Mazishi ya Dkt. Augustine Philip Mahiga kijijini kwake Tosamaganga mkoani Iringa. Mkewe ashindwa kuhudhuria baada ya kuwa Kenya akiuguza mtoto

Protocol ya corona haijali Raisi wala nani hasa hasa nchi za wenzetu na akirudi kenya lockdown ya 14 days , Sasa hapo mgonjwa anaangaliwa na nani? Au wewe
Lakini mbona hata kama hakuwa na mke poa tu...

Tuyaache.
 
Hamna excuse yeyote ya kukubalika eti uache kuja kumzika mmeo kwani hamna ndugu wa kumuachia mtoto na hapo hospital kwani yeye ni Dr? Yeye si anamuangalia tu ila manesi na ma Dr ndo wanaomtibu isitoshe yule ni mtoto wa mkubwa lazma yuko first class huduma zote anapewa,yeye asingeshindwa kupanda ndege fasta after mazishi arudi Nairobi, angekuwa usukumani huyo angepigwa masumule au "Nchenya"
Jamani msilolijua nyamazeni. Mama Mahiga mwanawe ni mgonjwa sana, kitu kilichopelekea mama kuitwa aende kumuuguza. Alipofika Nairobi kuna karantini ya siku 14! Bado hajamaliza hata hiyo karantini mumewe anafariki ghafla, mwanawe yuko taabani. Ombeni yasiwakute. Huyu mama anapitia kipindi kigumu sana. Watoto wake wengine wawili (wa ndoa) mmoja yuko Switzerland mwingine yuko Marekani! Hamuujui uchungu wake, nyamazeni muombe Mungu Awaepushe yasije kuwapata hayo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muacheni mama wa watu amuuguze mtoto wake. Jiwe alivyomdhalilisha hadharani mbele ya trafiki na umma Unadhani atatoa wapi karej ya kuja kujumuika na wajumbe wake. Hadi le hajaombwa msamaha
Sio wote wapi wired kuomba misamaha!
kama ww naona unanyenyekea vibibi vya kizungu tu hapo....
angalia visikupe covid tukakupoteza
 
Jamani msilolijua nyamazeni. Mama Mahiga mwanawe ni mgonjwa sana, kitu kilichopelekea mama kuitwa aende kumuuguza. Alipofika Nairobi kuna karantini ya siku 14! Bado hajamaliza hata hiyo karantini mumewe anafariki ghafla, mwanawe yuko taabani. Ombeni yasiwakute. Huyu mama anapitia kipindi kigumu sana. Watoto wake wengine wawili (wa ndoa) mmoja yuko Switzerland mwingine yuko Marekani! Hamuujui uchungu wake, nyamazeni muombe Mungu Awaepushe yasije kuwapata hayo!

Sent using Jamii Forums mobile app
Na mumewe kafa kwa ugonjwa pendwa sidhani kama ataingia Nairobi.
 
Hata wanae aliowazaa na yule mbunge aliyekuwa naibu waziri fedha sijawaona. R.I.P Baba. Hivyo Dodoma alikuwa peke yake. Maisha haya bwana waziri kabisa anakufa akiwa mpweke Dodoma. Too sad.
Huko ndio kunaitwa kufa kama beberu....
unakuwa pekeyako....
ukizeeka kina mama hawana time na ww
wanadeal na watoto na wajukuu tu so sad....
 
Mbona kazikwa haraka hivi? bila hata kuagwa na mapambio mtu mkubwa maarufu kama huyu?
Mwenzake Jaji Ramahani kawekwa siku 4 na kuagwa rasmi pale karim jee jana., Kulikoni ?
Mbona tuna wabagua hawa makada wa CCM na Nguli wa Ujasusi.
hata Mabalozi basi kuja kumuaga?
 
Jamani msilolijua nyamazeni. Mama Mahiga mwanawe ni mgonjwa sana, kitu kilichopelekea mama kuitwa aende kumuuguza. Alipofika Nairobi kuna karantini ya siku 14! Bado hajamaliza hata hiyo karantini mumewe anafariki ghafla, mwanawe yuko taabani. Ombeni yasiwakute. Huyu mama anapitia kipindi kigumu sana. Watoto wake wengine wawili (wa ndoa) mmoja yuko Switzerland mwingine yuko Marekani! Hamuujui uchungu wake, nyamazeni muombe Mungu Awaepushe yasije kuwapata hayo!

Sent using Jamii Forums mobile app
Unazidi kutuchanganya watoto wengine wa ndoa unamaanisha nini?kuna wengine alionao si wa ndoa au ndo huyo mgonjwa
 
Mbele za Mungu hakuna nyadhifa yoyote. Binadamu wote sawa tu. Kama ana nyadhifa kubwa mbona amekufa? Kwanini anazikwa kaburini na tani saba juu yake kama hawa wengine mnaowazika usiku?

Nyadhifa iko wapi hapo? Kila binadamu anapaswa kuheshimiwa hakuna alie juu ya mwingine mwisho wa siku wote kaburi linatuhusu.

Hivi hiki kipimo cha tani saba kilitokana na nini?
 
Mbele za Mungu hakuna nyadhifa yoyote. Binadamu wote sawa tu. Kama ana nyadhifa kubwa mbona amekufa? Kwanini anazikwa kaburini na tani saba juu yake kama hawa wengine mnaowazika usiku?

Nyadhifa iko wapi hapo? Kila binadamu anapaswa kuheshimiwa hakuna alie juu ya mwingine mwisho wa siku wote kaburi linatuhusu.
Sio wote wanazikwa na tani 7, wengine wanajengewa makaburi na kuwekewa mifuniko. Hawagusi jeneza linagusa udogo wa mkono tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio wote wanazikwa na tani 7, wengine wanajengewa makaburi na kuwekewa mifuniko. Hawagusi jeneza linagusa udogo wa mkono tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu na sio wote wanazikwa mfano kama sisi Masai zamani mtu akifa anapakwa mafuta ya kondoo anaachwa porini analiwa na fisi. Kupakwa mafuta ni ili ile harufu ivutie fisi waje haraka.

Ila literally ni kama umezikwa tani saba tu.
 
Back
Top Bottom