Mazishi ya wakiristo hutumia gharama kubwa

Alikufa saa ngapi?
Kutoka dar zenj kuna umbali gani wa kukaa muda wote huo ikiwa ni safari ya dakika 30 tu kwa ndege?
 
Kuchelewa au kuwahi kuzika sio taratibu za kanisa , hiyo ni mipango ya familia za wafiwa , hata akifa leo ukitaka kuzika jioni kanisa wanachofanya nikuangalia ratiba zao tu wanaweza fanya ibada ya mazishi hata jioni yake tu
 
Maiti ni maiti tu .... usiingilie taratibu za watu ...... waache watu wazike wapendwa wao vile namna wanaona inafaa!

Kenya hapo ulishawahi kufika? Msiba ukitokea especially mtu mzima above 80 huko anaweza kukaa hadi mwezi mzima... tena hio ni sherehe na watu wanachangishwa... siku ya maziko na mtaa unafungwa kabisa
 
Mwinyi kufia dar kuzikwa zenji isingewezekana siku hivyohivyo,mtei ana wiki sasa
Hizo taratibu za maziko ya kislam ziliandikwa mwaka Gani? Palikuwa na technology ya kuhifadhi kama Leo? Weather ya uarabuni IPOje
 
Kwa hiyo sasa tunakubaliana issue sio joto bali ni anri ya dini? Si ndio? Wachungaji wao amri ya dini hawana. He nyie mnayofanya yote yana amri ya dini?
Dah😃😃uko mbali sana,natamani nijue umri wako na elimu
Ukristo haumuagizi mchungaji kuvaa koti/suti, mchungaji angetaka kufanana na yesu zaidi basi walau angevaa kanzu na kobazi
Ni wapi kwenye uislam ulisema utumie smartphone? Mbona mnatumia smartphone? Mmeiga kwa nani kutumia smartphone?
Hapa utataka hata jinzi tusivae, uislam haukatazi kutumia kitu/elimu iliyobuniwa na asiye muislam,kimsingi uislam ukitawala unataka kuwalinda na kuwalea na kuwapa haki zao wasio waislam, kwamba nao ni katika jamii,nao ni umma wa Muhammad wanaopaswa kuhubiriwa huenda wao au vizazi vyao kesho vijkaiona nuru
 
Kuchelewa au kuwahi kuzika sio taratibu za kanisa , hiyo ni mipango ya familia za wafiwa , hata akifa leo ukitaka kuzika jioni kanisa wanachofanya nikuangalia ratiba zao tu wanaweza fanya ibada ya mazishi hata jioni yake tu
Cardinal rugambwa ilikuaje,au padre tu yeyote aliyefariki msiba ulichukua muda gani?..kwa kumbukumbu zangu sikumbuki lini msiba wa kikristo ulichukua chini ya siku tatu,haiwenzi kuwa coincidence
 
Ukristu hamuagizi mchungaji kuvaa koti /suti, hiyo ni kweli. Je uislam unamuagiza sheikh kuvaa koti? Kwanini masheikh wanavaa?

Unasema uislam haukatazi kutumia kitu kilichobuniwa. sasa kwa nn wewe unashangas wachungaji kuvaa makoti/suti ikiwa wao pia hawajakatazwa kwenye dini yao?
 
Hawana akili
 
Cardinal rugambwa ilikuaje,au padre tu yeyote aliyefariki msiba ulichukua muda gani?..kwa kumbukumbu zangu sikumbuki lini msiba wa kikristo ulichukua chini ya siku tatu,haiwenzi kuwa coincidence
Hizo ni taratibu za familia ya wafiwa hakuna mda maalumu wengine huchukua hata mwezi

Ni mipangilio ya watu tu na mambo yao
 
Hizo taratibu za maziko ya kislam ziliandikwa mwaka Gani? Palikuwa na technology ya kuhifadhi kama Leo? Weather ya uarabuni IPOje
Pana ukristo misri na syria kabla ya uislam, issue siyo uwezo wa kuhifadhi, sababu 1990s tulikua tukizika chapu tu, misibani hapakua na pombe wala muziki bali sehemu fulani huwezi hata zungumzia mpira na siasa,ni kimya,zika chapu
 
Huko ni kwenu na taratibu zenu sasa kuna zao wao na wale
 
Mi nasisitiza kutumia akili siyo kufuatafuata tu kisa ulaya wanafanya
 
Pana ukristo misri na syria kabla ya uislam, issue siyo uwezo wa kuhifadhi, sababu 1990s tulikua tukizika chapu tu, misibani hapakua na pombe wala muziki bali sehemu fulani huwezi hata zungumzia mpira na siasa,ni kimya,zika chapu
Kumbe shida ni siasa? Jpm alizikwa baada ya muda Gani?
 
Mi nasisitiza kutumia akili siyo kufuatafuata tu kisa ulaya wanafanya
Kesho tena utauliza kwa nini Wakristo hawazunguki sinia la ubwabwa kwa umoja kama waislamu kipindi cha idd
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…