Maziwa Fresh yanayouzwa siku hizi Yanachakachuliwa sana

Maziwa Fresh yanayouzwa siku hizi Yanachakachuliwa sana

Nikitaka maziwa naendaga zangu shambani kibada
 
Mfanyabiashara anaona Kununua Lita moja ya maziwa fresh ni heri ananunue Kopo la maziwa ya unga na akapata lita zaidi ya 20 za maziwa
View attachment 2858429
na wanayaongeza na Butter 'magarine'
View attachment 2858430
ili yawe na vimafuta na yakipoa yanaonekana kama maziwa halisi ya ngombe
View attachment 2858431
Yani Biashara ya maziwa siku hizi ni uhuni mtupu, maziwa haya tunayouziwa kama maziwa freshi, hakuna kitu, kabisaa hayana virutubisho halali vya maziwa.. ni kujitengenezea faida tu ila hawajalia afya ya watumiaji kwa miaka kadhaa ijayo..

chukua hatua mdau
Tanzania ya leo na isivyokuwa na uaminifu, kila mmoja anataka utajiri wa haraka, asilimia kubwa kwa haramu.

Sitoshangaa hata nikiambiwa maziwa ya mama anayachakuwa kabla ya kumpa mwanawe.
 
Andika uzi wako wa kingine kilichocjakachuliwa huu unahusi Maziwa, Punguza kasi Ndugu
We kula tu uishi siku zako!
Ukichunguza sana vitu utahisi hata wewe ulichakachuliwa na wazazi wako

Ukichunguza sana nguruwe unaweza usilie kitimoto
 
Back
Top Bottom