Mazishi ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Hayati Edward Lowassa, Februari 17, 2024

Sasa walitaka Makonda apewe nafasi aongee kama nani pale? Mwenyekiti wake alikuwepo, katibu wake wa Chama alikuwepo na viongozi mbalimbali wa serikali walikuwepo. Hajapewa rais mstaafu JK apewe Makonda my foot
Kumbuka huyo unayesema n mwenyekiti ni rais, anyway Chadema kupewa nafasi kdg tuu wanaanza kuongea mbovu mbovu
 
Yule mshamba mshamba anayekusanya msururu mkubwa wa magari ya Serekali Bwana Bashite hakupewa nafasi yoyote katika maziko ya Lowassa.

Kwa mara nyingine tena Bashite pamoja na mbwembwe zake za kipuuzi alionekana hana maana,umuhimu ktk maziko hayo.

Tulimsikia akiwatisha kina Bashe,Aweso........ na wengineo wengi,kumbe hana maana katika siasa za Tanganyika hata kidogo labda huko kwao Koromije.
Tulimsikia akiwatisha kina Bashe,Aweso........ na wengineo wengi,kumbe hana maana katika siasa za Tanganyika hata kidogo labda huko kwao Koromije.[emoji23]
 
Yule mshamba mshamba anayekusanya msururu mkubwa wa magari ya Serekali Bwana Bashite hakupewa nafasi yoyote katika maziko ya Lowassa.

Kwa mara nyingine tena Bashite pamoja na mbwembwe zake za kipuuzi alionekana hana maana,umuhimu ktk maziko hayo.

Tulimsikia akiwatisha kina Bashe,Aweso........ na wengineo wengi,kumbe hana maana katika siasa za Tanganyika hata kidogo labda huko kwao Koromije.
Nape je?
 
Kwahiyo mlitakaje sasa kikwete aongee..makonda aongee ..nape aongee ..dah aisee kweli....

Ndio maana familia ikaandika Marehemu Aligombea nafasi ya uraisi wa JMT kwa tiketi ya UKAWA
 
Kumbuka huyo unayesema n mwenyekiti ni rais, anyway Chadema kupewa nafasi kdg tuu wanaanza kuongea mbovu mbovu
Kwann familia imeandika marehemu aligombea urais kwa tiketi ya UKAWA na Chadema? Walikua wanaepuka mambo km haya
 
Yule mshamba mshamba anayekusanya msururu mkubwa wa magari ya Serekali Bwana Bashite hakupewa nafasi yoyote katika maziko ya Lowassa.

Kwa mara nyingine tena Bashite pamoja na mbwembwe zake za kipuuzi alionekana hana maana,umuhimu ktk maziko hayo.

Tulimsikia akiwatisha kina Bashe,Aweso........ na wengineo wengi,kumbe hana maana katika siasa za Tanganyika hata kidogo labda huko kwao Koromije.
Ifike hatua tujue itifaki tutaaacha kujifedhesha kama hivi. Msiba wa Serikali nyie mnataka Chama kipewe nafasi. Au kama labda una ugomvi na Makonda mkuu.
 
Kilsza mmo
Post yako ni ya kipuuzi sana. Ulitaka mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu yageuzwe kuwa mkutano wa kisiasa?
Mwenyekiti wa chama yupo, makamu mwenyekiti yupo, katibu Mkuu yupo, unataka Makonda apewe kipaumbele cha nini?
Kama Kikwete aliyewahi kuwa rais hakupewa nafasi, wewe unataka Makonda apewe nafasi ya nini?
Ni ufinyu wa mawazo kujaribu kufanya mazishi kuwa mkutano wa kisiasa.
Anavyogokea mawaziri na waziri mkuu yupo,rais yupo whois he??kulaza fulani hivi albert bashiye
"Unyumbu ni janga la taifa
 
Kumbuka huyo unayesema n mwenyekiti ni rais, anyway Chadema kupewa nafasi kdg tuu wanaanza kuongea mbovu mbovu
Habari za asubuhi mkuu, ndiomana nami nikasema kuwa mwenyekiti wake yupo lakini pale alisimama kwa nafasi zote mbili kwasababu marehemu alikuwa mwanachama pia mtumishi wa serikali. Kiprotocol aliyepaswa kuongea ni kiongozi mkubwa kama ilivyokuwa. Nadhani tupo pamoja....
 
Post yako ni ya kipuuzi sana. Ulitaka mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu yageuzwe kuwa mkutano wa kisiasa?
Mwenyekiti wa chama yupo, makamu mwenyekiti yupo, katibu Mkuu yupo, unataka Makonda apewe kipaumbele cha nini?
Kama Kikwete aliyewahi kuwa rais hakupewa nafasi, wewe unataka Makonda apewe nafasi ya nini?
Ni ufinyu wa mawazo kujaribu kufanya mazishi kuwa mkutano wa kisiasa.
"Unyumbu ni janga la taifa "
Mara baada ua kifo cha Lowasa kutangazwa, Makonda ndiye aliyeanza kujipa umuhimu kwa kuwatoa wengine umuhimu. Hivyo watu wanapoandika ni sababu ya kauli zake mwenyewe.
 
Yule mshamba mshamba anayekusanya msururu mkubwa wa magari ya Serekali Bwana Bashite hakupewa nafasi yoyote katika maziko ya Lowassa.

Kwa mara nyingine tena Bashite pamoja na mbwembwe zake za kipuuzi alionekana hana maana,umuhimu ktk maziko hayo.

Tulimsikia akiwatisha kina Bashe,Aweso........ na wengineo wengi,kumbe hana maana katika siasa za Tanganyika hata kidogo labda huko kwao Koromije.
Zerobrain halina akili kabisa. Na litakuja kufa vibaya
 
Yule mshamba mshamba anayekusanya msururu mkubwa wa magari ya Serekali Bwana Bashite hakupewa nafasi yoyote katika maziko ya Lowassa.

Kwa mara nyingine tena Bashite pamoja na mbwembwe zake za kipuuzi alionekana hana maana,umuhimu ktk maziko hayo.

Tulimsikia akiwatisha kina Bashe,Aweso........ na wengineo wengi,kumbe hana maana katika siasa za Tanganyika hata kidogo labda huko kwao Koromije.
Nimethibitisha pasi shaka kuwa Makonda ni drama episode ya CCM. Hana umuhimu wowote zaidi ya kuwa busati
 
Yule mshamba mshamba anayekusanya msururu mkubwa wa magari ya Serekali Bwana Bashite hakupewa nafasi yoyote katika maziko ya Lowassa.

Kwa mara nyingine tena Bashite pamoja na mbwembwe zake za kipuuzi alionekana hana maana,umuhimu ktk maziko hayo.

Tulimsikia akiwatisha kina Bashe,Aweso........ na wengineo wengi,kumbe hana maana katika siasa za Tanganyika hata kidogo labda huko kwao Koromije.
Yule ni Karibu mwenezi ulitaka afanyeje wakati Boss wake Nchimbi alikuwa pale ?
 
Back
Top Bottom