Sir George Kahama.man, wewe ni "qualified journalist" halafu unamuita sir, really? ni lini alikuwa knighted by the english monarchy mpaka a-qualify kutumia officially sir kwenye jina lake? kama wewe ungekuwa ni uneducated bongo movie, shehe mwaipopo, comedy, flava ningeelewa lkn wewe ni "highly educated" ni cream ya nchi halafu unakuwa unserious kiasi hicho?
afrika tuna safari ndefu sana bado ...
Ukorofi huo🤦🏻♀️Taarifa za ndani kabisa zinaeleza kuwa Wicknell Chivuyo na mkewe watakuwa kati ya wageni rasmi kwenye mazishi haya hapo Harare.
Tutakupa updates kadiri tutakavyokuwa tukizipata kutoka kwenye vyanzo vyetu.
Endelea kufuatana na camera.
Baba Mark what is this?RIP Kipenzi chetu, Bilionea Bonge, Sir Wicknell Chivayo na mkewe!.
Wanabodi,
Karibuni tushiriki
Ibada ya mazishi ya Sir Wicknell Chivayo inaendelea kwa sasa katika Doves Funeral Services, katikati ya jiji la Harare, ambapo maelfu ya waombolezaji wamekusanyika kusubiri kuchukuliwa kwa mwili wake pamoja na wa mke wake, Lucy “Lulu” Muteke.
Idadi kubwa ya waombolezaji imefanya baadhi ya maeneo ya katikati ya jiji kusimama, huku polisi wakitumwa kudhibiti umati na usafiri. Baada ya ibada hiyo, miili hiyo itachukuliwa na kupelekwa katika jumba la wanandoa hao lililopo Gletwyn, ambako itawekwa kwa ajili ya waombolezaji kabla ya mazishi yao kesho katika Makaburi ya Glen Forest.
Mahali pa mwisho pa kupumzishwa kwa Sir Wicknell Chivayo na mkewe Lucy panaandaliwa katika Sahwira Glen Forest Memorial Park. Makaburi yao yaliyopo pembeni kwa pembeni yamewekewa muundo wa mawe ya granite, huku mazishi yao yakitarajiwa kufanyika leo saa 8:00 mchana.
RIP Kipenzi chetu, Bilionea Bonge, Sir Wicknell Chivayo na mkewe!.
Mzee Pasco.
Rejea za Mwandishi kumhusu Bili Bonge Chivayo.
1. Shuhudieni Mambo Makubwa Mazuri ya Bonge wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo! Je, Hapa Kwetu Alifanya Nini?
2. Kumbe Bonge wa Zimbabwe ni Mtu wa Pisi Kali. Licha ya Kuonekana Tipwa Tipwa, ni Mtu wa Kazi na Anapiga Kazi Kweli Kweli kwenye mambo yetu yale
😂🤣😅😆😁😄😃😃😀Mjeneza wote huo kwa ajili ya vitu vilivyowekwa kwenye kibebeo
Upi tena baby?Ukorofi huo🤦🏻♀️
Kwanza kwanini umeenda ku report mwenyewe ukaniacha😌😌😌Upi tena baby?
Duh...!, we Kijana wa Ifoza , ulipotaja Kigoto, umenikumbusha mbali, nimemkumbuka dingi wangu na kisa cha hawa jamaa wawili, Masaga Makhula Mazengenuka, na Issack Ng'wana N'mkoboko!Nasikia huyo ni Mzaliwa wa Kigoto Mwanza. Ndugu yako huyo lazima atakua kipenzi chako Paskali
Pole. Narudi soonKwanza kwanini umeenda ku report mwenyewe ukaniacha😌😌😌