Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 4,090
- 5,248
Wacha wafu wazike wafu wao.Wacha wafu wazikane

Kigezo cha "Masharti" hakiruhusu afanyiwe hilo.Apande dau awekwe kwenye Adidas!
Kwa kuonesha mapenzi na huba zito,mkuu, muheshimiwa,malkia,nakuomba uzikwe naye umempakata kama mtemi Mwanamalundi.Pleeeeeerseeeee!"Kipenzi chetu" dah
Wanabodi,
Karibuni tushiriki
Ibada ya mazishi ya Sir Wicknell Chivayo inaendelea kwa sasa katika Doves Funeral Services, katikati ya jiji la Harare, ambapo maelfu ya waombolezaji wamekusanyika kusubiri kuchukuliwa kwa mwili wake pamoja na wa mke wake, Lucy “Lulu” Muteke.
Idadi kubwa ya waombolezaji imefanya baadhi ya maeneo ya katikati ya jiji kusimama, huku polisi wakitumwa kudhibiti umati na usafiri. Baada ya ibada hiyo, miili hiyo itachukuliwa na kupelekwa katika jumba la wanandoa hao lililopo Gletwyn, ambako itawekwa kwa ajili ya waombolezaji kabla ya mazishi yao kesho katika Makaburi ya Glen Forest.
Mahali pa mwisho pa kupumzishwa kwa Sir Wicknell Chivayo na mkewe Lucy panaandaliwa katika Sahwira Glen Forest Memorial Park. Makaburi yao yaliyopo pembeni kwa pembeni yamewekewa muundo wa mawe ya granite, huku mazishi yao yakitarajiwa kufanyika leo saa 8:00 mchana.
RIP Kipenzi chetu, Bilionea Bonge, Sir Wicknell Chivayo na mkewe!.
Mzee Pasco.
Umenena jambo zito sana. Inafaa wadau walisome hili.Zingine zote hizi ni mbwembwe za binadamu tu. Ukishakufa umeshakufa. Uzikwe na dunia nzima au uachwe uzodolewe na tai wenye njaa kali kule Serengeti ni kazi bure tu! 🚮🚮🚮
Aende pasko na watu waliofaidika na kumbato lakeKwa kuonesha mapenzi na huba zito,mkuu, muheshimiwa,malkia,nakuomba uzikwe naye umempakata kama mtemi Mwanamalundi.Pleeeeeerseeeee!
Hivi, alikuwa na jotoridi la kutosha,sivyo?Aende pasko na watu waliofaidika na kumbato lake
Kwa Mjane,itatokea hivyo hivyoKuzikwa bila vichwa ni laana kubwa mno
Salio limeisha kang"! Wale wengine wa huku wanasema Salio halitoshi.....Ukweli jamaa amekata MOTO ,hana haja ya kujificha au kufake KIFO ili kukimbia Washirika wake waliompa MABILIONI.
Hata Ivan Ze Don mme wa Ze bosi ledi walisema hivyo hivyo ,hawana haja ya kufeki kwa MAPESA waliyonayo wanaweza kupambana na kesi hata miaka 100.
Kisikie kwa majirani ila sio kwako.Kifo ni kifo tu
Kiziwi hasikiiKisikie kwa majirani ila sio kwako.
Huyo jamaa ana mpunga mrefu sana ,siku moja kabla ya kifo aliwazawadia mawakili wake mabilioni ya vitu vya thamani na cash.Salio limeisha kang"! Wale wengine wa huku wanasema Salio halitoshi.....
Mjane yupi tena? Mbona wameRIP wote simultaneously.Kwa Mjane,itatokea hivyo hivyo
Masharti ya Utajiri alokuwa nao ndo yalidai afanye hivyo. Hakufanya kwa hiari.Huyo jamaa ana mpunga mrefu sana ,siku moja kabla ya kifo aliwazawadia mawakili wake mabilioni ya vitu vya thamani na cash.
Kafa kweli. Asikudanganye mtu - Ngoma imelala hio.Kati ya watu bilioni 8 duniani nitakuwa wa mwisho kukubali kwamba Chivayo amefeki KIFO.