Maziwa Fresh yanayouzwa siku hizi Yanachakachuliwa sana

Nikitaka maziwa naendaga zangu shambani kibada
 
Tanzania ya leo na isivyokuwa na uaminifu, kila mmoja anataka utajiri wa haraka, asilimia kubwa kwa haramu.

Sitoshangaa hata nikiambiwa maziwa ya mama anayachakuwa kabla ya kumpa mwanawe.
 
Andika uzi wako wa kingine kilichocjakachuliwa huu unahusi Maziwa, Punguza kasi Ndugu
We kula tu uishi siku zako!
Ukichunguza sana vitu utahisi hata wewe ulichakachuliwa na wazazi wako

Ukichunguza sana nguruwe unaweza usilie kitimoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…