Mazishi ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Hayati Edward Lowassa, Februari 17, 2024

Kuweka mashada ya maua hayati Lowassa, wameitwa wawakilishi wa vyama Mbowe, Zitto, Bashe na Rostam Aziz; je Bashe na Rostam ni wawakilishi vyama vipi? Kama ni CCM tayari walishawakilishwa na Kinana na Nchimbi.

Hilo jambo sijaelewa kabisa labda nieleweshwe. Nilitegemea wawakilishi kutoka CDM, ACT, CUF, NCCR, UDP, PONA, CCJ, etc, hawa akina Rostam ni wawakilishi wa vyama vipi vya siasa?
 
Rostam na Bashe ni familia moja karibu sanaaa....wamechomekewa tu pale....
 
Back
Top Bottom