Maziwa Fresh yanayouzwa siku hizi Yanachakachuliwa sana

Maziwa Fresh yanayouzwa siku hizi Yanachakachuliwa sana

Ghost MVP

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2022
Posts
439
Reaction score
736
Mfanyabiashara anaona Kununua Lita moja ya maziwa fresh ni heri ananunue Kopo la maziwa ya unga na akapata lita zaidi ya 20 za maziwa
Homemade-Biscuits-5-1200.jpg

na wanayaongeza na Butter 'magarine'
Tub-margarine.jpg

ili yawe na vimafuta na yakipoa yanaonekana kama maziwa halisi ya ngombe
Evaporated-Milk-thumbnail-scaled.jpg

Yani Biashara ya maziwa siku hizi ni uhuni mtupu, maziwa haya tunayouziwa kama maziwa freshi, hakuna kitu, kabisaa hayana virutubisho halali vya maziwa.. ni kujitengenezea faida tu ila hawajalia afya ya watumiaji kwa miaka kadhaa ijayo..

chukua hatua mdau
 
Anaekamua anaweka maji... Anamuuzia wa reja reha nae anaweka maji.. Anakuja maam ntilie anawekaa majii..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Haya kunywa chai ya Rangi ya maziwaaa.
 
Mighawani ni zaidi ya kufuru, hakuna cha maziwa fresh wala chai ya rangi

Ukiagiza chai ya maziwa unaletewa maji yenye rangi ya maziwa yaliyochanganywa na majani ya chai

Ukiagiza maziwa fresh unaletewa maji yenye rangi ya maziwa!.
Yaan!.. tunaelekea wapi sisi jamani
 
Anaekamua anaweka maji... Anamuuzia wa reja reha nae anaweka maji.. Anakuja maam ntilie anawekaa majii..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Haya kunywa chai ya Rangi ya maziwaaa.
Mnunue maziwa wanapofuga na mkaona wanakamua.. tofaut na hapo kuleni Remix ya maziwa hiyo 🤣
 
Mnunue maziwa wanapofuga na mkaona wanakamua.. tofaut na hapo kuleni Remix ya maziwa hiyo 🤣
Hakika mkuu nakubaliana nawe, nmeacha utaratibu wa kunywa maziwa kwa sababu ya uchakachuaji na sijui wanayoyaongeza yana madhara gani
 
Hakika mkuu nakubaliana nawe, nmeacha utaratibu wa kunywa maziwa kwa sababu ya uchakachuaji na sijui wanayoyaongeza yana madhara gani
Madhara pia sijui ila bila shaka madhara yake ni ya muda mrefu, maziwa ya unga yana Kemiko mingi sanaa
 
Back
Top Bottom