Kumbuka huyo unayesema n mwenyekiti ni rais, anyway Chadema kupewa nafasi kdg tuu wanaanza kuongea mbovu mbovuSasa walitaka Makonda apewe nafasi aongee kama nani pale? Mwenyekiti wake alikuwepo, katibu wake wa Chama alikuwepo na viongozi mbalimbali wa serikali walikuwepo. Hajapewa rais mstaafu JK apewe Makonda my foot
Tulimsikia akiwatisha kina Bashe,Aweso........ na wengineo wengi,kumbe hana maana katika siasa za Tanganyika hata kidogo labda huko kwao Koromije.[emoji23]Yule mshamba mshamba anayekusanya msururu mkubwa wa magari ya Serekali Bwana Bashite hakupewa nafasi yoyote katika maziko ya Lowassa.
Kwa mara nyingine tena Bashite pamoja na mbwembwe zake za kipuuzi alionekana hana maana,umuhimu ktk maziko hayo.
Tulimsikia akiwatisha kina Bashe,Aweso........ na wengineo wengi,kumbe hana maana katika siasa za Tanganyika hata kidogo labda huko kwao Koromije.
Nape je?Yule mshamba mshamba anayekusanya msururu mkubwa wa magari ya Serekali Bwana Bashite hakupewa nafasi yoyote katika maziko ya Lowassa.
Kwa mara nyingine tena Bashite pamoja na mbwembwe zake za kipuuzi alionekana hana maana,umuhimu ktk maziko hayo.
Tulimsikia akiwatisha kina Bashe,Aweso........ na wengineo wengi,kumbe hana maana katika siasa za Tanganyika hata kidogo labda huko kwao Koromije.
Kwann familia imeandika marehemu aligombea urais kwa tiketi ya UKAWA na Chadema? Walikua wanaepuka mambo km hayaKumbuka huyo unayesema n mwenyekiti ni rais, anyway Chadema kupewa nafasi kdg tuu wanaanza kuongea mbovu mbovu
Ifike hatua tujue itifaki tutaaacha kujifedhesha kama hivi. Msiba wa Serikali nyie mnataka Chama kipewe nafasi. Au kama labda una ugomvi na Makonda mkuu.Yule mshamba mshamba anayekusanya msururu mkubwa wa magari ya Serekali Bwana Bashite hakupewa nafasi yoyote katika maziko ya Lowassa.
Kwa mara nyingine tena Bashite pamoja na mbwembwe zake za kipuuzi alionekana hana maana,umuhimu ktk maziko hayo.
Tulimsikia akiwatisha kina Bashe,Aweso........ na wengineo wengi,kumbe hana maana katika siasa za Tanganyika hata kidogo labda huko kwao Koromije.
Siasa🙄Haya mambo bhana, Chadema wasipopewa nafasi watu wanalalamika, ccm wasipopewa nafasi bado mnalalaka
Anavyogokea mawaziri na waziri mkuu yupo,rais yupo whois he??kulaza fulani hivi albert bashiyePost yako ni ya kipuuzi sana. Ulitaka mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu yageuzwe kuwa mkutano wa kisiasa?
Mwenyekiti wa chama yupo, makamu mwenyekiti yupo, katibu Mkuu yupo, unataka Makonda apewe kipaumbele cha nini?
Kama Kikwete aliyewahi kuwa rais hakupewa nafasi, wewe unataka Makonda apewe nafasi ya nini?
Ni ufinyu wa mawazo kujaribu kufanya mazishi kuwa mkutano wa kisiasa.
"Unyumbu ni janga la taifa
Habari za asubuhi mkuu, ndiomana nami nikasema kuwa mwenyekiti wake yupo lakini pale alisimama kwa nafasi zote mbili kwasababu marehemu alikuwa mwanachama pia mtumishi wa serikali. Kiprotocol aliyepaswa kuongea ni kiongozi mkubwa kama ilivyokuwa. Nadhani tupo pamoja....Kumbuka huyo unayesema n mwenyekiti ni rais, anyway Chadema kupewa nafasi kdg tuu wanaanza kuongea mbovu mbovu
Mara baada ua kifo cha Lowasa kutangazwa, Makonda ndiye aliyeanza kujipa umuhimu kwa kuwatoa wengine umuhimu. Hivyo watu wanapoandika ni sababu ya kauli zake mwenyewe.Post yako ni ya kipuuzi sana. Ulitaka mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu yageuzwe kuwa mkutano wa kisiasa?
Mwenyekiti wa chama yupo, makamu mwenyekiti yupo, katibu Mkuu yupo, unataka Makonda apewe kipaumbele cha nini?
Kama Kikwete aliyewahi kuwa rais hakupewa nafasi, wewe unataka Makonda apewe nafasi ya nini?
Ni ufinyu wa mawazo kujaribu kufanya mazishi kuwa mkutano wa kisiasa.
"Unyumbu ni janga la taifa "
DuhAlikuwa kwenye kitengo cha kupokea wageni na kuwasabahi kwa nguvu hata kama wangekuwa na majonzi au hasira msibani.
Mtu mkubwa sana..Kwani makonda ni nani?
Vipi mkuu,kitengo kilimfaa kwa kuuza sura na ku-prevail uwandani?
Zerobrain halina akili kabisa. Na litakuja kufa vibayaYule mshamba mshamba anayekusanya msururu mkubwa wa magari ya Serekali Bwana Bashite hakupewa nafasi yoyote katika maziko ya Lowassa.
Kwa mara nyingine tena Bashite pamoja na mbwembwe zake za kipuuzi alionekana hana maana,umuhimu ktk maziko hayo.
Tulimsikia akiwatisha kina Bashe,Aweso........ na wengineo wengi,kumbe hana maana katika siasa za Tanganyika hata kidogo labda huko kwao Koromije.
Nimethibitisha pasi shaka kuwa Makonda ni drama episode ya CCM. Hana umuhimu wowote zaidi ya kuwa busatiYule mshamba mshamba anayekusanya msururu mkubwa wa magari ya Serekali Bwana Bashite hakupewa nafasi yoyote katika maziko ya Lowassa.
Kwa mara nyingine tena Bashite pamoja na mbwembwe zake za kipuuzi alionekana hana maana,umuhimu ktk maziko hayo.
Tulimsikia akiwatisha kina Bashe,Aweso........ na wengineo wengi,kumbe hana maana katika siasa za Tanganyika hata kidogo labda huko kwao Koromije.
Yule ni Karibu mwenezi ulitaka afanyeje wakati Boss wake Nchimbi alikuwa pale ?Yule mshamba mshamba anayekusanya msururu mkubwa wa magari ya Serekali Bwana Bashite hakupewa nafasi yoyote katika maziko ya Lowassa.
Kwa mara nyingine tena Bashite pamoja na mbwembwe zake za kipuuzi alionekana hana maana,umuhimu ktk maziko hayo.
Tulimsikia akiwatisha kina Bashe,Aweso........ na wengineo wengi,kumbe hana maana katika siasa za Tanganyika hata kidogo labda huko kwao Koromije.
Naaamu!Mnafiki Wa Kujitegemea unaitwa huku