gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Mi sioni koti la suit msikitiniMsheikh pia huvaa makoti ya suit muda mwingi. Wao joto haliwahusu?
Uchunguzi gani? Wengine unaosema wanazikwa haraka hawahitaji uchunguzi?Pengine swala la uchunguzi.
Wakipata joto huyavuaMsheikh pia huvaa makoti ya suit muda mwingi. Wao joto haliwahusu?
Alizikwa baada ya siku 4Alizikwa baada ya muda gani?
Bakwata mna chokochoko sana sasa mazishi ya Wakristo yanakuhusu nini wewe mla nguruwe kwa kujificha?Mazishi ya wasiokuwa waislam maiti huchelewa kuzikwa, sijui kwanini.
Maana inasababisha gharama kubwa na baadae wakati mwengine hutokea mitafaruku ktk familia na jamii.
Na yaona ya muasisi wa chadema.
Mazishi ya muislam hata awe mfalme, ukifa asubuhi mchana tunakupeleka ili wengine turudi tukahudumie jamii
Na wengi ni wavaa kobaz wenzako wazee wa kuufinya hasa kwenye msiba wa kitajiri hawabanduki na ndizi kwenye mfuko wa kanzu .Kuna watu leo ya 3 hawajaenda kazini, kisa msiba
Lazima, palikua na zogo la mrithi wa utawalaHesabu mwenyewe amekufa j3 akazikwa usiku wa manane kuamkia j5.
Abu Lahab (PBUH)
Haiwezekani iwe baada ya siku nne,mwili unheharibikaAlizikwa baada ya siku 4
Hiyo kifaduro Malaria 2 shida yake ni kuubagaza Ukristo tu mpuuzi sana huyu kibwengoSio kwa waislamu wote wanazika mapema, mwinyi ni muislam alikufa February 29 akazikwa baada ya siku tatu March 02
Kuna kuufinya hapo zaidi ya pombe!Na wengi ni wavaa kobaz wenzako wazee wa kuufinya hasa kwenye msiba wa kitajiri hawabanduki na ndizi kwenye mfuko wa kanzu .
Unajua nchi yetu maskini na watu wake wengi maskini. Sasa wakiona kula ndio hivyo tena. Lkn kanisani si hawaingii?Na wengi ni wavaa kobaz wenzako wazee wa kuufinya hasa kwenye msiba wa kitajiri hawabanduki na ndizi kwenye mfuko wa kanzu .
Wewe ndiye mwajiri mbona una nyege mshindo wewe mla nguruwe kwa siri?Kuna watu madaktari wa umma hapo, wapo msibani ya 3
Pombe kwenye msiba?Kuna kuufinya hapo zaidi ya pombe!
Mtu akishakufa ni amekufa.Labda fundi hajakamilisha kushona sare za msiba au bado wafiwa hawajampata mshereheshaji wa msiba.
February 29 mpaka march 2 hazifiki siku tatuSio kwa waislamu wote wanazika mapema, mwinyi ni muislam alikufa February 29 akazikwa baada ya siku tatu March 02
Mlanguruwe kwa siri? Muislam anatakiwa amuogope Allah sio binadam mwenziwe. Sasa kwa siri Allah hanioni?Wewe ndiye mwajiri mbona una nyege mshindo wewe mla nguruwe kwa siri?
Yaani usipime,wake kwa waume,na muziki juuPombe kwenye msiba?
Masheikh hawavai makoti ya suti msikitini? Hawa masheikh hapa wapo bar?Mi sioni koti la suit msikitini