Mazoezi kwa mwanaume ni muhimu Sana kama unataka kumridhisha mwenza wako kwenye tendo!

Mazoezi kwa mwanaume ni muhimu Sana kama unataka kumridhisha mwenza wako kwenye tendo!

Nimeona nizungumzie hili wanaume wenzangu kama unahitaji mpenzi wako afurahie shughuli yako ya kitandani jitahidi kufanya mazoezi ili uwe mwepesi kuhakikisha unapumzi ya kutosha hivihvi jamani tutalaumiwa sana na tutapigiwa sana
Umeongea point sana! Mimi perday nakimbia km5 na pushapu 100 kwahiyo nikikaa katika ya dimba anatamani akimbie
 
Huu ni ujinga sana na siku hizi naona unafanywa kama trend.

Kufanya mazoezi kwa lengo la kumfurahisha mwingine na sio kwa lengo la kuimarisha afya yako ni ujinga.

Kama wewe unafanya hivyo ili umridhishe, yeye anafanya nini ili akuridhishe?

Hii ndio mentality ya kijinga ambayo inawafanya watu waanze kutumia midawa ya ajabu ajabu hadi wengine kufikia maamuzi ya kufanya enlargment ilimradi tu kumridhisha kimapenzi mwanamke halafu mwisho wa siku side effects zinakuja kipindi ambacho hata mahusiano na huyo mwanamke hayapo tena .
 
Nyinyi watu mnao ishi maisha kwa ajili ya kuwaridhisha wanawake huwa mnaishi maisha magumu sana.
Hivi wanaume wa siku hizi tumekuwaje aisee?
Mbona wanawake hawajishughulishi kuwaridhisha wanaume badala yake wanaangalia masilahi?
Nikukumbushe kuwa malaya huwa haitaji sababu yeyote kufanya umalaya wake ,umalaya huwa ni hobby kama zingine tu.

Ukiona mwanamke ameamuwa kutulia kwenye mahusiano yake jua ni yeye kaamua kutulia na sio ww ndo umemfanya atulie.
Kiufupi mapenzi hayana fomla kwa jinsia zote na wanawake wengi wamesha ligundua hilo ndo maana huwa hawajishughulishi kuridhisha wanaume bali huwa wana angalia masilahi na furaha zao.
 
Bila pesa,utajichukulia sheria mkononi.
Ila nyie wanaume hamjui sisi tunataka nini nawaambia.
Fanya mazoezi yako ya nguvu ila ni lazima uwe na 'mguu wa mtoto'

Asikwambie mtu, mashine kubwa ina utamu na ladha yake ya kipekee.
2F14511D-7848-4EAB-B9BC-E093BEE9A165.jpeg
 
Wewe ni mtumwa tu. Mimi huwa nawashangaa wanaosema tafuta pesa ili uweze kupata wanawake kirahisi, au kama wewe, eti fanya mazoezi ili umridhishe mwanamke. Utakuwa disappointed, mwanamke hatulizwi kwa pesa wala ngono. Unaweza ukafanya yote hayo na akaondoka vile vile. Tafuta pesa kwa ajili yako, fanya mazoezi kwa afya yako...
 
Back
Top Bottom