Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 4,090
- 5,248
Hajajipendekeza. Ametoa ya moyoni. Mwendee taratibu atafunguka.Acha kujipendekeza! Kipenzi chenu wewe na nani?
Hajajipendekeza. Ametoa ya moyoni. Mwendee taratibu atafunguka.Acha kujipendekeza! Kipenzi chenu wewe na nani?
Alitamani kuitwa Sir. km vile ambavyo watu fulani wanatamani kuitwa Doctor na hawajawahi kusomea Udaktariafrika tuna safari ndefu sana bado ...
Vichwa viliachaje miili? Au vilipasuka kama mabomu na kutawanyika baada ya kuungua na moto?Kuzikwa bila vichwa ni laana kubwa mno
Vilielekezwa Kibla ndo vikaweza.Vichwa viliachaje miili?
Au vilipasuka kama mabomu na kutawanyika baada ya kuungua na moto?
Kuna mmoja atakufa akiwa na kichwa chake na manywele kama chizi aliyepandikizwa roho ya lucifa!Kuzikwa bila vichwa ni laana kubwa mno
Si tapeli huyo,mbona kuna madoctor milioni ambao hata shule hawaijui inafananaje,Hata babutale ni doctor,na mwenzie yule msukuma wote wameishia darasa la nne wamepewa udaktari wa heshima na mwenzao Chifu chura hangaya.Aliitwa "sir" kwa kujitungia tu au ilikuwa official?
Haya wewe ambaye unamwambia hiyo kauli bwana Pascal Mayalla kuwa yeye ni “qualified journalist “ maana yako uko na uthibitisho huo kuwa yeye ni Qualified journalist right?man wewe ni "qualified journalist" halafu unamuita sir, really?
Ok,sawali lako limekaa kimtego na ninautegua badala ya kuteguliwa na huyo QUALIFIED JOURNALIST Ikiwa unapinga kuwa huyo BONGE hakuwa knighted by englis monarchni lini alikuwa ipopo-qualify kutumia officially sir kwenye jina lake?
Kwanza hongera kwa kuwaongelea lugha chafu wasanii wa KiBONGO.kama wewe ungekuwa ni uneducated bongo movie, shehe mwaipopo, comedy, flava ningeelewa lkn wewe ni "highly educated" ni cream ya nchi halafu unakuwa unserious kiasi hicho?
Mkuu,kwenye hili naunga mkono,ikiwa na wewe ni mmoja wao,anyway hukweli ni kwamba nothing change if nothing changes.Nadhani zipo mbinu na nyia nyingi sana za kulitoa bara la AFRICA upumbavuni.afrika tuna safari ndefu sana bado
Wanabodi,
Karibuni tushiriki
Ibada ya mazishi ya Sir Wicknell Chivayo inaendelea kwa sasa katika Doves Funeral Services, katikati ya jiji la Harare, ambapo maelfu ya waombolezaji wamekusanyika kusubiri kuchukuliwa kwa mwili wake pamoja na wa mke wake, Lucy “Lulu” Muteke.
Idadi kubwa ya waombolezaji imefanya baadhi ya maeneo ya katikati ya jiji kusimama, huku polisi wakitumwa kudhibiti umati na usafiri. Baada ya ibada hiyo, miili hiyo itachukuliwa na kupelekwa katika jumba la wanandoa hao lililopo Gletwyn, ambako itawekwa kwa ajili ya waombolezaji kabla ya mazishi yao kesho katika Makaburi ya Glen Forest.
Mahali pa mwisho pa kupumzishwa kwa Sir Wicknell Chivayo na mkewe Lucy panaandaliwa katika Sahwira Glen Forest Memorial Park. Makaburi yao yaliyopo pembeni kwa pembeni yamewekewa muundo wa mawe ya granite, huku mazishi yao yakitarajiwa kufanyika leo saa 8:00 mchana.
RIP Kipenzi chetu, Bilionea Bonge, Sir Wicknell Chivayo na mkewe!.
Mzee Pasco.
Katika hali ya kawaida, kichwa hakiwezi kwenda popote bila kuwezeshwa na miguu.Hili swala la kuzikwa bila kichwa linanifanya nianze kuhisi hiki kifo yawezekana NI fake( kimetengenezwa Kwa maslahi Fulani),shuleni tulisoma na kuambiwa kuwa moja Kati ya mifupa migumu Sana kuharibibika NI mifupa ya kichwa na paja,swali Ni je vichwa nimeenda wapi??
Yeye ni mwingereza mpaka awe knighted (whatever that means) by English monarchy?man, wewe ni "qualified journalist" halafu unamuita sir, really? ni lini alikuwa knighted by the english monarchy mpaka a-qualify kutumia officially sir kwenye jina lake? kama wewe ungekuwa ni uneducated bongo movie, shehe mwaipopo, comedy, flava ningeelewa lkn wewe ni "highly educated" ni cream ya nchi halafu unakuwa unserious kiasi hicho?
afrika tuna safari ndefu sana bado ...
Poleni wafiwaKuna mmoja atakufa akiwa na kichwa chake na manywele kama chizi aliyepandikizwa roho ya lucifa!
Yeye ni mwingereza mpaka awe knighted (whatever that means) by English monarchy?
Kumbe wewe Kijakazi akili uliyo nayo haiendani kabisa na profile status yako.
Haya wewe ambaye unamwambia hiyo kauli bwana Pascal Mayalla kuwa yeye ni “qualified journalist “ maana yako uko na uthibitisho huo kuwa yeye ni Qualified journalist right?
Ok,sawali lako limekaa kimtego na ninautegua badala ya kuteguliwa na huyo QUALIFIED JOURNALIST Ikiwa unapinga kuwa huyo BONGE hakuwa knighted by englis monarch
1.Ni qualified journalist wangapi kama Pascal Mayalla ambao wameandika magazeti kwa kumuita kwa jina SIR?
2.Je,hao journalist wanaokuletea habari hawako sawa katika uandishi wao kuliko wewe msomaji?
3.Ni kweli kwamba mtu kuitwa sir ni hadi awe a-qualify kutumia officially sir kwenye jina lake?
Kwanza hongera kwa kuwaongelea lugha chafu wasanii wa KiBONGO.
Haya wewe high educated kwanini usijiite SIR?
Mkuu,kwenye hili naunga mkono,ikiwa na wewe ni mmoja wao,anyway hukweli ni kwamba nothing change if nothing changes.Nadhani zipo mbinu na nyia nyingi sana za kulitoa bara la AFRICA upumbavuni.
SIR nimemaliza.
Je weye waijua kesho yako?Kuzikwa bila vichwa ni laana kubwa mno
Mbona PHD imechukua mjadala wa SIR?niwekee hapa any serious newspaper au media ata ya huko zimbamwe ambayo inatumia sir officially kwa chivayo, sir ni kwa waliokuwa knighted na english monarchy tu na kuna vigezo maalumu unatimiza halafu ndiyo unatunukiwa sir ni kama kwa mfano PhD hauwezi tu kuongeza dr. kwenye jina lako (ok well kuna vichaa wengi tanzagiza wanafanya hivyo) kama hauna PhD ndio mitaani watu watakuita dr kimchezo labda lkn hakuna serious media itakayao kuita officially dr. kama hauna PhD ...
Wanabodi,
Karibuni tushiriki
Ibada ya mazishi ya Sir Wicknell Chivayo inaendelea kwa sasa katika Doves Funeral Services, katikati ya jiji la Harare, ambapo maelfu ya waombolezaji wamekusanyika kusubiri kuchukuliwa kwa mwili wake pamoja na wa mke wake, Lucy “Lulu” Muteke.
Idadi kubwa ya waombolezaji imefanya baadhi ya maeneo ya katikati ya jiji kusimama, huku polisi wakitumwa kudhibiti umati na usafiri. Baada ya ibada hiyo, miili hiyo itachukuliwa na kupelekwa katika jumba la wanandoa hao lililopo Gletwyn, ambako itawekwa kwa ajili ya waombolezaji kabla ya mazishi yao kesho katika Makaburi ya Glen Forest.
Mahali pa mwisho pa kupumzishwa kwa Sir Wicknell Chivayo na mkewe Lucy panaandaliwa katika Sahwira Glen Forest Memorial Park. Makaburi yao yaliyopo pembeni kwa pembeni yamewekewa muundo wa mawe ya granite, huku mazishi yao yakitarajiwa kufanyika leo saa 8:00 mchana.
RIP Kipenzi chetu, Bilionea Bonge, Sir Wicknell Chivayo na mkewe!.
Mzee Pasco.
Hii ni kutokana na kifo cha W.Chivayo na mke wake halafu kazawadi /akapewa Title ya Sir.Mbona PHD imechukua mjadala wa SIR?
Au na wewe ndio umemaliza.
Habari mkuu.Ni matumaini yangu unaendelea poa kabisa.MUNGU NI MWEMA.Hii ni kutokana na kifo cha W.Chivayo na mke wake halafu kazawadi /akapewa Title ya Sir.