JFK wabongo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 3,887
- 3,197
Kwa sifa alizopewa Mme..sidhani kama yangefanyika mawasiliano wangezuia ndege toka TZ kwenda mbeba..Yawezekana ni shida ya kutoka Kenya na kurudi tena Kenya. Kumbukeni, ndege za abiria haziruki wala kutua
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndege kutoka serikalini au private jet?Kwa sifa alizopewa Mme..sidhani kama yangefanyika mawasiliano wangezuia ndege toka TZ kwenda mbeba..
Kuna namna hapa.
Ningependa fahamu kabila lake pia.Mkewe anaitwa nani?
Lolote lingewezekana..Ndege kutoka serikalini au private jet?
Tuache hilo libaki kuwa lake na marehemu mumewe.Lolote lingewezekana..
Hata wanae aliowazaa na yule mbunge aliyekuwa naibu waziri fedha sijawaona. R.I.P Baba. Hivyo Dodoma alikuwa peke yake. Maisha haya bwana waziri kabisa anakufa akiwa mpweke Dodoma. Too sad.Aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Augustine Mahiga leo atamaliza safari yake duniani kwa kuzikwa kijijini kwake Tosamaganga. Viongozi mbalimbali wa kitaifa wakiongozwa na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu watamsindikiza katika safari yake hii ya mwisho.
UPDATE
Aliyekuwa waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Mahiga amezikwa leo kijijini kwake Tosamaganga mkoani Iringa.
Serikali iliwakilishwa na makamu wa Rais mama Samia Suluhu ambaye aliuelezea wasifu wa Balozi.
Bunge liliwakilishwa na Naibu Spika Dr Tulia Ackson ambaye baada ya kumuelezea Dr Mahiga alisema amekuja na rambirambi za wabunge lakini watazikabidhi kwa mke wa marehemu pindi atakaporejea kutoka Nairobi Kenya anakouguza mtoto.
Hata hivyo mwisho wa shughuli za mazishi Waziri wa Ardhi mh Lukuvi aliagiza DC Kasesela wa Iringa Mjini akabidhiwe michango yote ya rambirambi hadi aitunze hadi atakapopewa maelekezo rasmi na familia.
Tuache hilo libaki kuwa lake na marehemu mumewe.
Elezea vizuri..Hata wanae aliowazaa na yule mbunge aliyekuwa naibu waziri fedha sijawaona. R.I.P Baba. Hivyo Dodoma alikuwa peke yake. Maisha haya bwana waziri kabisa anakufa akiwa mpweke Dodoma. Too sad.
Huyo Mahiga ni mtu wa kimataifa amejenga heshima nje ya nchi hawezi kuchukuliwa kirahisi kama machinga wa Itigi.Ndio utajua hadi kanisani classes zipo.. kuna waumini ni wahuzuriaji wa jumuia ndogo ndogo , misa kila siku asubuhi , kila jpili yupo lakini akifa au akifiwa anazikwa na katekista au paroko tu..
Lakini akifariki mtu mzito hata kama jumuia ndogo ndogo hakanyagi utamuona Askofu tena mkuu..
Hivi maiti akiwa kwenye jeneza anaweza kumwambukiza mtu korona bila kumgüsa?
Hakuna kuingia wala kutoka Kenya, hata kama angekuw hauguzi angekujaje?Alikuwa bado anandoa au walitengana?? Inakuwaje ameshindwa kuja???
Mtoto yupi abayeunwa? Mbona walikuwepo waili pale.
Anyway wajuvi wa mambo watatupa taarifa
komesha korona
Labda akikupigia chafya na ukaingiwa na majimaji yake kutoka puani au mdomoni.Hivi maiti akiwa kwenye jeneza anaweza kumwambukiza mtu korona bila kumgüsa?
Kati ya mgonjwa na marehemu nani anahitaji uangalizi?Mmmmh kweli huyu mama kashindwa kuja kumzika mme wake ,ni kabila gani huyu mama
Wewe unaelazimisha aje kuzika, angekuja kupitia wapi, Kenya sio mamburula, walishafunga mipaka kitambo, umeng'ang'ania tu hamna excuseHamna excuse yeyote ya kukubalika eti uache kuja kumzika mmeo kwani hamna ndugu wa kumuachia mtoto na hapo hospital kwani yeye ni Dr? Yeye si anamuangalia tu ila manesi na ma Dr ndo wanaomtibu isitoshe yule ni mtoto wa mkubwa lazma yuko first class huduma zote anapewa,yeye asingeshindwa kupanda ndege fasta after mazishi arudi Nairobi, angekuwa usukumani huyo angepigwa masumule au "Nchenya"
Mkuu kwako kuzika unaona jambo la maana sana? Kwa maneno rahisi kuzika ni kufukia mtu aliyekufa, jambo ambalo hata angekuwepo asingelifanya labda angeongeza tu sauti ya vilio.Hamna excuse yeyote ya kukubalika eti uache kuja kumzika mmeo kwani hamna ndugu wa kumuachia mtoto na hapo hospital kwani yeye ni Dr? Yeye si anamuangalia tu ila manesi na ma Dr ndo wanaomtibu isitoshe yule ni mtoto wa mkubwa lazma yuko first class huduma zote anapewa,yeye asingeshindwa kupanda ndege fasta after mazishi arudi Nairobi, angekuwa usukumani huyo angepigwa masumule au "Nchenya"
Protocol ya corona haijali Raisi wala nani hasa hasa nchi za wenzetu na akirudi kenya lockdown ya 14 days , Sasa hapo mgonjwa anaangaliwa na nani? Au weweKwa sifa alizopewa Mme..sidhani kama yangefanyika mawasiliano wangezuia ndege toka TZ kwenda mbeba..
Kuna namna hapa.