Mazishi ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Hayati Edward Lowassa, Februari 17, 2024

Mazishi ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Hayati Edward Lowassa, Februari 17, 2024

sasa Swali kwa Tulia: Wewe kuwabakiza CVovid 2119 Bungeni kinyume cha sheria/Katiba/hukumu ya mahakama pamoja na kuandikiwa barua na chadema kuwa hao si wanachma wao, bado umewakumbatia kukaa bungeni ambayo ni dhambi kubwa mbele ya mwenyezi Mungu.

Je wewe kwenye hili la Akina Mdee umepanda nini na utavuna nini?
Mkiwa mnaandika mtulie basi kwani mnawahi wapi? Tumeshafika 2119?
 
Risala familia ndie mwamuxi wa kipi.kiwepo na kipi kisiwepo kwenye wasifu .Mjue Hilo.Wakisema Hiki kisiwepo .Mheshimi wasifu uliosomwa
Unataka kusema mke wa marehumu lowasa hatambui ,lowasa kuwa aligombea urasi kupitia CDM.
 
Kuna haja gani ya kuficha kitu ambacho kinajulikana? Kwani mkisema aligombea kupitia chadema mtapungukiwa nini?

Ona sasa dk 5 tu mtu kaharibu sifa zote mlizozitaka.
Wam
Huu unaitwa ujinga wa kipaji, kama baba Yao angekuwa rais kupitia cdm wangeacha kuandika kwasababu sio Kila kitu kinawekwa kwenye historia?
Mkuu akili yako ipo sehemu za siri
 
Mama samia ameongea vizuri sana leo
Wanasiasa wayazingatie haya
Siasa za kutukanana sio nzuri
Dunia tunapita
 
Siku hizi mapapalazi wetu wa humu hawapati picha zaidi tunaishia za kuaga, msiba wa mengi tuliletewa mpaka picha za jikoni kwa mengi, kwa lowasa watu wamekaziwa hakuna kupeleka umbea.

Masaki kwake napajua vizuri, ila picha za monduli mapapalazi wetu wamefeli.
 
Yule mshamba mshamba anayekusanya msururu mkubwa wa magari ya Serekali Bwana Bashite hakupewa nafasi yoyote katika maziko ya Lowassa.

Kwa mara nyingine tena Bashite pamoja na mbwembwe zake za kipuuzi alionekana hana maana,umuhimu ktk maziko hayo.

Tulimsikia akiwatisha kina Bashe,Aweso........ na wengineo wengi,kumbe hana maana katika siasa za Tanganyika hata kidogo labda huko kwao Koromije.
 
Post yako ni ya kipuuzi sana. Ulitaka mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu yageuzwe kuwa mkutano wa kisiasa?
Mwenyekiti wa chama yupo, makamu mwenyekiti yupo, katibu Mkuu yupo, unataka Makonda apewe kipaumbele cha nini?
Kama Kikwete aliyewahi kuwa rais hakupewa nafasi, wewe unataka Makonda apewe nafasi ya nini?
Ni ufinyu wa mawazo kujaribu kufanya mazishi kuwa mkutano wa kisiasa.
"Unyumbu ni janga la taifa "
 
Haya mambo bhana, Chadema wasipopewa nafasi watu wanalalamika, ccm wasipopewa nafasi bado mnalalaka
 
Haya mambo bhana, Chadema wasipopewa nafasi watu wanalalamika, ccm wasipopewa nafasi bado mnalalaka
Sasa walitaka Makonda apewe nafasi aongee kama nani pale? Mwenyekiti wake alikuwepo, katibu wake wa Chama alikuwepo na viongozi mbalimbali wa serikali walikuwepo. Hajapewa rais mstaafu JK apewe Makonda my foot
 
Yule mshamba mshamba anayekusanya msururu mkubwa wa magari ya Serekali Bwana Bashite hakupewa nafasi yoyote katika maziko ya Lowassa.

Kwa mara nyingine tena Bashite pamoja na mbwembwe zake za kipuuzi alionekana hana maana,umuhimu ktk maziko hayo.

Tulimsikia akiwatisha kina Bashe,Aweso........ na wengineo wengi,kumbe hana maana katika siasa za Tanganyika hata kidogo labda huko kwao Koromije.
kila mtu ameona hilo
 
Post yako ni ya kipuuzi sana. Ulitaka mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu yageuzwe kuwa mkutano wa kisiasa?
Mwenyekiti wa chama yupo, makamu mwenyekiti yupo, katibu Mkuu yupo, unataka Makonda apewe kipaumbele cha nini?
Kama Kikwete aliyewahi kuwa rais hakupewa nafasi, wewe unataka Makonda apewe nafasi ya nini?
Ni ufinyu wa mawazo kujaribu kufanya mazishi kuwa mkutano wa kisiasa.
"Unyumbu ni janga la taifa "
Tena narudia thread yake YAKIPUMBAVU MNO
 
Back
Top Bottom