Mazishi ya mtu hai kishirikina

Mazishi ya mtu hai kishirikina

Wengi wetu wamefanyiwa mazishi wangali hai.. Wapo hai lakini kiroho wamezikwa na wanateseka sana... Unapozikwa hai kishirikina unapoozwa na kufifishwa nyota yako! Unapozikwa hai kishikirina kinga zako za kiroho zinapungua nguvu hivyo hakuna rangi utaacha kuona!

Vitu vyenye vinasaba nawe ni muhimu sana kuvitunza na kuvilinda.. Vitu kama nguo hasa za ndani, kuchwa zako, nywele zako zozote, damu yako, picha yako nk...Imethibitika hata kwenye sayansi ya macho kuwa chochote unachogusa unaacha alama yako hapo, alama za vidole ama kinasaba chochote.. Watu waliosoma forensic wanalijua hili vema!

Hivyo basi hata kwenye ushirikina huwa wanatumia kitu chenye kinasaba nawe kukutengeneza.. Sasa basi katika vyote hivyo picha ndio huwa rahisi kupatikana kwakuwa ni ngumu kumtaimu mtu mpaka umkate kucha yake au umnyoe nywele zake, ama umtaimu saluni akinyoa au kusuka! Lakini picha tu..unaeza ipata hata mtandaoni

Picha kiroho imebeba maisha yako.. Kuna connection kubwa sana kati yako na picha yako kiroho... ! Kumbuka ile mada ya Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa roho.. Maranyingi tunapiga picha na watu wetu wa karibu au wa mbali tunaowajua na tusiowajua, na baada ya picha tunadhani tumemaliza...Kwenye kila picha upigayo kuna alama muhimu unaacha

Ukiwa mbabe picha yako inaweza kutumika kukumaliza... Chukulia tu mfano wa kidunia fanya tukio baya kwenye jamii, kazini kwako nk...picha yako ndio itatumika kukutafuta na ndio itasaidia kupatikana kwako na kupelekwa kwenye sheria

Sasa unawezaje kuzikwa ukiwa hai? Nikipata picha yako, maji ya mochwari, jeneza dogo, sanda nk... Naweza kukufanyia mazishi kamili[emoji2] kisha nikakuzika na kuanua tanga siku ya tatu...Nikiamua kukumaliza kabisa siku ya 40 (siku ya kukatika kichwa) ninafanya kafara la kuchinja mnyama[emoji16][emoji16][emoji16][emoji24]...!

Ishi tu vizuri na watu, tenda yaliyo mema.. Usiwaumize wengine kwakuwa tu hawana ulichonacho wewe, usiringe, usikashifu wengine, jali hisia za wengine, ziheshimu..! Ukijifanya mjuaji sana utazikwa ungali hai..halafu utaona yajayo yanavyofurahisha...! Ukijitahidi kuishi maisha ya ukamilifu hata tufani na mapigo ya kishirikina yatakupitia mbali kwakuwa utakuwa na kinga imara za kiroho!

NB: Usijaribu kufanya hii michezo kama na wewe una mapungufu yako! Hapo kuna mawili kufeli ama yakurudi!
Inashangaza na inafikirisha mkuu,
Ina maana tafsiri ya picha kwenye ulimwengu wa kiroho inaanzia pale binadamu alipojua sanaa ya uchoraji...je kabla kulikua hamna tafsiri hizi?!au kwa uzi wako ule ni baada ya kugunduliwa kwa Camera?!
Au ndo tuseme mambo ya kiroho nayo yanaji update kulingana Science na Technology?!
 
Unachukua mume/mke wa mtu halafu mwenye mali anaamua kukuachia ila unazikwa hai kishirikina,,unaiba uchaguzi watu wanafanya mazishi,una tapeli watu wao wanaamua kukufanyia mazishi. Tuishi kwa wema na ibada nyingi sana.
Mwenyewe masikio na asikie.
 
Ishi tu vizuri na watu, tenda yaliyo mema.. Usiwaumize wengine kwakuwa tu hawana ulichonacho wewe, usiringe, usikashifu wengine, jali hisia za wengine, ziheshimu..! Ukijifanya mjuaji sana utazikwa ungali hai..halafu utaona yajayo yanavyofurahisha...
maneno nyeti sana ndugu Mshana Jr mwenye masikio na asikie ni hatari. Lakini katika hizi mambo hata wale wanaoitwa wema pia wanaweza kijikuta ni wahanga.
 
Inashangaza na inafikirisha mkuu,
Ina maana tafsiri ya picha kwenye ulimwengu wa kiroho inaanzia pale binadamu alipojua sanaa ya uchoraji...je kabla kulikua hamna tafsiri hizi?!au kwa uzi wako ule ni baada ya kugunduliwa kwa Camera?!
Au ndo tuseme mambo ya kiroho nayo yanaji update kulingana Science na Technology?!
Michoro na sanaa ya picha ni sanaa ya kale zaidi .. Na roho ndio kiongozi wa mambo yote ya kimwili ya dunia
 
Wengi wetu wamefanyiwa mazishi wangali hai.. Wapo hai lakini kiroho wamezikwa na wanateseka sana... Unapozikwa hai kishirikina unapoozwa na kufifishwa nyota yako! Unapozikwa hai kishikirina kinga zako za kiroho zinapungua nguvu hivyo hakuna rangi utaacha kuona!

Vitu vyenye vinasaba nawe ni muhimu sana kuvitunza na kuvilinda.. Vitu kama nguo hasa za ndani, kuchwa zako, nywele zako zozote, damu yako, picha yako nk...Imethibitika hata kwenye sayansi ya macho kuwa chochote unachogusa unaacha alama yako hapo, alama za vidole ama kinasaba chochote.. Watu waliosoma forensic wanalijua hili vema!

Hivyo basi hata kwenye ushirikina huwa wanatumia kitu chenye kinasaba nawe kukutengeneza.. Sasa basi katika vyote hivyo picha ndio huwa rahisi kupatikana kwakuwa ni ngumu kumtaimu mtu mpaka umkate kucha yake au umnyoe nywele zake, ama umtaimu saluni akinyoa au kusuka! Lakini picha tu..unaeza ipata hata mtandaoni

Picha kiroho imebeba maisha yako.. Kuna connection kubwa sana kati yako na picha yako kiroho... ! Kumbuka ile mada ya Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa roho.. Maranyingi tunapiga picha na watu wetu wa karibu au wa mbali tunaowajua na tusiowajua, na baada ya picha tunadhani tumemaliza...Kwenye kila picha upigayo kuna alama muhimu unaacha

Ukiwa mbabe picha yako inaweza kutumika kukumaliza... Chukulia tu mfano wa kidunia fanya tukio baya kwenye jamii, kazini kwako nk...picha yako ndio itatumika kukutafuta na ndio itasaidia kupatikana kwako na kupelekwa kwenye sheria

Sasa unawezaje kuzikwa ukiwa hai? Nikipata picha yako, maji ya mochwari, jeneza dogo, sanda nk... Naweza kukufanyia mazishi kamili[emoji2] kisha nikakuzika na kuanua tanga siku ya tatu...Nikiamua kukumaliza kabisa siku ya 40 (siku ya kukatika kichwa) ninafanya kafara la kuchinja mnyama[emoji16][emoji16][emoji16][emoji24]...!

Ishi tu vizuri na watu, tenda yaliyo mema.. Usiwaumize wengine kwakuwa tu hawana ulichonacho wewe, usiringe, usikashifu wengine, jali hisia za wengine, ziheshimu..! Ukijifanya mjuaji sana utazikwa ungali hai..halafu utaona yajayo yanavyofurahisha...! Ukijitahidi kuishi maisha ya ukamilifu hata tufani na mapigo ya kishirikina yatakupitia mbali kwakuwa utakuwa na kinga imara za kiroho!

NB: Usijaribu kufanya hii michezo kama na wewe una mapungufu yako! Hapo kuna mawili kufeli ama yakurudi!

True hata Jamii inaweza ikawa imekuuwa japo ungali hai kwa kukuhukumu au kukulaani na maneno mabaya
 
Ni sahihi lakini wema hu create positive energy hivyo hata pigo likikupiga madhara hayawi makubwa sana
True mchawi hawezi kukuroga pasipo sababu ni lzm u create negative energy.

Uchawi ni SAwa na Umeme,umeme hauwezi pita kwenye plastic
 
Kumbe siku ya 40 ndio kichwa kinakatika! Sikuwa nafahamu hili ahsante kwa kunijuza jambo jipya.

Je kama ulishazikwa ufanyeje ili ufufuke? Au ndio basi tena imetoka hiyo?
 
True mchawi hawezi kukuroga pasipo sababu ni lzm u create negative energy.

Uchawi ni SAwa na Umeme,umeme hauwezi pita kwenye plastic
So huwezilogwa kwa sababu ya wivu tu..... mpaka uwaringie au?
 
Unaweza,but kama huna ubaya nayo urogeki.Wengine tumerogwa tangu tumboni hadi leo ni wazima na tunasonga tu.
Uchawi ni nguvu hasi Ili urogeke ni lzm uwe na nguvu hasi pia
 
So mtu akikulogea mwanao na akadhurika, anadhurika kwa sababu mwanao anadhurika kwa sababu ya connection yako kwake na sio mtoto mwenyewe. Ahsante sana nimeelewa vizuri Mkuu.
 
Connection ya mzazi.Uchawi ni negative power na mtoto ana connect na mzazi.Thus tunawafunika watoto na damu ya Yesu.Jesus is the source of positive power.Thus ukisema kwa dhati toka ndani ya nafsi yako huku ukimaanisha ukataja kwa jina la Yesu abaki kiumbe hasi hapo si mchawi, shetani,pepo wala jini vyote utoweka kwa speed ya umeme.
 
  • Thanks
Reactions: Mj1
Back
Top Bottom