Kila wakati.Habari mkuu.Ni matumaini yangu unaendelea poa kabisa.MUNGU NI MWEMA.
Asante -Nimekaribia.Karibu kwenye mjadala.
Sio. Kama sikosei Tunajadili uhalali wake wa kupewa tuzzo ya kuitwa Sir. Hivi mttu akifa kwa ajali huwa ni kufa kishujaa huko? Mbona wanaokufa kwa ajali ni wengi lakini haisemekani wamekufa kishujaa? Mtu aliyekufa katika mapambano ndo huitwa kafa kishujaa. Huyo alikuwa anapambania kitu gani/nini ili iwe ni halali kwake kuitwa amekufa kishujaa?Eeeeh kwahiyo ameitwa SIR baada ya kufa kishujaa sio?
Umeuliza swali zuri sana, lakini haliondoi ukweli niliouandika kuhusu kuzikwa bila kichwaJe weye waijua kesho yako?
Vitisho haviondoi uhalisiaUnaniambia nadhani, ivi uliona ajali ya Kobe Bryant na Mwanae! Uliona vichwa??
Mzee mwenyewe hapo huelewi utakufaje.
Ni Sahihi na ndo kawaida iliyozoeleka.Umeuliza swali zuri sana, lakini haliondoi ukweli niliouandika kuhusu kuzikwa bila kichwa
Kumbuka kwamba kichwa ndio mtu mwenyewe, Ndio maana tunapomuaga marehemu yoyote tunafunuliwa uso, hatuonyeshwi mapaja wala mikono
Vipi kuhusu yule James Temba aliyezikwa bila kichwa,nae alikua na laana?Kuzikwa bila vichwa ni laana kubwa mno
Kwani vichwa vywao vilipotelea wapi, au viliibwa?Kuzikwa bila vichwa ni laana kubwa mno
Vitisho vimeharibu andiko lako zuriVipi kuhusu yule James Temba aliyezikwa bila kichwa,nae alikua na laana?
Unaposema ni laana,ni laana kwa mujibu wa maandiko au ni fikra zako tu?
Vipi kuhusu wewe,unajijua kua utakufa kifo cha aina gani?
Simtetei huyo marehemu wala mtu yeyote yule ila nimeshangazwa na hiyo kauli yako,
Vimepotea ila viatu vimeonekanaKwani vichwa vywao vilipotekea wapi, au viliibwa?
Wanabodi,
Karibuni tushiriki
Ibada ya mazishi ya Sir Wicknell Chivayo inaendelea kwa sasa katika Doves Funeral Services, katikati ya jiji la Harare, ambapo maelfu ya waombolezaji wamekusanyika kusubiri kuchukuliwa kwa mwili wake pamoja na wa mke wake, Lucy “Lulu” Muteke.
Idadi kubwa ya waombolezaji imefanya baadhi ya maeneo ya katikati ya jiji kusimama, huku polisi wakitumwa kudhibiti umati na usafiri. Baada ya ibada hiyo, miili hiyo itachukuliwa na kupelekwa katika jumba la wanandoa hao lililopo Gletwyn, ambako itawekwa kwa ajili ya waombolezaji kabla ya mazishi yao kesho katika Makaburi ya Glen Forest.
Mahali pa mwisho pa kupumzishwa kwa Sir Wicknell Chivayo na mkewe Lucy panaandaliwa katika Sahwira Glen Forest Memorial Park. Makaburi yao yaliyopo pembeni kwa pembeni yamewekewa muundo wa mawe ya granite, huku mazishi yao yakitarajiwa kufanyika leo saa 8:00 mchana.
RIP Kipenzi chetu, Bilionea Bonge, Sir Wicknell Chivayo na mkewe!.
Mzee Pasco.
Kichwa chake kilitafutwa hadi kikapatikana. Kwa hiyo haikuwa laana tena.Vipi kuhusu yule James Temba aliyezikwa bila kichwa,nae alikua na laana?
Kijamii jambo la kuzikwa bila kichwa linaacha maswali mengi sana na ndo mana sasa tunasikia ni kifo Fake n.k.Unaposema ni laana,ni laana kwa mujibu wa maandiko au ni fikra zako tu?
Hakuna yeyote aijuaye Hatma yake ila wote tunajua 100% tutakufa.Vipi kuhusu wewe,unajijua kua utakufa kifo cha aina gani?
Usishangae kwani wahenga walisema: "Hujafa hujaumbika" Ni baada ya kifo chake ndo mambo yake mengi kumhusu yeye yanafunuliwa kwetu hadi hata ss wa huku Umasaini ndani-ndani huku tumeyafahamu na tunapata picha yake Halisi.Simtetei huyo marehemu walamtu yeyote yule ila nimeshangazwa na hiyo kauli yako,
Nani amekutisha? wapi umetishwa? kitu gani kimekufanya uone kua umetishwa?Vitisho vimeharibu andiko lako zuri
Uwe na siku njemaNani amekutisha? wapi umetishwa? kitu gani kimekufanya uone kua umetishwa?
Ungesema tu kua huna majibu ya maswali yangu,
Halafu nilijua tu,usingeweza kujibu hayo maswali yangu.
Kaka kwenye Uzi woteeeeeee 😁 😂 umeona dosari hiyo TU.man, wewe ni "qualified journalist" halafu unamuita sir, really? ni lini alikuwa knighted by the english monarchy mpaka a-qualify kutumia officially sir kwenye jina lake? kama wewe ungekuwa ni uneducated bongo movie, shehe mwaipopo, comedy, flava ningeelewa lkn wewe ni "highly educated" ni cream ya nchi halafu unakuwa unserious kiasi hicho?
afrika tuna safari ndefu sana bado ...
Baba Mark what is this?RIP Kipenzi chetu, Bilionea Bonge, Sir Wicknell Chivayo na mkewe!.
Mjeneza wote huo kwa ajili ya vitu vilivyowekwa kwenye kibebeo
Wanabodi,
Karibuni tushiriki
Ibada ya mazishi ya Sir Wicknell Chivayo inaendelea kwa sasa katika Doves Funeral Services, katikati ya jiji la Harare, ambapo maelfu ya waombolezaji wamekusanyika kusubiri kuchukuliwa kwa mwili wake pamoja na wa mke wake, Lucy “Lulu” Muteke.
Idadi kubwa ya waombolezaji imefanya baadhi ya maeneo ya katikati ya jiji kusimama, huku polisi wakitumwa kudhibiti umati na usafiri. Baada ya ibada hiyo, miili hiyo itachukuliwa na kupelekwa katika jumba la wanandoa hao lililopo Gletwyn, ambako itawekwa kwa ajili ya waombolezaji kabla ya mazishi yao kesho katika Makaburi ya Glen Forest.
Mahali pa mwisho pa kupumzishwa kwa Sir Wicknell Chivayo na mkewe Lucy panaandaliwa katika Sahwira Glen Forest Memorial Park. Makaburi yao yaliyopo pembeni kwa pembeni yamewekewa muundo wa mawe ya granite, huku mazishi yao yakitarajiwa kufanyika leo saa 8:00 mchana.
RIP Kipenzi chetu, Bilionea Bonge, Sir Wicknell Chivayo na mkewe!.
Mzee Pasco.
Weeee usicheze na moto babaHili swala la kuzikwa bila kichwa linanifanya nianze kuhisi hiki kifo yawezekana NI fake( kimetengenezwa Kwa maslahi Fulani),shuleni tulisoma na kuambiwa kuwa moja Kati ya mifupa migumu Sana kuharibibika NI mifupa ya kichwa na paja,swali Ni je vichwa nimeenda wapi??
Safi sana mkuu,Kila wakati.
Asante -Nimekaribia.
Sio. Kama sikosei Tunajadili uhalali wake wa kupewa tuzzo ya kuitwa Sir. Hivi mttu akifa kwa ajali huwa ni kufa kishujaa huko? Mbona wanaokufa kwa ajali ni wengi lakini haisemekani wamekufa kishujaa? Mtu aliyekufa katika mapambano ndo huitwa kafa kishujaa. Huyo alikuwa anapambania kitu gani/nini ili iwe ni halali kwake kuitwa amekufa kishujaa?