Mazishi ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Hayati Edward Lowassa, Februari 17, 2024

CCM ni kundi kubwa sana la watu wasio na haya.

Jinsi walivyokuwa wanamtusi, wanamnyanyasa Lowassa na familia yake, walivyomuita "maiti", wakamtweza kwa Kila Hali, leo wanajifanya kububujikwa na machozi.

CCM walimdhadhalilisha sana Lowassa kiasi kwamba Leo tunapowaona wameongozana kwenda kwenye mazishi yake, tunajiuliza, KULIKONI???
Unafiki, uongo, fitna, majungu na siasa za majitaka za wanasiasa uchwara na chawa wao ndio zimetufikisha hapa leo.

Na kweli wamemdhalilisha na kumchafua kweli kweli, alaf leo wanajitokeza kudai eti mama yake na Lowasa alikuwa mwalim wao miaka 41 iliyopita. Siku zote za kumchafua hili swala hawakuliongelea 🤣🤣🤣

RIP Lowasa ulieitwa fisadi na wanafunzi wa mama yako.
 
Attachments

  • images (2).jpeg
    images (2).jpeg
    33.9 KB · Views: 2
Unafiki, uongo, fitna, majungu na siasa za majitaka za wanasiasa uchwara na chawa wao ndio zimetufikisha hapa leo.

Na kweli wamemdhalilisha na kumchafua kweli kweli, alaf leo wanajitokeza kudai eti mama yake na Lowasa alikuwa mwalim wao miaka 41 iliyopita. Siku zote za kumchafua hili swala hawakuliongelea 🤣🤣🤣

RIP Lowasa ulieitwa fisadi na wanafunzi wa mama yako.
Regina ni mke wa Lowassa
 
Unafiki, uongo, fitna, majungu na siasa za majitaka za wanasiasa uchwara na chawa wao ndio zimetufikisha hapa leo.
Hii tabia CCM hawawezi kuuacha...
alaf leo wanajitokeza kudai eti mama yake na Lowasa alikuwa mwalim wao miaka 41 iliyopita.
Kwani siyo kweli kuwa Regina Lowassa hakuwa Mwalimu wa Lissu Ilboru?
Siku zote za kumchafua hili swala hawakuliongelea
Kwani wakati Lowassa anajiunga CHADEMA alikuwa hajui kama kina Lema wamesema maneno hayo??
RIP Lowasa ulieitwa fisadi na wanafunzi wa mama yako.
Regina siyo mama yake Lowassa Bali ni mke wake!!
 
CCM ni kundi kubwa sana la watu wasio na haya.

Jinsi walivyokuwa wanamtusi, wanamnyanyasa Lowassa na familia yake, walivyomuita "maiti", wakamtweza kwa Kila Hali, leo wanajifanya kububujikwa na machozi.

CCM walimdhadhalilisha sana Lowassa kiasi kwamba Leo tunapowaona wameongozana kwenda kwenye mazishi yake, tunajiuliza, KULIKONI???

CCM na CDM wote walimdhalilisha EL.

CDM Walimbrand fisadi na kumuweka kwenye list of shame, sijaona kabla ya kifo chake kama kuna mahala waliupdate Ile list.
CCM walimuita mwizi, fisadi na mgonjwa,hata alivyorudi nyumbani bado hawakuupdate hiyo list.

Si vizuri Kwa Mila zetu kumsema Marehemu, tumuombee huko aendako InshaAllah Mwenyezi Mungu mjuzi ndio muamuzi.
 
Kwani wakati Lowassa anajiunga CHADEMA alikuwa hajui kama kina Lema wamesema maneno hayo??
Mbona unakwepesha kwepesha maneno au unafikiri hii comment yako ndio itakayokipa chama chako ushindi 2025?

Kati ya CCM na Chadema ni kina nani walioanzisha kumsema vibaya marehem mpaka chama chake kuona ingekuwa ngumu wao kumsafisha, hivyo kuamua kumkata ili kukinusuru chama?

Ningekuona wa maana kama ungesema wanasiasa wa Tanzania ni wanafiki bila kujali vyama vyao maana wote walimsema vibaya, na kumtumia kama chaka la kupatia wanachama wao wanaopinga ufisadi.

Unaposema alipojiunga Chadema hakujua kama kina Lema walimsema, lkn pia unajifanya kusahau kuwa alirudi pia CCM, je aliporudi CCM pia hakujua kama kina Nape walimsema?
 
Mbona unakwepesha kwepesha maneno au unafikiri hii comment yako ndio itakayokipa chama chako ushindi 2025?
Hii hoja ni dhaifu!!
Unaposema alipojiunga Chadema hakujua kama kina Lema walimsema, lkn pia unajifanya kusahau kuwa alirudi pia CCM, je aliporudi CCM pia hakujua kama kina Nape walimsema?
Hakuna asiyejua ni kwa nini Lowassa alilazimishwa kurudi CCM.
 
Enzi zile mkiwa mnavaa Yale mashati yenu ya vitenge mlifundishwa kuwa kujiuzulu ni kustaafu???
KAnuni inatambua kama kustaafu, na hii si hapa kwetu tu, hata mataifa mengine unless kama taifa limespecify tofauti, mfano kuna nchi nilisoma juzi kati haitambui kama mstaafu kama alifukuzwa kazini tu, ila sababu nyingine yeyote ya kufanya kutola nje ya ofisi wanatambua kama kustaafu
 
Back
Top Bottom