Mazingira na hali ya siasa ya Tanzania imeimarika na kuboreshwa mno katika awamu ya sita ukilinganisha na kipindi kilichopita

CP Awadhi ndio mfano mzu CP Awadhi ndio mfano mzuri wa utawala wa sheria kwa maoni yako?
We sio timamu.
 
ni vizur kupokea ukweli wa maelezo na hali halisi ya kushamiri kwa uhuru, haki na usawa katika Demokrasia nchini bila mihememko wala ghadhab πŸ’

hakuna mbambamba, porojo wala story za pata potea, na hairuhusiwi kutumia 4rs theory kuleta fujo na kuhatarisha umoja, amani na Utulivu wa wananchi πŸ’
 
CP Awadhi ndio mfano mzu
CP Awadhi ndio mfano mzuri wa utawala wa sheria kwa maoni yako?
We sio timamu.
hala nchi hii haiongozwi kwa dosari au kasoro za mtu yeyote, na wala hakuna kubabaika kibinafsi...

nchi yetu inaongozwa na sheria, lakini pia na katiba ambayo ndio sheria mama.
ukikaidi kutii sheria bila shuruti, kiburi yako lazima inyoroshwe na akili ikae sawa kidogo...

ni Muhimu Zaidi kujifunza kutii sheria bila shuruti, sawa gentleman?πŸ’
 
CP Awadhi ndio mfano mzu
CP Awadhi ndio mfano mzuri wa utawala wa sheria kwa maoni yako?
We sio timamu.
hii habari ya eneo hili iliishiaga isha kwa mujibu wa kanuni na sheria za nchi....

kama wanaharakati na wanasiasa waliofilisika hoja wataendelea kuwarubuni wakaidi wachache wanaodinda kuhamia homera, hiyo ni shauri yao, lakini eneo hilo shughuli za kibinadamu ni marufuku kwa mujibu wa sheria, wapenda wasipende.....

ni haki na uhuru wao kuandamana lakini sio ndani ya eneo la hifadhi la ngoringoro πŸ’
 
CCM iliahidi wananchi maendeleo kwa maneno, na hivi sasa inatekeleza kwa vitendo miradi mbalimbali ya maendeleo kama vile umeme, maji, Afya, elimu, miundombinu, kilimo, usafirishaji, biashara, uvuvi, Demokrasia n.k bila mbambamba ya mtu au kikundi cha watu Fulani wenye ghadhab au mihememko, bali kwa maslahi mapana ya waTanzania wote πŸ’
 
Kwamba wakati wa kikwete wanasiasa walikuwa wanatekwa na kuwekwa kusikojulikana kama this time?

I think huu ni uongo pro max
ni muhimu ukafanya tathmini ya kina, na bilashaka utagundua vyema tangu uhuru nchi yetu haijawahi kua na mazingira bora, huru, ya haki na usawa kidemokrasia kama ilivyo sasa chini ya awamu ya sita na Dr Samia Suluhu Hassan πŸ’
 
Mkuu ujaribu hata kuona aibu kidogo!
Haki ipi mkuu 83 wametekwa na wengine kupotezwa kabisa?
 
Mkuu ujaribu hata kuona aibu kidogo!
Haki ipi mkuu 83 wametekwa na wengine kupotezwa kabisa?
kwa kiasi gani imezuia kuimarika kwa demokrasia uhuru na usawa kwa ambao hawajatekwa?πŸ’

kutekwa, kupotea ama kuaga dunia kwa mtu au watu fulani ama hata mimi nikifa kwa mamna yoyote ile, sio mwisho wa maendeleo na demokrasia.

kwa watu makini na wenye maono ya mbali, hiyo ni fursa ya kuimarisha na kuboresha mazingira uwazi , usawa na haki za kidemokrasia yawe bora zaidi ili kuepusha hayo unayozubaa kuyalalamikia yasitokee mbeleni πŸ’
 
ni muhimu ukafanya tathmini ya kina, na bilashaka utagundua vyema tangu uhuru nchi yetu haijawahi kua na mazingira bora, huru, ya haki na usawa kidemokrasia kama ilivyo sasa chini ya awamu ya sita na Dr Samia Suluhu Hassan πŸ’

Hata Rais akisoma hii kitu atakushangaa Sana

Hivi mkiwa mnasifia hata ambavyo havipo mnapata faida gani?

Au unamdanganya Nani?
 
Wewe umechanganyikiwa, sijui unaeleza nini....unafanya marudio ya ngonjera..hayo yote yapo kwenye Ilani ya Chama..na hayana budi kutekelezqa Kwa sababu ilikuwa ahadi Kwa wananchi..Na CCM inaendelea kutekeleza bila matatizo yoyote
 
sasa si utulize makasiriko ili mambo yaende vizuri gentleman,

unanikasirikia mimi kwasabb ya kueleza ukweli kwanini πŸ’
 
sasa si utulize makasiriko ili mambo yaende vizuri gentleman,

unanikasirikia mimi kwasabb ya kueleza ukweli kwanini πŸ’
Nilikuwa nakurekebisha tangu mwanzo Kwa sababu maelezo yako ya awali yalikuwa yanataka kuleta chuki Kwa baadhi ya Wadau wengine, uwe mwangalifu jomba..hatutaki kusababisha matabaka hapa, Chama ni kimoja kikubwa na kinatawala..kinatoΓ  huduma kwa.wananchi wake..uelewe hivyo..tusimgombanishe mama yetu Daktari SSH na wananchi..nooooway...mama ni mama..Hana uoendeleo Wala mgawanyiko...la msingi wananchi wapewe kilichoahidiwa na Ilani..fullstop...na Nina uhakika, yote yatafanyika Kwa ukamilifu mkubwa...Sasa endelea baada ya nukta hii..!!!!
 
πŸ‘ŠπŸ’ͺπŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…