Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Haiwezekani hata kidogo unafiki haufaiDiplomasia... Au hujui kuwa siku Zelensky na Putin wakikutana wataongea na siyo kurushiana makombora??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haiwezekani hata kidogo unafiki haufaiDiplomasia... Au hujui kuwa siku Zelensky na Putin wakikutana wataongea na siyo kurushiana makombora??
Dunia ya Siasa imejaa wanafiki sana...Wote wapo,
Siyo unafiki... Hapo Mbowe angefanyaje???Haiwezekani hata kidogo unafiki haufai
Hahahahaaaaa huwa sitaki hata kuwasikiakama ni TBC kuna vitu hawaonyeshi,
CCMKuweka mashada ya maua hayati Lowassa, wameitwa wawakilishi wa vyama Mbowe, Zitto, Bashe na Rostam Aziz; je Bashe na Rostam ni wawakilishi vyama vipi?
hilo jambo sijaelewa kabisa labda nieleweshwe.
Kwani wakiweka unapungukiwa nini? Kuna maswali mengine ya kipumbavu sanaKuweka mashada ya maua hayati Lowassa, wameitwa wawakilishi wa vyama Mbowe, Zitto, Bashe na Rostam Aziz; je Bashe na Rostam ni wawakilishi vyama vipi?
hilo jambo sijaelewa kabisa labda nieleweshwe.
Kama alilamba za kustaafia basi ni mstaafuIla sisi watanzia ni wanafiki sana hivi kweri huyu mzee wawatu ni waziri mkuu msitaafu? Au mm ndiyo uelewa wangu mdogo.
Ninapungukiwa na protokali!Kwani wakiweka unapungukiwa nini? Kuna maswali mengine ya kipumbavu sana
Rostam na Bashe ni familia moja karibu sanaaa....wamechomekewa tu pale....Kuweka mashada ya maua hayati Lowassa, wameitwa wawakilishi wa vyama Mbowe, Zitto, Bashe na Rostam Aziz; je Bashe na Rostam ni wawakilishi vyama vipi? Kama ni CCM tayari walishawakilishwa na Kinana na Nchimbi.
Hilo jambo sijaelewa kabisa labda nieleweshwe. Nilitegemea wawakilishi kutoka CDM, ACT, CUF, NCCR, UDP, PONA, CCJ, etc, hawa akina Rostam ni wawakilishi wa vyama vipi vya siasa?
Ninapungukiwa na protokali zinazoeleweka!
Aiseee!Rostam na Bashe ni familia moja karibu sanaaa....wamechomekewa tu pale....
Ndiyo unasemaje kuruta ?Kapteni EDWARD N
GOYAI LOWASA