Mazishi ya Dkt. Augustine Philip Mahiga kijijini kwake Tosamaganga mkoani Iringa. Mkewe ashindwa kuhudhuria baada ya kuwa Kenya akiuguza mtoto

Mazishi ya Dkt. Augustine Philip Mahiga kijijini kwake Tosamaganga mkoani Iringa. Mkewe ashindwa kuhudhuria baada ya kuwa Kenya akiuguza mtoto

Yawezekana ni shida ya kutoka Kenya na kurudi tena Kenya. Kumbukeni, ndege za abiria haziruki wala kutua

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sifa alizopewa Mme..sidhani kama yangefanyika mawasiliano wangezuia ndege toka TZ kwenda mbeba..

Kuna namna hapa.
 
Aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Augustine Mahiga leo atamaliza safari yake duniani kwa kuzikwa kijijini kwake Tosamaganga. Viongozi mbalimbali wa kitaifa wakiongozwa na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu watamsindikiza katika safari yake hii ya mwisho.

UPDATE

Aliyekuwa waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Mahiga amezikwa leo kijijini kwake Tosamaganga mkoani Iringa.

Serikali iliwakilishwa na makamu wa Rais mama Samia Suluhu ambaye aliuelezea wasifu wa Balozi.

Bunge liliwakilishwa na Naibu Spika Dr Tulia Ackson ambaye baada ya kumuelezea Dr Mahiga alisema amekuja na rambirambi za wabunge lakini watazikabidhi kwa mke wa marehemu pindi atakaporejea kutoka Nairobi Kenya anakouguza mtoto.

Hata hivyo mwisho wa shughuli za mazishi Waziri wa Ardhi mh Lukuvi aliagiza DC Kasesela wa Iringa Mjini akabidhiwe michango yote ya rambirambi hadi aitunze hadi atakapopewa maelekezo rasmi na familia.
Hata wanae aliowazaa na yule mbunge aliyekuwa naibu waziri fedha sijawaona. R.I.P Baba. Hivyo Dodoma alikuwa peke yake. Maisha haya bwana waziri kabisa anakufa akiwa mpweke Dodoma. Too sad.
 
Ndio utajua hadi kanisani classes zipo.. kuna waumini ni wahuzuriaji wa jumuia ndogo ndogo , misa kila siku asubuhi , kila jpili yupo lakini akifa au akifiwa anazikwa na katekista au paroko tu..

Lakini akifariki mtu mzito hata kama jumuia ndogo ndogo hakanyagi utamuona Askofu tena mkuu..
 
Hata wanae aliowazaa na yule mbunge aliyekuwa naibu waziri fedha sijawaona. R.I.P Baba. Hivyo Dodoma alikuwa peke yake. Maisha haya bwana waziri kabisa anakufa akiwa mpweke Dodoma. Too sad.
Elezea vizuri..
 
Ndio utajua hadi kanisani classes zipo.. kuna waumini ni wahuzuriaji wa jumuia ndogo ndogo , misa kila siku asubuhi , kila jpili yupo lakini akifa au akifiwa anazikwa na katekista au paroko tu..

Lakini akifariki mtu mzito hata kama jumuia ndogo ndogo hakanyagi utamuona Askofu tena mkuu..
Huyo Mahiga ni mtu wa kimataifa amejenga heshima nje ya nchi hawezi kuchukuliwa kirahisi kama machinga wa Itigi.
 
Hamna excuse yeyote ya kukubalika eti uache kuja kumzika mmeo kwani hamna ndugu wa kumuachia mtoto na hapo hospital kwani yeye ni Dr? Yeye si anamuangalia tu ila manesi na ma Dr ndo wanaomtibu isitoshe yule ni mtoto wa mkubwa lazma yuko first class huduma zote anapewa,yeye asingeshindwa kupanda ndege fasta after mazishi arudi Nairobi, angekuwa usukumani huyo angepigwa masumule au "Nchenya"
Wewe unaelazimisha aje kuzika, angekuja kupitia wapi, Kenya sio mamburula, walishafunga mipaka kitambo, umeng'ang'ania tu hamna excuse

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna excuse yeyote ya kukubalika eti uache kuja kumzika mmeo kwani hamna ndugu wa kumuachia mtoto na hapo hospital kwani yeye ni Dr? Yeye si anamuangalia tu ila manesi na ma Dr ndo wanaomtibu isitoshe yule ni mtoto wa mkubwa lazma yuko first class huduma zote anapewa,yeye asingeshindwa kupanda ndege fasta after mazishi arudi Nairobi, angekuwa usukumani huyo angepigwa masumule au "Nchenya"
Mkuu kwako kuzika unaona jambo la maana sana? Kwa maneno rahisi kuzika ni kufukia mtu aliyekufa, jambo ambalo hata angekuwepo asingelifanya labda angeongeza tu sauti ya vilio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sifa alizopewa Mme..sidhani kama yangefanyika mawasiliano wangezuia ndege toka TZ kwenda mbeba..

Kuna namna hapa.
Protocol ya corona haijali Raisi wala nani hasa hasa nchi za wenzetu na akirudi kenya lockdown ya 14 days , Sasa hapo mgonjwa anaangaliwa na nani? Au wewe
 
Back
Top Bottom