Mazishi ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Hayati Edward Lowassa, Februari 17, 2024

Mazishi ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Hayati Edward Lowassa, Februari 17, 2024

KikulachoChako hiyo picha uliyoweka unainasibisha na Nini??

Mwenyewe humu nina mabandiko ya kutosha kushinikiza Lowassa afikishwe mahakamani. Unajua ni kwa nini??

Sisi tulijua hata iweje CCM hawawezi kumfikisha Lowassa mahakamani kwani wanajua ni sawa na kufungua Sanduku la Pandora.
Kwa hiyo CDM hawakumdhalilisha kumuita Lowasa fisadi hali ya kuwa sio fisadi....???
 
Katika historia yake mbona hawazungumzii maisha yake pale Monduli TTC, kuna wakati tulitembelea pale tukaambiwa alisoma hapo na kuna mavazi yake ya uongozi wa Brass band yamewekwa kwenye makumbusho ya chuo
Si unajua unapewa Tu 😂 karatasi , unaambiwa soma kama ilivyo
 
Kwa hiyo CDM hawakumdhalilisha kumuita Lowasa fisadi hali ya kuwa sio fisadi....???
Iligundulika kuwa ufisadi wake ni wa kimfumo ndani ya CCM na siyo wake binafsi.

Wewe unadhani Ile ishu ya Richmond aliweza kuifanya bila ya ruhusa ya Rais wa wakati ule Jakaya Kikwete kuhusika??

Au unadhani zile bilioni 360 ingewezekana kutolewa kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow bila ya ruhusa ya Ikulu chini ya Jakaya Kikwete??

Umeshasahau kuwa Jakaya alisema zile Hela za Tegeta Escrow hazikuwa za Umma?? Unadhani alisema vile bila ya kuwa na sababu za msingi kujilinda??
 
Amenukuu wagalatia Hiv:

Gal 6:7-9 SUV​

Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna.

sasa Swali kwa Tulia: Wewe kuwabakiza CVovid 2119 Bungeni kinyume cha sheria/Katiba/hukumu ya mahakama pamoja na kuandikiwa barua na chadema kuwa hao si wanachma wao, bado umewakumbatia kukaa bungeni ambayo ni dhambi kubwa mbele ya mwenyezi Mungu.

Je wewe kwenye hili la Akina Mdee umepanda nini na utavuna nini?
 
Back
Top Bottom