Mazingira na hali ya siasa ya Tanzania imeimarika na kuboreshwa mno katika awamu ya sita ukilinganisha na kipindi kilichopita

Mazingira na hali ya siasa ya Tanzania imeimarika na kuboreshwa mno katika awamu ya sita ukilinganisha na kipindi kilichopita

CP Awadhi ndio mfano mzu
hapa sio suala la nani na nani,

wengine la muhimu zaidi kwetu ni kusema ukweli tu,
na tabia ya ukweli daima ni mchungu na ndio maana wewe na hata hao wangwana hapo juu wamepata mihemko na kunikasirikia kwasababu hawapendi kuskia au kuambiwa ukweli,

zaidi sana hawapendi kuona Dr.Samia Suluhu Hassan akiendelea kujenga mazingira ya usawa na bora zaidi ya kedemokrasia nchini....

wanasiasa ni vizuri kujiepusha na kukiuka sheria kwa makusud ili mchukuliwe hatua za kisheria, mkitegemea huruma ya wananchi nyakati za uchaguzi, haitasaidia:BASED:
CP Awadhi ndio mfano mzuri wa utawala wa sheria kwa maoni yako?
We sio timamu.
 
Haya uliyoongea hayana afya Kwa Taifa Wala Kwa Serikali ya mama yetu Dr SSH..Rais wetu ameshasema anaendeleza pale JPM alipoishia na kuendelea kutekeleza Ilani ya Chama...na yeye ni Mwenyekiti wake...usituambie kama Ilani aliyokuwa akitekeleza JPM na SSH ni tofauti..mwacheni mama aendelee kupaa msimtafutie maadui..janja yenu tumeshaishtukia
ni vizur kupokea ukweli wa maelezo na hali halisi ya kushamiri kwa uhuru, haki na usawa katika Demokrasia nchini bila mihememko wala ghadhab 🐒

hakuna mbambamba, porojo wala story za pata potea, na hairuhusiwi kutumia 4rs theory kuleta fujo na kuhatarisha umoja, amani na Utulivu wa wananchi 🐒
 
CP Awadhi ndio mfano mzu
CP Awadhi ndio mfano mzuri wa utawala wa sheria kwa maoni yako?
We sio timamu.
hala nchi hii haiongozwi kwa dosari au kasoro za mtu yeyote, na wala hakuna kubabaika kibinafsi...

nchi yetu inaongozwa na sheria, lakini pia na katiba ambayo ndio sheria mama.
ukikaidi kutii sheria bila shuruti, kiburi yako lazima inyoroshwe na akili ikae sawa kidogo...

ni Muhimu Zaidi kujifunza kutii sheria bila shuruti, sawa gentleman?🐒
 
CP Awadhi ndio mfano mzu
CP Awadhi ndio mfano mzuri wa utawala wa sheria kwa maoni yako?
We sio timamu.
hii habari ya eneo hili iliishiaga isha kwa mujibu wa kanuni na sheria za nchi....

kama wanaharakati na wanasiasa waliofilisika hoja wataendelea kuwarubuni wakaidi wachache wanaodinda kuhamia homera, hiyo ni shauri yao, lakini eneo hilo shughuli za kibinadamu ni marufuku kwa mujibu wa sheria, wapenda wasipende.....

ni haki na uhuru wao kuandamana lakini sio ndani ya eneo la hifadhi la ngoringoro 🐒
 
Mi nashangaa wakati chama ni kilekile kimoja Cha CCM na Ilani yake inatekelezwa na Kila kiongozi anayekuja madarakani..yote iwe ya mama yetu Dr SSH au ya JPM ni utekelezaji wa Ilani Moja tu..sasa Hawa wanaokuja na lugha za kumgombanisha huwa Wana Nia gani sijui..Dr SSH alishasema huwezi mtenga yeye na JPM mtangulizi wake hata kidogo..na ameshasema mwenyewe hataki MACHAWA..sasa haya wanayoendeleza nadhan wanataka kumchafulia mama yetu....Si afya...
CCM iliahidi wananchi maendeleo kwa maneno, na hivi sasa inatekeleza kwa vitendo miradi mbalimbali ya maendeleo kama vile umeme, maji, Afya, elimu, miundombinu, kilimo, usafirishaji, biashara, uvuvi, Demokrasia n.k bila mbambamba ya mtu au kikundi cha watu Fulani wenye ghadhab au mihememko, bali kwa maslahi mapana ya waTanzania wote 🐒
 
Kwamba wakati wa kikwete wanasiasa walikuwa wanatekwa na kuwekwa kusikojulikana kama this time?

I think huu ni uongo pro max
ni muhimu ukafanya tathmini ya kina, na bilashaka utagundua vyema tangu uhuru nchi yetu haijawahi kua na mazingira bora, huru, ya haki na usawa kidemokrasia kama ilivyo sasa chini ya awamu ya sita na Dr Samia Suluhu Hassan 🐒
 
Mkuu ujaribu hata kuona aibu kidogo!
Haki ipi mkuu 83 wametekwa na wengine kupotezwa kabisa?
 
Mkuu ujaribu hata kuona aibu kidogo!
Haki ipi mkuu 83 wametekwa na wengine kupotezwa kabisa?
kwa kiasi gani imezuia kuimarika kwa demokrasia uhuru na usawa kwa ambao hawajatekwa?🐒

kutekwa, kupotea ama kuaga dunia kwa mtu au watu fulani ama hata mimi nikifa kwa mamna yoyote ile, sio mwisho wa maendeleo na demokrasia.

kwa watu makini na wenye maono ya mbali, hiyo ni fursa ya kuimarisha na kuboresha mazingira uwazi , usawa na haki za kidemokrasia yawe bora zaidi ili kuepusha hayo unayozubaa kuyalalamikia yasitokee mbeleni 🐒
 
ni muhimu ukafanya tathmini ya kina, na bilashaka utagundua vyema tangu uhuru nchi yetu haijawahi kua na mazingira bora, huru, ya haki na usawa kidemokrasia kama ilivyo sasa chini ya awamu ya sita na Dr Samia Suluhu Hassan 🐒

Hata Rais akisoma hii kitu atakushangaa Sana

Hivi mkiwa mnasifia hata ambavyo havipo mnapata faida gani?

Au unamdanganya Nani?
 
CCM iliahidi wananchi maendeleo kwa maneno, na hivi sasa inatekeleza kwa vitendo miradi mbalimbali ya maendeleo kama vile umeme, maji, Afya, elimu, miundombinu, kilimo, usafirishaji, biashara, uvuvi, Demokrasia n.k bila mbambamba ya mtu au kikundi cha watu Fulani wenye ghadhab au mihememko, bali kwa maslahi mapana ya waTanzania wote 🐒
Wewe umechanganyikiwa, sijui unaeleza nini....unafanya marudio ya ngonjera..hayo yote yapo kwenye Ilani ya Chama..na hayana budi kutekelezqa Kwa sababu ilikuwa ahadi Kwa wananchi..Na CCM inaendelea kutekeleza bila matatizo yoyote
 
sasa si utulize makasiriko ili mambo yaende vizuri gentleman,

unanikasirikia mimi kwasabb ya kueleza ukweli kwanini 🐒
 
sasa si utulize makasiriko ili mambo yaende vizuri gentleman,

unanikasirikia mimi kwasabb ya kueleza ukweli kwanini 🐒
Nilikuwa nakurekebisha tangu mwanzo Kwa sababu maelezo yako ya awali yalikuwa yanataka kuleta chuki Kwa baadhi ya Wadau wengine, uwe mwangalifu jomba..hatutaki kusababisha matabaka hapa, Chama ni kimoja kikubwa na kinatawala..kinatoà huduma kwa.wananchi wake..uelewe hivyo..tusimgombanishe mama yetu Daktari SSH na wananchi..nooooway...mama ni mama..Hana uoendeleo Wala mgawanyiko...la msingi wananchi wapewe kilichoahidiwa na Ilani..fullstop...na Nina uhakika, yote yatafanyika Kwa ukamilifu mkubwa...Sasa endelea baada ya nukta hii..!!!!
 
👊💪🔥
 
Back
Top Bottom