Mazishi ya mtu hai kishirikina

Inashangaza na inafikirisha mkuu,
Ina maana tafsiri ya picha kwenye ulimwengu wa kiroho inaanzia pale binadamu alipojua sanaa ya uchoraji...je kabla kulikua hamna tafsiri hizi?!au kwa uzi wako ule ni baada ya kugunduliwa kwa Camera?!
Au ndo tuseme mambo ya kiroho nayo yanaji update kulingana Science na Technology?!
 
Unachukua mume/mke wa mtu halafu mwenye mali anaamua kukuachia ila unazikwa hai kishirikina,,unaiba uchaguzi watu wanafanya mazishi,una tapeli watu wao wanaamua kukufanyia mazishi. Tuishi kwa wema na ibada nyingi sana.
Mwenyewe masikio na asikie.
 
Ishi tu vizuri na watu, tenda yaliyo mema.. Usiwaumize wengine kwakuwa tu hawana ulichonacho wewe, usiringe, usikashifu wengine, jali hisia za wengine, ziheshimu..! Ukijifanya mjuaji sana utazikwa ungali hai..halafu utaona yajayo yanavyofurahisha...
maneno nyeti sana ndugu Mshana Jr mwenye masikio na asikie ni hatari. Lakini katika hizi mambo hata wale wanaoitwa wema pia wanaweza kijikuta ni wahanga.
 
Michoro na sanaa ya picha ni sanaa ya kale zaidi .. Na roho ndio kiongozi wa mambo yote ya kimwili ya dunia
 
True hata Jamii inaweza ikawa imekuuwa japo ungali hai kwa kukuhukumu au kukulaani na maneno mabaya
 
Ni sahihi lakini wema hu create positive energy hivyo hata pigo likikupiga madhara hayawi makubwa sana
True mchawi hawezi kukuroga pasipo sababu ni lzm u create negative energy.

Uchawi ni SAwa na Umeme,umeme hauwezi pita kwenye plastic
 
Kumbe siku ya 40 ndio kichwa kinakatika! Sikuwa nafahamu hili ahsante kwa kunijuza jambo jipya.

Je kama ulishazikwa ufanyeje ili ufufuke? Au ndio basi tena imetoka hiyo?
 
True mchawi hawezi kukuroga pasipo sababu ni lzm u create negative energy.

Uchawi ni SAwa na Umeme,umeme hauwezi pita kwenye plastic
So huwezilogwa kwa sababu ya wivu tu..... mpaka uwaringie au?
 
So huwezilogwa kwa sababu ya wivu tu..... mpaka uwaringie au?
Unaweza,but kama huna ubaya nayo urogeki.Wengine tumerogwa tangu tumboni hadi leo ni wazima na tunasonga tu.
Uchawi ni nguvu hasi Ili urogeke ni lzm uwe na nguvu hasi pia
 
So mtu akikulogea mwanao na akadhurika, anadhurika kwa sababu mwanao anadhurika kwa sababu ya connection yako kwake na sio mtoto mwenyewe. Ahsante sana nimeelewa vizuri Mkuu.
 
Connection ya mzazi.Uchawi ni negative power na mtoto ana connect na mzazi.Thus tunawafunika watoto na damu ya Yesu.Jesus is the source of positive power.Thus ukisema kwa dhati toka ndani ya nafsi yako huku ukimaanisha ukataja kwa jina la Yesu abaki kiumbe hasi hapo si mchawi, shetani,pepo wala jini vyote utoweka kwa speed ya umeme.
 
Reactions: Mj1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…