Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Wanabodi,
Karibuni tushiriki
Ibada ya mazishi ya Sir Wicknell Chivayo inaendelea kwa sasa katika Doves Funeral Services, katikati ya jiji la Harare, ambapo maelfu ya waombolezaji wamekusanyika kusubiri kuchukuliwa kwa mwili wake pamoja na wa mke wake, Lucy “Lulu” Muteke.
Idadi kubwa ya waombolezaji imefanya baadhi ya maeneo ya katikati ya jiji kusimama, huku polisi wakitumwa kudhibiti umati na usafiri. Baada ya ibada hiyo, miili hiyo itachukuliwa na kupelekwa katika jumba la wanandoa hao lililopo Gletwyn, ambako itawekwa kwa ajili ya waombolezaji kabla ya mazishi yao kesho katika Makaburi ya Glen Forest.
RIP Kipenzi chetu, Bilionea Bonge, Sir Wicknell Chivayo na mkewe!.
Mzee Pasco.
Kwa kauli ya mpenzi wake wa dhatiWanabodi,

Mahali pa mwisho pa kupumzishwa kwa Sir Wicknell Chivayo na mkewe Lucy panaandaliwa katika Sahwira Glen Forest Memorial Park. Makaburi yao yaliyopo pembeni kwa pembeni yamewekewa muundo wa mawe ya granite, huku mazishi yao yakitarajiwa kufanyika leo saa 8:00 mchana.
RIP Kipenzi chetu, Bilionea Bonge, Sir Wicknell Chivayo na mkewe!.
Mzee Pasco.
Duh! Hujafa hujaumbika. Ukiwa na afya na kuvuta pumzi, unahisi walio tangulia mbele ya haki ni kama wazembe!Kuzikwa bila vichwa ni laana kubwa mno
Huenda alikula "Mema" kutoka kwake.man wewe ni "qualified journalist" halafu unamuita sir, really? ni lini alikuwa knighted by english monarchy mpaka a-qualify kutumia officially sir kwenye jina lake? kama wewe ungekuwa ni uneducated bongo movie, shehe mwaipopo, comedy, flava ningeelewa lkn wewe ni "highly educated" ni cream ya nchi halafu unakuwa unserious kiasi hicho?
afrika tuna safari ndefu sana bado ...
Kiko kwa Mganga KitundaKichwa kiko wapi na kimeenda wapi?!!
Unadhani vichwa vyao viko wapi?Duh! Hujafa hujaumbika. Ukiwa na afya na kuvuta pumzi, unahisi walio tangulia mbele ya haki ni kama wazembe!
Kifo kinakuja kwa namna yoyote! Kifo sio laana.
Inafikirisha sanaKichwa kiko wapi na kimeenda wapi?!!
Unaniambia nadhani, ivi uliona ajali ya Kobe Bryant na Mwanae! Uliona vichwa??Unadhani vichwa vyao viko wapi?
Viko huko kwa wenye navyo.Unadhani vichwa vyao viko wapi?