya sita ukilinganisha na kipindi kilichopita

Mazingira na hali ya siasa ya Tanzania imeimarika na kuboreshwa mno katika awamu ya sita ukilinganisha na kipindi kilichopita

muhimu ni ukweli usemwe na usisitizwe vyema na kujulikana bayana jamii nzoma kitaofa na kimataifa kwamba hali ya siasa na demokrasia Tanzania imeimarika zaidi kuliko walati mwingine wote,

hii ya kubabaika na sijui ati umuite nani nini,
kwa wangwana tulio makini na watulivu ni useless na nonsense kabisa...

na nashauri kama inakusaidia kupata walau juice mezani, basi ni muhimu zaidi uongeze bidii zaidi ya kuita wengine na mimi hovyo hovyo zaidi na itakupendeza zaid, right?
Kikubwa ni ukweli usemwe na ndio ukweli wako nimekupa hivyo, mengine yote majaliwa tu.
 
mambo yote kuhusu ngorongoro yalishaamuliwa na kwisha kwa amani kwa mujibu wa sharia,

wakaidi wachache wanaorubuniwa na wanaharakati na wanasiasa waliokosa uelekeo nao wamedhibitiwa katika kuharibu eneo hilo muhimu sana la kiasili na kihistiria kwa utalii....

watiifu kwa sheria na katiba ya nchi wapo wanaenjoy maisha huko homera mkoani Tanga:pulpTRAVOLTA:
 
wakaidi wachache wanaorubuniwa na wanaharakati na wanasiasa waliokosa uelekeo nao wamedhibitiwa katika kuharibu eneo hilo muhimu sana la kiasili na kihistiria kwa utalii....
Waarabu wanaohamisha wanyama unawazungumziaje?
 
hapa sio suala la nani na nani,

wengine la muhimu zaidi kwetu ni kusema ukweli tu,
na tabia ya ukweli daima ni mchungu na ndio maana wewe na hata hao wangwana hapo juu wamepata mihemko na kunikasirikia kwasababu hawapendi kuskia au kuambiwa ukweli,

zaidi sana hawapendi kuona Dr.Samia Suluhu Hassan akiendelea kujenga mazingira ya usawa na bora zaidi ya kedemokrasia nchini....

wanasiasa ni vizuri kujiepusha na kukiuka sheria kwa makusud ili mchukuliwe hatua za kisheria, mkitegemea huruma ya wananchi nyakati za uchaguzi, haitasaidia:BASED:

CCM since 1975 haijawai kufanya makosa ya kukamatwa na kuwekwa lockup?

Moyo wako unajua kabisa unachoongea ni wrong sio sahihi

Unajua ndio maana hata Rais anachagua wazee kwenye teuzi zake au anawarudisha wale wale wa zaman

Because vijana wengi mko kama hamjielewi

Mnahisi kusifia kila Jambo ndio siasa Bora

Sio kila Jambo la kusifia, sometimes ongea fact Tu

Sometimes ni watendaji wa chini ya Rais wanavurunda Kwa utashi wao

Ww unaacha kukemea unakuja na Sera za kutaka kumsifia Rais while possibly hata yeye mwenyewe hakupendezwa na Hilo Jambo
 
Na utekaji umeongezeka pia ukilinganisha na kipindi kilichopita
utekaji, uharamia na ugaidi ni changanoto mtambuka ya kihalifu kwa usalama wa watu, makazi na mali zao kwa dunia nzima,

hata hivyo nchini kwetu Tanzania,
matukio ya utekaji ni nadra sana na machache mno ukilinganisha na maeneo mengine africa mashariki, Africa, Ulaya, Asia, Marekani na dunia nzima kwa ujumla,

tanzania tuna nafuu zaidi kwenye hilo, na tupo madhubuti mno kukabiliana na matukio ya aina hiyo, licha ya malalamiko na manung"unuko ya wananchi kwamba vyombo vya ulibzi na usalama havichukui hatua za kutosha kukabiliana na changamoto hiyo,

niwahakikishie,
vyombo imara na vya kisasa vya ulinzi na usalama Tanzania, vimejipanga vyema sana kudhibuti uhalifu huo kisasa zaidi, na hakuna atakaesalimika endapo atajihusisha na aina hizo za kihalifu.

ni muhimu zaidi wananchi kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama ikiwa wana taarifa zozote kuhusu utekaji.:pulpTRAVOLTA:
 
Waarabu wanaohamisha wanyama unawazungumziaje?
hembu andikia uzi mahususi tuone itakuaje,

lakini kwasasa na dhani ni bayana kuimarika kwa demokrasia nchini kumechochea pakubwa uhuru, usawa na haki ya kuhoji mambo mbalimbali kama hivyo yaan dah? unaenjoy ee muungwana, si ndiyo?:pulpTRAVOLTA:
 
CCM since 1975 haijawai kufanya makosa ya kukamatwa na kuwekwa lockup?

Moyo wako unajua kabisa unachoongea ni wrong sio sahihi

Unajua ndio maana hata Rais anachagua wazee kwenye teuzi zake au anawarudisha wale wale wa zaman

Because vijana wengi mko kama hamjielewi

Mnahisi kusifia kila Jambo ndio siasa Bora

Sio kila Jambo la kusifia, sometimes ongea fact Tu

Sometimes ni watendaji wa chini ya Rais wanavurunda Kwa utashi wao

Ww unaacha kukemea unakuja na Sera za kutaka kumsifia Rais while possibly hata yeye mwenyewe hakupendezwa na Hilo Jambo
ukweli una tabia ya kukera,

kwahiyo ni vizuri kua mstahimilivu na mwenye subra kidogo...
binafsi siwezi kupepesa macho wala kubabaika kubainisha ukweli uliyo bayana kabisa, utake, usitake, upende usipende but record lazima ziwekwe sawa.....

hapa jambo la maana hapa sio kusifia ni ukweli tu gentleman,

hiyo ya sijui kurudisha mawaziri serikalini au viongozi wanavurunda ni katika ubinadamu wao tu, lakini kwa kweli Ris Dr.Samia Suluhu Hassan, pamoja na wasidizi wake, katika eneo la kuimarisha mazingira bora na ya usawa ya kidemokrasia nchini, amefanikiwa sana :pulpTRAVOLTA:
 
Magulification must go on.

Najua Zitto kabwe alikiri makosa waliyofanya upinzani Tanzania baada ya kifo cha Rais mpendwa, Hayati Rais John Pombe Magufuli.

Kwamba walichangia kwa kiasi kikubwa mazingira mabovu ya wanja la siasa
==============
hivi sasa kuna mageuzi makubwa ya kisheria na kisiasa, mazingira ya kidemokrasia ni mazuri mno :pulpTRAVOLTA:
 
ukweli una tabia ya kukera,

kwahiyo ni vizuri kua mstahimilivu na mwenye subra kidogo...
binafsi siwezi kupepesa macho wala kubabaika kubainisha ukweli uliyo bayana kabisa, utake, usitake, upende usipende but record lazima ziwekwe sawa.....

hapa jambo la maana hapa sio kusifia ni ukweli tu gentleman,

hiyo ya sijui kurudisha mawaziri serikalini au viongozi wanavurunda ni katika ubinadamu wao tu, lakini kwa kweli Ris Dr.Samia Suluhu Hassan, pamoja na wasidizi wake, katika eneo la kuimarisha mazingira bora na ya usawa ya kidemokrasia nchini, amefanikiwa sana :pulpTRAVOLTA:

Amefanikiwa Sana ukimlinganisha na nani? Wa Chama gani?
 
Amefanikiwa Sana ukimlinganisha na nani? Wa Chama gani?
kwenye siasa tunalinganisha zaidi vipindi na nyakati , watu si muhimu hata kidogo,

mathalani,
ukweli ni kwamba mazingira ya demokrasia nchini Tanzania yamekua bora zaidi hivi sasa, ukilinganisha vipindi vilivyopita :pulpTRAVOLTA:
 
Kama kipindi cha Rais Gani?
 
Kama kipindi cha Rais Gani?
Hayati Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Magufuli na hata kipindi cha Rais mstaafu mh.kikwete,

mazingira ya sasa ya demokrasia ni bora zaidi na ni tofauti zaidi 🐒
 
kwamba sasa mazingira ya kufanya kazi za siasa ni sawa, lakini kuna uhuru wa kufanya siasa bila mipaka, vizuizi wala vipingamizi ilimradi tu kufuata na kuzingatia sheri na kuzitii bila shuruti, kiburi au ukaidi...

uhuru kwa vyama vya siasa kukusanyika kufanya mikutano ya ndani na ya hadhara bila kuzuiwa.
uhuru wa kuijieleza na kutoa taarifa au maoni kupitia vyombo vya habari ukilinganisha na kipindi kilichopita...

uhuru na haki kwa vyama vya siasa kufanya maandamano ya amani na kuwasilisha madai, malalamiko, hoja, mapendekezo na maoni yao kwenye taasisi, idara, mamlaka, mashirika ya kitaifa na kimataifa kadiri waandamanaji wanavyoona inafaa n.k

uwajibikaji serikali katika kuwatumikia wananchi, uwazi na utawala bora wa Sheria vina tekelezwa kikamilifu licha ya kasoro na dosari kidogo za kibinadamu za hapa na pale...

mifumo ya utoaji haki na huduma kwa wananchi imeimarika zaidi huku mahitaji muhimu ya wananchi yakitolewa kwa kuzingatia muda, mathalani huko kwenye vyombo vya kutolea haki n.k..

uhuru wa vyombo vya habari na mazingira bora ya kupata na kutoa habari, yameboreshwa na yana usawa zaidi ukilinganisha na kipindi kipindi kingine na hali hii imepelekea kuibuka au kuanzishwa kwa vyombo vya habari vingi zaidi nchini Tanzania...

umoja, amani na utulivu pia vimeimarika sana, katika awamu hii ya sita chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan kwasabb ya mazingira bora ya uhuru, haki na usawa katika kufanya siasa miongoni mwa vyama vya siasa na utoaji huduma kwa haki na usawa kwa wananchi...

kuimarika kwa hali ya kisiasa nchini pia kumechochea huduma za kijamii kama vile maji, afya, elimu, kilimo, miundombinu, uvuvi, usafishaji n.k kuimarisha zaidi..

hayo ni kwa uchache tu,
ukweli ni kwamba Dr Samia Suluhu Hassan Rais na kipenzi cha waTanzania, amaifungua nchi ni vile tu baadhi ya wanasiasa wa Tanzania wamezoea ukaidi ili kupata huruma ya wananchi wanapotiwa nguvuni kwa kukiuka sheria na kuhatarisha amani kwa kuendekeza siasa za fujo, wanashindwa kuacha kudeka na kukaidi kutii sheria bila shuruti na matokeo yake kwa makusudi wanakutana na mkono wa sheria ili baadae wapate cha kuwaambia wananchi ili waonewe huruma..

Mungu Ibariki Tanzania 🐒
Wajinga kazi Yao ni kusifu tu hata kama serikali imejaa anasa na corrupt. Serikali hii imejaa anasa na corrupt mno
 
Wajinga kazi Yao ni kusifu tu hata kama serikali imejaa anasa na corrupt. Serikali hii imejaa anasa na corrupt mno
waerevu wa siku hizi ni mihemko na ghadhabu tu kwendra mbele hakuna fikra mbadala wala mawazo mapya 🤣

dah kukasirikia ukweli tu dah aise!!🤣
 
Hayati Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Magufuli na hata kipindi cha Rais mstaafu mh.kikwete,

mazingira ya sasa ya demokrasia ni bora zaidi na ni tofauti zaidi 🐒

Kwamba wakati wa kikwete wanasiasa walikuwa wanatekwa na kuwekwa kusikojulikana kama this time?

I think huu ni uongo pro max
 
☝🏿Unataka kudai hawa wapinzani wanazingatia sheria? Bila shuruti? Umemuona 'Sugu'?

☝🏿Huo ni uwongo. Uhuru wa kufanya mikutano ya ndani ulikuwepo na hata hiyo ya nje haikuzuiwa, sema kulikuwa na masharti ya kufanya mikutano ya hadhara. Na maoni yalikuwa yakisikilizwa....

Kama itakumbukwa, ni wakati wa Hayat Rais Magufuli ndipo tulipoona Wananchi wakiwasilisha madai na malalamiko yao-kwa mabango-hayo juu uliyoyaandika yana ukakasi.

Hakuna kipindi chechote katika historia ya Tanzania ambapo Serikali ya Tanzania iliwajibika kuwahudumia Wananchi-Serikali ya Hayat Rais Magufuli iliwajibika na inapaswa kupewa maua yake.

🙄🤭

Serikali ya Hayati Rais John Pombe ilikuwa ni ya wateteaji, waulize wananchi. Je Unakumbuka Poll iliyofanywa na Citizens?

Tanzania, sehemu yeyote ile Duniani, inajulikana kwa Umoja amani na utulivu-utueleze sisi Watanzania, lini tulikosa amani na utulivu?

☝🏿 Huduma za Kijamii, Afya, Elimu -miundombinu n.k-vilikuwa vimepewa vipaumbele katika Serikali ya Hayat Rais na kulingana na vyanzo vikubwa vya habari-mapinduzi makubwa ya Kiuchumi na Kijamii yalifanyika katika kipindi kilichopita that is a fact. Haya matunda unayoona, yanatokana na Sera za Serikali iliyopita. That is a fact. Jiulize, ni sera gani iliyobadilika. Kugawa Rasilimali za Nchi?

Mkuu, kwanini mnatufanya Watanzania ni "Mazuzu"?

Kwanini mnaendeleza propaganda hasi?
Mi nashangaa wakati chama ni kilekile kimoja Cha CCM na Ilani yake inatekelezwa na Kila kiongozi anayekuja madarakani..yote iwe ya mama yetu Dr SSH au ya JPM ni utekelezaji wa Ilani Moja tu..sasa Hawa wanaokuja na lugha za kumgombanisha huwa Wana Nia gani sijui..Dr SSH alishasema huwezi mtenga yeye na JPM mtangulizi wake hata kidogo..na ameshasema mwenyewe hataki MACHAWA..sasa haya wanayoendeleza nadhan wanataka kumchafulia mama yetu....Si afya...
 
kwamba sasa mazingira ya kufanya kazi za siasa ni sawa, lakini kuna uhuru wa kufanya siasa bila mipaka, vizuizi wala vipingamizi ilimradi tu kufuata na kuzingatia sheri na kuzitii bila shuruti, kiburi au ukaidi...

uhuru kwa vyama vya siasa kukusanyika kufanya mikutano ya ndani na ya hadhara bila kuzuiwa.
uhuru wa kuijieleza na kutoa taarifa au maoni kupitia vyombo vya habari ukilinganisha na kipindi kilichopita...

uhuru na haki kwa vyama vya siasa kufanya maandamano ya amani na kuwasilisha madai, malalamiko, hoja, mapendekezo na maoni yao kwenye taasisi, idara, mamlaka, mashirika ya kitaifa na kimataifa kadiri waandamanaji wanavyoona inafaa n.k

uwajibikaji serikali katika kuwatumikia wananchi, uwazi na utawala bora wa Sheria vina tekelezwa kikamilifu licha ya kasoro na dosari kidogo za kibinadamu za hapa na pale...

mifumo ya utoaji haki na huduma kwa wananchi imeimarika zaidi huku mahitaji muhimu ya wananchi yakitolewa kwa kuzingatia muda, mathalani huko kwenye vyombo vya kutolea haki n.k..

uhuru wa vyombo vya habari na mazingira bora ya kupata na kutoa habari, yameboreshwa na yana usawa zaidi ukilinganisha na kipindi kipindi kingine na hali hii imepelekea kuibuka au kuanzishwa kwa vyombo vya habari vingi zaidi nchini Tanzania...

umoja, amani na utulivu pia vimeimarika sana, katika awamu hii ya sita chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan kwasabb ya mazingira bora ya uhuru, haki na usawa katika kufanya siasa miongoni mwa vyama vya siasa na utoaji huduma kwa haki na usawa kwa wananchi...

kuimarika kwa hali ya kisiasa nchini pia kumechochea huduma za kijamii kama vile maji, afya, elimu, kilimo, miundombinu, uvuvi, usafishaji n.k kuimarisha zaidi..

hayo ni kwa uchache tu,
ukweli ni kwamba Dr Samia Suluhu Hassan Rais na kipenzi cha waTanzania, amaifungua nchi ni vile tu baadhi ya wanasiasa wa Tanzania wamezoea ukaidi ili kupata huruma ya wananchi wanapotiwa nguvuni kwa kukiuka sheria na kuhatarisha amani kwa kuendekeza siasa za fujo, wanashindwa kuacha kudeka na kukaidi kutii sheria bila shuruti na matokeo yake kwa makusudi wanakutana na mkono wa sheria ili baadae wapate cha kuwaambia wananchi ili waonewe huruma..

Mungu Ibariki Tanzania 🐒
Haya uliyoongea hayana afya Kwa Taifa Wala Kwa Serikali ya mama yetu Dr SSH..Rais wetu ameshasema anaendeleza pale JPM alipoishia na kuendelea kutekeleza Ilani ya Chama...na yeye ni Mwenyekiti wake...usituambie kama Ilani aliyokuwa akitekeleza JPM na SSH ni tofauti..mwacheni mama aendelee kupaa msimtafutie maadui..janja yenu tumeshaishtukia
 
Attachments

  • FB_IMG_1723968435833.jpg
    FB_IMG_1723968435833.jpg
    87.7 KB · Views: 1
Back
Top Bottom