Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Do you mean kifungashio? Wrapped up, huh?Mjeneza wote huo kwa ajili ya vitu vilivyowekwa kwenye kibebeo
Do you mean kifungashio? Wrapped up, huh?Mjeneza wote huo kwa ajili ya vitu vilivyowekwa kwenye kibebeo
Wanabodi,
Karibuni tushiriki
Ibada ya mazishi ya Sir Wicknell Chivayo inaendelea kwa sasa katika Doves Funeral Services, katikati ya jiji la Harare, ambapo maelfu ya waombolezaji wamekusanyika kusubiri kuchukuliwa kwa mwili wake pamoja na wa mke wake, Lucy “Lulu” Muteke.
Idadi kubwa ya waombolezaji imefanya baadhi ya maeneo ya katikati ya jiji kusimama, huku polisi wakitumwa kudhibiti umati na usafiri. Baada ya ibada hiyo, miili hiyo itachukuliwa na kupelekwa katika jumba la wanandoa hao lililopo Gletwyn, ambako itawekwa kwa ajili ya waombolezaji kabla ya mazishi yao kesho katika Makaburi ya Glen Forest.
Mahali pa mwisho pa kupumzishwa kwa Sir Wicknell Chivayo na mkewe Lucy panaandaliwa katika Sahwira Glen Forest Memorial Park. Makaburi yao yaliyopo pembeni kwa pembeni yamewekewa muundo wa mawe ya granite, huku mazishi yao yakitarajiwa kufanyika leo saa 8:00 mchana.
RIP Kipenzi chetu, Bilionea Bonge, Sir Wicknell Chivayo na mkewe!.
Mzee Pasco.
😂😂😂Mbona mafupi, wangepita futi 16
Ubadhilifu at its pickDo you mean kifungashio? Wrapped up, huh?
😂😂😂Kiko kwa Mganga Kitunda
"Rambo" black nylon bags.Do you mean kifungashio? Wrapped up, huh?
Embezzlement of its causes.Naive!Ubadhilifu at its pick
Alikuja bila kitu na ni wajibu aondoke bila kitu. (Ref Alexander the great).Ubadhilifu at its pick
Marlborough/Marlboro at a hey!"Rambo" black nylon bags.
Atachekaje ilhali alikisahau kichwa huku??Huko aliko slow slow anachekea chooni
Wacha wafu wazikaneAlikuja bila kitu na ni wajibu aondoke bila kitu. (Ref Alexander the great).
Ndo hiyo-hiyo.Marlborough/Marlboro at a hey!
It's not that deep, give him a break.man wewe ni "qualified journalist" halafu unamuita sir, really? ni lini alikuwa knighted by english monarchy mpaka a-qualify kutumia officially sir kwenye jina lake? kama wewe ungekuwa ni uneducated bongo movie, shehe mwaipopo, comedy, flava ningeelewa lkn wewe ni "highly educated" ni cream ya nchi halafu unakuwa unserious kiasi hicho?
afrika tuna safari ndefu sana bado ...
Huyo jamaa hajafa maana mpaka sasa hakuna uthibitisho wa uhakika wa kifo chake, limetengenezwa tu tukio, ila kwa kifupi kaondoka na pesa nyingi za viongozi wenye tamaa na wabadhirifu wa mali za nchi zao. Ni huzuni kubwa haswa kwa viongozi wakubwa wa Afrika masharikiKuzikwa bila vichwa ni laana kubwa mno
Mafuta ya ndege ni hatari yaani hapo labda watafute Meno tu ila kichwa kimo kwenye furushiKichwa kiko wapi na kimeenda wapi?!!
Apande dau awekwe kwenye Adidas!Ndo hiyo-hiyo.