Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu! Kweli kabisa Wanadam hatuna jema, wasingetangaza tungelalamika wanabifu na marehem au wasanii wa bongo movie, wametangaza yanazuka mapya.
Kweli kati ya Mvua na Jua bora nini...majibu yote yana utata maana ikinyesha mvua mtalalamika mafuriko, likiwaka jua mtasema ukame.
Clouda wamefanya vyema kwani hata akina sie ambao hatukuwepo dar wakati wa msiba huo walau tulifahamishwa nini kilikua kinaendelea na isitoshe umati ule mkubwa wa watu waliohudhuria mazishi ulijitokeza kutokana na vyombo vya habari kuhamasisha na kutoa taarifa kamili.
Big Up Clouds na vyombo vyote vya habari, endeleeni kutujuza matukio yote muhimu yanayo husu Taifa letu maana ndio kazi yenu kutupasha habari, tena vyombo binafsi vimekua vikifanya vyema kuliko chombo chetu cha serikali TBC.
Lakini tusiwahukumu kamati kwani sikuhizi kila kitu hela,usije ukashangaa ata nguo walizovaa wanakwaya kamati ndiyo imenunua?Mimi nashangaa kwanini mjomba wake SK akuwa mweka hadhina wakati yeye ndiye aliyetaka msiba ukafanyike kwake .
Ndugu ni ndugu 2 ata kama ana kitu ni vizuri tukaishi nao vizuri wkt wote.
Tena napendekeza iongozwe na Lowasa !Bora iundwe kamati teule ichunguze hii tuhuma!
mtunza fedha alikuwa Ruge wa clouds.
[/TD]Wala si dawa,maana risiti ziko bwerere tu.Mi nilishangaa pale kamati zilipokuwa zimeshaundwa kabla hata hakujapambazuka.
Kumbe Asha Baraka ni mbunge tunashukuru mkuu kwa taarifa muhimu...katoka jimbo gani mkuu?
chakura ya watu