BabuFey
JF-Expert Member
- Feb 13, 2023
- 1,659
- 2,913
CP Awadhi ndio mfano mzu
We sio timamu.
CP Awadhi ndio mfano mzuri wa utawala wa sheria kwa maoni yako?hapa sio suala la nani na nani,
wengine la muhimu zaidi kwetu ni kusema ukweli tu,
na tabia ya ukweli daima ni mchungu na ndio maana wewe na hata hao wangwana hapo juu wamepata mihemko na kunikasirikia kwasababu hawapendi kuskia au kuambiwa ukweli,
zaidi sana hawapendi kuona Dr.Samia Suluhu Hassan akiendelea kujenga mazingira ya usawa na bora zaidi ya kedemokrasia nchini....
wanasiasa ni vizuri kujiepusha na kukiuka sheria kwa makusud ili mchukuliwe hatua za kisheria, mkitegemea huruma ya wananchi nyakati za uchaguzi, haitasaidia![]()
We sio timamu.